Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗞𝗢𝗠𝗕𝗢 𝗔𝗦𝗛𝗜𝗥𝗜𝗞𝗜 𝗞𝗜𝗞𝗔𝗢 𝗖𝗛𝗔 𝗕𝗔𝗥𝗔𝗭𝗔 𝗟𝗔 𝗔𝗠𝗔𝗡𝗜 𝗡𝗔 𝗨𝗦𝗔𝗟𝗔𝗠𝗔 𝗖𝗛𝗔 𝗔𝗨, 𝗔𝗨𝗡𝗚𝗔 𝗠𝗞𝗢𝗡𝗢 𝗝𝗜𝗧𝗜𝗛𝗔𝗗𝗔 𝗭𝗔 𝗔𝗠𝗔𝗡𝗜 𝗦𝗢𝗠𝗔𝗟𝗜𝗔 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit...
0 Reactions
5 Replies
229 Views
Matukio ya utekaji, ufiraji, utesaji, kuua na mauaji ya Kimbari Oktoba 29 na kuendelea, yameshaanza kuonesha athari zake kwa wstawala ndani na nje ya nchi. Watamzania wameendelea kuikataa...
2 Reactions
2 Replies
246 Views
Zaidi ya waumini 100 wa Kanisa Katoliki wamekabidhi Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania barua rasmi ya malalamiko kwa Papa dhidi ya Askofu Mkuu wa Dar es Salaam, Jude Thaddeus Ruwa’ichi, na Katibu...
6 Reactions
28 Replies
959 Views
Nimekuwa nikifuatilia mgogoro wa RPC Mponjoli Mwabulambo na ndugu Msukuma nikakumbuka Miaka Miwili iliyopita nliishi Jijini Mbeya na nikafanikiwa kukaa mpaka Tukuyu kikazi kwa Mwaka Mzima...
7 Reactions
303 Replies
43K Views
Swala aliyeamua kujiunga na simba kumuonyesha simba walipo swala wengine ili simba akawawinde, hata yeye swala hayupo salama
4 Reactions
1 Replies
110 Views
Tahakiki ya Tamko la Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, kwa Wahariri, 25 Novemba 2025: Mazingira, Maudhui, Mapengo, Tathmini na Mapendekezo 1. UTANGULIZI KUHUSU TAMKO Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu...
14 Reactions
17 Replies
968 Views
Leo jioni Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amepost propaganda mfu wanazozitengeneza huko CCM kuwakebehi na kuwajengea picha mbaya Wanamageuzi wa kweli wa Tanzania Tundu Lissu na Godbless Lema eti...
17 Reactions
38 Replies
3K Views
Wazee wanasema "Tumbo halina dini, huwa linamwabudu kila anayelilisha." kuna watu wanaabudu wanaowalisha wameshindwa kusema ukweli
1 Reactions
0 Replies
119 Views
  • Redirect
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, amevituhumu vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, kwa kile alichodai kuwa ni mkakati wa kutaka kuingiza nchi kwenye machafuko kwa kutumia kigezo cha...
0 Reactions
– Replies
– Views
Pamoja na umaarufu utajiri na network ya wazazi wake ameamua kufanya kazi ya kawaida kabisaa
19 Reactions
121 Replies
9K Views
Kama Polisi walishasema ushahidi tulionao wananchi ni "AI", ninyi mnataka mpewe nini tena? Hebu nendeni kwanza kwa Muliro akawaambie alijuaje huo ushahidi uliotumwa kwa Larry Madowo ni AI...
2 Reactions
5 Replies
179 Views
Huu ujinga uliofanywa na wapumbavu wasiojielewa na matahira waliojiita wakatoliki nitashangaa sana kama utaachwa hivi hivi. Wanaoweza kufanya upumbavu kama huo ni watu matahira wasiojua...
12 Reactions
15 Replies
447 Views
Tutafakari pamoja Wakuu Kwamba 'Wakatoliki' zaidi ya 100 wameandamana mpaka ubalozi wa Vatican bila ya kukamatwa licha ya polisi waliotanda barabarani, hawakuonekana kabisa mpaka wamefika na...
3 Reactions
11 Replies
312 Views
Mpaka warudi kuwa na umoja kama enzi zile itachukuwa muda sana. Kundi linalopinga rais Samia kupitishwa kugombea na msaafu Kikwete ni kubwa. Na hilo ndio mpaka sasa halikubali huu uongozi uliopo...
1 Reactions
0 Replies
133 Views
Ukweli: Siasa za Uongo zimefika mwisho hakuna siri kwa kizazi hiki hivyo tumeshaona mbinu za Uchawa zimepitwa na wakati. Technologia imebadilisha sana mambo miaka hii huwezi kudanganya watu...
27 Reactions
36 Replies
855 Views
Jina langu halisi naitwa Muhamed Awadh Mafwere. Ni inspekta wa polishi kikazi. Kwa amri toka juu, niliwaita washirika wetu akina Zuwena aliyejiita Rose, Zahra aliyejiita Sofia, Mahamoud...
7 Reactions
15 Replies
463 Views
𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗞𝗢𝗠𝗕𝗢: 𝗘𝗟𝗜𝗠𝗨 𝗠𝗟𝗜𝗬𝗢𝗜𝗣𝗔𝗧𝗔 𝗜𝗪𝗘 𝗖𝗛𝗔𝗖𝗛𝗨 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗘𝗡𝗗𝗘𝗟𝗘𝗢 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗜𝗙𝗔 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewatunuku vyeti wahitimu 900 wa ngazi...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hotuba ya Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Imeonyesha Kuwapenda na kuwajali sana Watanzania. Ni...
0 Reactions
42 Replies
622 Views
Balozi Humphrey Polepole alitekwa na kupotezwa. Ajabu, serikali ya aliyekuwa kamteua iko kimya! Nini kifanyike ukweli na haki vite vitendeke? Tunangojwa amaduriwe Rais ndipo wahusika wawajibike...
3 Reactions
23 Replies
455 Views
Si siri wala uzushi. Tanzania sasa inaongozwa na waislam wakiongozwa na sheha na mashehena wao waliojaa uchu, uroho, uzwazwa kiasi cha kuwa vipofu wa balaa wanaloandaa. Tangu yafanyike maandamano...
4 Reactions
5 Replies
225 Views
Back
Top Bottom