Wazee kama Wasira ni hasara kwa Taifa

Wazee kama Wasira ni hasara kwa Taifa

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
11,496
Reaction score
13,328
images (1).jpg
Wakuu kwema, Mungu mwema siku zote na amani na haki ikawe nyoyoni mwenu

Rejea mada tajwa hapo juu. Wahuni uzeeka pia, wazee kama Wasira ni janga kuu katika taifa huwezi kuwa kiongozi halafu ukazungukwa watu wenye akili ya Wasira then ukafaulu.

Zamani tulizoea wazee kuwafunda vijana walio chini yao katika uongozi, sasa uyu mzee vijana ambao wako kwenye uongozi wanajifunza nini kutoka kwake ?

Mungu anatakiwa kufanya jambo la haraka kuokoa taifa.

Wazee wa hivi wanajua muda wao umeisha ila wanasubili kudra za Mungu na wako tiyari kuvuruga kokote.

Kauli alizozitoa uyu mzee na kipindi ambacho taifa linapitia anatakiwa akapimwe akili, kwa umri ulionao unatakiwa jenga legacy sio kuongea ujinga ujinga.

Katubu we mzee na jirekebishe haraka sana.
Thanks
 
Jitu linasimama ati Lissu anachelewesha kesi kwa kuweka mapingamizi so asiweke ili iweje ili hali mmempa kesi ya kijinga , na ya uhongo , huwezi dili na chama chao kama huna akili ,ni akili tu inaitajika sio mabavu , WASIRA ni moja ya wazee wamelifikisha Taifa hapa, ipo siku atakufa mdomo wazi ,

Yani uyu kafanya kazi Mwl Nyerere, yupo , sasa anataka afe na nchi ? Samia huyu mama hakua mbaya kivile ,ila ni hawa wahuni wakamwingiza chaka ,leo mama wa watu amechafuka kila eneo .
Ushauri kwako mama , jiunge na chadema then itisha uchaguzi mpya tuone hawa wahuni wa ccm watakula ugali wapi , hii nikarata kuu ya kuweka legacy , ni mahamuzi magumu ila yenye tija kuu, Mama umezungukwa na wahuni
 
Wakuu kwema, Mungu mwema siku zote na amani na haki ikawe nyoyoni mwenu

Rejea mada tajwa hapo juu. Wahuni uzeeka pia, wazee kama Wasira ni janga kuu katika taifa huwezi kuwa kiongozi halafu ukazungukwa watu wenye akili ya Wasira then ukafaulu.

Zamani tulizoea wazee kuwafunda vijana walio chini yao katika uongozi, sasa uyu mzee vijana ambao wako kwenye uongozi wanajifunza nini kutoka kwake ?

Mungu anatakiwa kufanya jambo la haraka kuokoa taifa.

Wazee wa hivi wanajua muda wao umeisha ila wanasubili kudra za Mungu na wako tiyari kuvuruga kokote.

Kauli alizozitoa uyu mzee na kipindi ambacho taifa linapitia anatakiwa akapimwe akili, kwa umri ulionao unatakiwa jenga legacy sio kuongea ujinga ujinga.

Katubu we mzee na jirekebishe haraka sana.
Thanks

Tatizo vijana wa leo mumelelewa na bibi , hawa wazee wanatembea mitaani kwa kujivuna badala ya kupewa VIP treatment wakapumzika
 
Wakuu kwema, Mungu mwema siku zote na amani na haki ikawe nyoyoni mwenu

Rejea mada tajwa hapo juu. Wahuni uzeeka pia, wazee kama Wasira ni janga kuu katika taifa huwezi kuwa kiongozi halafu ukazungukwa watu wenye akili ya Wasira then ukafaulu.

Zamani tulizoea wazee kuwafunda vijana walio chini yao katika uongozi, sasa uyu mzee vijana ambao wako kwenye uongozi wanajifunza nini kutoka kwake ?

Mungu anatakiwa kufanya jambo la haraka kuokoa taifa.

Wazee wa hivi wanajua muda wao umeisha ila wanasubili kudra za Mungu na wako tiyari kuvuruga kokote.

Kauli alizozitoa uyu mzee na kipindi ambacho taifa linapitia anatakiwa akapimwe akili, kwa umri ulionao unatakiwa jenga legacy sio kuongea ujinga ujinga.

Katubu we mzee na jirekebishe haraka sana.
Thanks
Huyu siyo "doubtful debt" bali ni "bad debt" katika taifa. The only solution is to write-off.
 
Huyu angekuwa huku kwetu Usukumani ni kupiga shoka la kichwa tu
1771941692663.jpg
 
Wakuu kwema, Mungu mwema siku zote na amani na haki ikawe nyoyoni mwenu

Rejea mada tajwa hapo juu. Wahuni uzeeka pia, wazee kama Wasira ni janga kuu katika taifa huwezi kuwa kiongozi halafu ukazungukwa watu wenye akili ya Wasira then ukafaulu.

Zamani tulizoea wazee kuwafunda vijana walio chini yao katika uongozi, sasa uyu mzee vijana ambao wako kwenye uongozi wanajifunza nini kutoka kwake ?

Mungu anatakiwa kufanya jambo la haraka kuokoa taifa.

Wazee wa hivi wanajua muda wao umeisha ila wanasubili kudra za Mungu na wako tiyari kuvuruga kokote.

Kauli alizozitoa uyu mzee na kipindi ambacho taifa linapitia anatakiwa akapimwe akili, kwa umri ulionao unatakiwa jenga legacy sio kuongea ujinga ujinga.

Katubu we mzee na jirekebishe haraka sana.
Thanks
Ni bahati huyu Mzee amekua serikalini miaka mingi.
Kinyume na hivyo angekua gwiji la uchawi.
Na huenda bado Yuko hivyo.
 
Back
Top Bottom