Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wasira anadai mauwaji yalikuwa sahihi wakati ni kinyume cha sheria na wali uwawa hadi watoto na wajawazito. kwa sheria za nchi na kimataifa hakuna mauwaji sahihi tuna sheria za nchi na mahakama...
1 Reactions
9 Replies
299 Views
Hili swali najiuliza Sana, kama CHADEMA wangeamua kushiriki uchaguzi na hii bogus INEC je maandamano ya October 29, yangetokea? Katika kitu kiliwaudhi Sana CCM ni Chadema kujitoa kushiriki kiini...
8 Reactions
13 Replies
433 Views
Sasa kama CHADEMA hawashiriki uchaguzi hata wizi wa Kura haunogi na hao Vikaragosi pandikizi mapacha
1 Reactions
11 Replies
689 Views
Wakuu, Nacheka ka mazuri🤣🤣🤣 kwahiyo mtu akitoa povu lake taasisi/shirika linapozingua ni uvunjivu wa sheria? Nakojoaaaaaa😆😆😆😆. Chawa kafikiwa 😆😆 Kelvin Raphael (Zungu) alitoa povu lake jana...
7 Reactions
6 Replies
510 Views
Wakuu, Kuna habari gani kuhusu huyo Mafwele, naona mapichapicha tu huko mtandaoni! Kweli jamaa aliingia kwenye kumi na nane za Kanali? Baada ya kaka wa Augustino Polepole kuongea mchana wa leo...
12 Reactions
34 Replies
1K Views
Baraza Kuu la Chama Cha Wananchi (CUF) limemchagua Eng. Hamad Masoud Hamad kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho leo Februari 22, 2026. Baraza hilo limeketi leo chini ya mwenyekiti mpya Yusuf Mirambo...
0 Reactions
1 Replies
247 Views
Kama ilivyokuwa kwa Burkinafaso Blaise Compaore alidhania kumuua Thomas Sankara itaKuwa neema kwake kuwa atatawala kwa kujiachia na kula mali za umma anavyotaka. Naona hapa Tanzania hali ni mbaya...
6 Reactions
6 Replies
408 Views
Ndio unapata ka mshahara kakubwa lakini kwa gharama gani? ==== Huyu mTanzania anasema alipata $35,000 kuingia jeshi la Russia na analipwa $3,000 kila mwezi. Lakini ameona watu wengi wamekufa...
11 Reactions
86 Replies
2K Views
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Itilo na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Nzega Mji, Wilayani Nzega kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Paschal Kigaru amefariki Dunia kufuatia ajali ya barabarani ambayo...
13 Reactions
74 Replies
2K Views
Nashangaa sana kuona ni namna gani wabongo wanavyoweza uwa brainwashed. Kuna habari mitandaoni zinasambaa kama moto kwenye kichaka kwamba mafwele "kawajibishwa" kwa namna flani. Kwa jinsi hali...
8 Reactions
31 Replies
946 Views
Kwa mtu anayefuatilia mambo ya nchi hii na anayejali mustakabali wa maendeleo ya nchi anajua kabisa uchawa kwa siku za hivi karibuni umeshusha uwajibikaji na hivyo unaendelea kuchangia kwa kiasi...
3 Reactions
18 Replies
304 Views
Ulimsaliti Maalim Seif kwa vipande vya fedha. Umevuna ulichopanda. Umeondoka kwa aibu kubwa! Umebakiza kufa tu duniani! THE EVILS THAT MEN DO LIVE AFTER THEM. BADO ADHABU YA KABURI INAKUSUBIRI
2 Reactions
11 Replies
349 Views
  • Redirect
Mahakama na tume ni uongo mtupu. Nimeshashuhudia watu wengi sana wakionewa na ndugu zao kuuwawa. Suluhisho ni kutumia juju maana haina gharama na ikikubali inamaliza mpaka familia nzima.
0 Reactions
– Replies
– Views
Mheshimiwa Spika wa JF. kwanza napenda kumpongeza mungu kunichagua mimi kuwa mbunge na kumshukuru mama kunipitisha kwa ushindi wa kishingo. Kwa kweli mama mitano tena. Tumeona maendeleo ambayo...
8 Reactions
18 Replies
490 Views
Achilia mbali watuhumiwa uhalifu ambao tayari wanaonekana na kujulikana kwa kubeba chakula hadi kwenye vizimba vya mahakamani kupunguza njaa kali baada ya kubanwa mbavu za kisheria na mashahidi au...
1 Reactions
11 Replies
212 Views
Nataka nitoe disclaimer kuwa siungi mkono mapinduzi ya kijeshi kama namna ya kufikia malengo ya kisiasa. Hata hivyo mimi kama mwanajamii ambaye naishi ndani ya jamii, nina wajibu wa kuchangia...
9 Reactions
22 Replies
792 Views
Wakuu, Ni miezi mitatu sasa (siku 92 tukiwa precise) toka Samia afanye uteuzi wa Tume ya Kuchunguza 'matukio' ya Oktoba 29, 2025, akisema hajui kwanini tuliandamana kugomea uchaguzi, wa kina nani...
3 Reactions
63 Replies
1K Views
Nini kimewachosha mapema hivyo na kuwafanya kukata tamaa? Au ni kwasababu ya nanma kibaraka lisu navyojitetea kilezy na kuashiria wazi kabisa kwamba hatoboi? Ni wazi muungwana amechoka kimwili...
1 Reactions
57 Replies
673 Views
  • Redirect
DAR ES SALAAM:* MAMLAKA ya Uteuzi imeongeza muda wa siku arobaini na mbili (42) kuanzia tarehe 20 Februari, 2026 Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Back
Top Bottom