Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

My Take Tanzania itakuwa na viwanja vya ndege Vingi kuliko Nchi yeyote Afrika Mashariki na Kati...
2 Reactions
50 Replies
708 Views
APRM Tanzania yaandhimisha 'APRM Day' kwa Shughuli za Kijamii Dar es Salaam Katika kuadhimisha Siku ya APRM (APRM Day), Watumishi wa Taasisi ya Mpango wa Hiyari wa Kujitahimini kwa vigezo vya...
0 Reactions
0 Replies
154 Views
Huyu jamaa tangu apigwe chini uwaziri naona kama dishi limeyumba flani hivi. Ukicheck Instagram page yake anaandika ujinga..eti juzi kati kaandaa mazishi ya ng'ombe wake aliyekufa na akaalika...
24 Reactions
58 Replies
2K Views
1) Watu wanabishana iwapo Mwigulu ni Magufuli mpya? Wengine wanasema ndio, wengine wanasema bado. Ukichambua kwa haki utaona MWIGULU ni Magufuli mpya kwa sababu hizi: moja, Magufuli alikuwa Rais...
5 Reactions
38 Replies
514 Views
Tokea nchi ipate uhuru mpaka leo miji ya kusini imekaa kizamani sana mfano mji wa songea ndio makao makuu ya mkoa wa Ruvuma lakini mji ulivyo ni aibu kusimama kwa wenzako na kusema makao makuu ya...
1 Reactions
5 Replies
267 Views
Ni muda mrefu sasa Kafulila hajasikika akileta taarifa za PPP kama tulivyomzoea akitoa taarifa na kudadavua mambo mbalimbali ya uchumi. Kabla ya October 2025 Kafulila alikuwa moto sana na...
5 Reactions
12 Replies
366 Views
"Mimi nimetokea familia maskini", "Mimi nimelala kwenye ngozi ya ng'ombe badala ya godoro".... "Mimi sina biashara yoyote na kiasi nilicho nacho benki hakizidi hata Tsh 20m".... viongozi wenye...
3 Reactions
6 Replies
206 Views
Salaam, Wananchama na Viongozi wa Chadema wanaowasili katika Mahakama Kuu Masijala ndogo ya Dar es salaam, kufuatia maombi namba 28922/2025 ya Tundu Lissu akiomba kuunganishwa kwenye kesi ya...
1 Reactions
5 Replies
642 Views
Kijana Adriano Amos kutoka Rukwa amemhoji Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuwa lini Serikali itaunda katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, akaongeza kuwa najua kesho naweza kuamkia kuzimu, lakini...
15 Reactions
28 Replies
997 Views
Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Dkt. William Samoei Ruto amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Mkoani Kilimanjaro, kushiriki katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa...
1 Reactions
2 Replies
212 Views
Rais wa Jamhuri ya Burundi Mheshimiwa Évariste Ndayishimiye amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Mkoani Kilimanjaro, kushiriki katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa...
1 Reactions
3 Replies
259 Views
Diwani wa CCM Kata ya Mzimuni katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Mheshimiwa Manufred C. Lyoto amefariki dunia leo Machi 7, 2026 Taarifa za kifo chake zimetolewa na Mwenyekiti wa CCM...
9 Reactions
61 Replies
1K Views
Mie nashindwa kuwaelewa watu. Wanasema eti Lissu alisema "tutakinukisha" Sasa tatizo liko wapi? Je wanajua Lissu alisema watakinukisha kitu gani? Kukinukisha kitu ni kukifanya kitoe harufu nzuri...
2 Reactions
3 Replies
193 Views
LISSU SI MTU WA KAWAIDA: Jaji Alionya, Taifa Linashuhudia! 👉Huyo ndiye Tundu Lissu mashine iliyomeza vitabu vya sheria na kuvimeng’enya hadi kuwa silaha ya haki. Kama ingekuwa ni hadithi za...
16 Reactions
24 Replies
901 Views
  • Featured
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaomba viongozi wa dini kuendelea kumwombea Rais Samia Suluhu dhidi ya watu wabaya ili wasipate nafasi ya kumsogelea yeye mwenyewe na Ikulu...
8 Reactions
88 Replies
2K Views
Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana. Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye...
33 Reactions
613 Replies
24K Views
  • Redirect
https://www.instagram.com/p/DVqu19tDZRo/?igsh=cmRobzhldTQzYzY4
0 Reactions
– Replies
– Views
Jumuiya ya Madola imeipokea na kukubali dhamira ya Serikali ya Tanzania juu ya kupokea na kuwezesha ziara pamoja na kazi za Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo Dkt. Lazarus Chakwera...
0 Reactions
18 Replies
801 Views
Bila ubishi Kapembe anachukua kiti cha uenyekiti. Manunga alitumia pesa tu ambazo zilimpa uenyekiti bila ridhaa ya madiwani. Leo ametimuliwa. Hata uchaguzi ukirudiwa sasa hivi Kapembe anashinda.
1 Reactions
3 Replies
224 Views
Wanabodi Hii ni makala yangu gazeti la Nipashe. Huu ni wito kwa wana tasnia ya habari, "Moja shika sii kumi nenda rudi " and "if you can't get what you want, then just take what you get"...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Back
Top Bottom