Hilda Newton usilogwe ukaja Bongo, usifanye makosa kama ya Polepole

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,712
Reaction score
103,730
Umeandika kuwa utakuwa Musoma 8.3.2026 siku ya Wanawake Duniani. Usilogwe ukaja huku maana nyinyi hamsikii?

Bado tuna fresh memory of Polepole whereabouts!
USILOGWE, LABDA KAMA UKO HAPA BONGO SAWA, LKN KAMA UKO NJE USILOGWE

By the way, hivi huwa unaripoti kesi ya Lisu ukiwa mahakamani au vipi? Maana huwa siamini kama uko hapa.

It might look funny

20260222_212804.jpg
 
Nyie machadema kumbe hata hamjuani mko wapi?

Hujui mh. Wako yupo ndani au nje ya nchi na bado unamfuata na kumsikiliza.

Kama anatokea kuzimu je?
 
Kwani si kila siku anakuwa mahakamani akiripoti kesi ya Lisu?
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Umeandika kuwa utakuwa Musoma 8.3.2026 siku ya Wanawake Duniani. Usilogwe ukaja huku maana nyinyi hamsikii?

Bado tuna fresh memory of Polepole whereabouts!
USILOGWE, LABDA KAMA UKO HAPA BONGO SAWA, LKN KAMA UKO NJE USILOGWE

By the way, hivi huwa unaripoti kesi ya Lisu ukiwa mahakamani au vipi? Maana huwa siamini kama uko hapa.
It might look funny!😳🤫😄😃😀😃😁😃
Mada zako na michango yako kuhusu baadhi ya viongozi wa CHADEMA humu JF, mkuu 'Retired' zinatia shaka sana.

Kuna mambo unajitahidi sana kuyaweka yaonekane sawa lakini kila mara msomaji mwenye kusoma kati ya mistari huona dalili za ujumbe uliofichika nyuma yake..

Mtafaruku uliotokea ndani ya chama (CHADEMA) wakati wa uchaguzi bila shaka yoyote uliacha nyufa ambazo kwa baadhi yenu haziwezi kurekebishwa moja kwa moja na kusonga mbele; baadhi yenu mmechagua kupaka tu rangi juu ya nyufa hizo, huku ndani yenu mkijuwa kunawaka moto.

Nina mashaka makubwa na kupona kwa makovu hayo kwa upande wako. Ni kama unapakaza rangi tu juu ya hayo makovu yasionekane, huku ndani kwa ndani mwako kukiendelea kutogota.

Sasa sijui kama ni staili tu ya uandishi wako, au kuna lingine la ziada ndani ya mada na michango mbalimbali humu inayohusu baadhi ya viongozi wa CHADEMA Maelezo yako mengi siyo ya kuwatakia heri hata kidogo!

Nadhani utakuwa unazo sababu zako binafsi za kuandika kama unavyofanya ili kufurahisha nafsi yako..
 
Umeandika kuwa utakuwa Musoma 8.3.2026 siku ya Wanawake Duniani. Usilogwe ukaja huku maana nyinyi hamsikii?

Bado tuna fresh memory of Polepole whereabouts!
USILOGWE, LABDA KAMA UKO HAPA BONGO SAWA, LKN KAMA UKO NJE USILOGWE

By the way, hivi huwa unaripoti kesi ya Lisu ukiwa mahakamani au vipi? Maana huwa siamini kama uko hapa.
It might look funny!😳🤫😄😃😀😃😁😃
Anahamasisha watu wajitokeze na kutengeneza attention ,nina uhakika 100% hawezi kuja ,hata akitokea mtu tukabet fresh MIMI naweka "MLIO"(1m) na atakayetaka ataweka GUNZI au Kipande cha JIWE.
 
Hata wazazi wake wakifa wasafirishwe wakazikwe Kenya akikanyaga ardhi lazima tumlawiti
 
Umeandika kuwa utakuwa Musoma 8.3.2026 siku ya Wanawake Duniani. Usilogwe ukaja huku maana nyinyi hamsikii?

Bado tuna fresh memory of Polepole whereabouts!
USILOGWE, LABDA KAMA UKO HAPA BONGO SAWA, LKN KAMA UKO NJE USILOGWE

By the way, hivi huwa unaripoti kesi ya Lisu ukiwa mahakamani au vipi? Maana huwa siamini kama uko hapa.
It might look funny!😳🤫😄😃😀😃😁😃
Nakazia. Naamini atakuelewa.
 
Back
Top Bottom