Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mna mambo ya ajabu sana hapo Chato. Ndio mmepata story ya kufurahia? Kwa hiyo kwa hii CCM mnadhania watafungwa?
2 Reactions
7 Replies
353 Views
Kuna baadhi ya picha ni Screenshot za Watu walipost Twitter(X), Instagram Facebook nk. 1). Je, wale waliopost hizo Picha Mtandaoni ndo Watakuwa Mashahidi? 2. ICC wanapokea Ushahidi wa Screeshot...
1 Reactions
3 Replies
301 Views
Mimi ni Mkazi wa Maili Moja, Kibaha Mkoani Pwani, huku kwetu Mtaa wa Muheza na mitaa mingine ya jirani kwa takribani zaidi ya miezi mitatu sasa tunapata bili ya maji Unit 0 ikiwa na maana hakuna...
1 Reactions
7 Replies
445 Views
Amefariki mchana wa leo, Hospitali ya Taifa - Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kila nafsi itaonja mauti - naam, sisi ni mavumbi, na mavumbini tutarudi Pia soma Rais Magufuli amrudishia...
17 Reactions
77 Replies
2K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Mbunge wa Zamani wa Mbeya Mjini , Mwekezaji na Mfanyabiashara wa Kimataifa , Bilionea Joseph Mbilinyi , leo ameanza ziara ya kisiasa kwenye Wilaya ya Rungwe ...
9 Reactions
67 Replies
4K Views
Huu ndio Ukweli , Alianza Kitilla Mkumbo aliyetunukiwa Wizara ya Uwekezaji , Mimi ukiniuliza kitu chochote alichowahi kukifanya Kitilla Mkumbo cha kupigiwa mfano kwenye Nchi hii , hata...
29 Reactions
45 Replies
5K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa, mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini , Bilionea Joseph Mbilinyi, jioni ya leo alikuwa Wilayani Chunya, akiwaelimisha wananchi...
9 Reactions
37 Replies
3K Views
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, wananchi wengi wanakiri juhudi zako katika kuongoza taifa letu na kuimarisha sekta mbalimbali. Hata hivyo, kuna masuala mazito yanayohitaji ufafanuzi na hatua...
0 Reactions
7 Replies
305 Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ametoa wito kwa Wizara zinahusiana na Sekta ya Mazingira, kufanya kazi kwa...
1 Reactions
1 Replies
217 Views
  • Redirect
NAOMBA KUELEWESHWA KWA UPOLE SOTE TUFAHAMU NAKUELEWA, Mimi nilidhani ujio wa DP WORLD ndio ambao ungehusika kwenye matengenezo wa hiyo bandari! Iweje leo tusikie GHARAMA ZA BANDARI zinaongezeka...
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Featured
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Butiku, amewataka Watanzania kukubaliana na uhalisia kwamba nchi tayari ina Rais aliye tayari kwa maridhiano. Butiku...
5 Reactions
86 Replies
3K Views
Kwa kila namna taifa limepasuka. Matajiri na wenye mali ndio wanaofaidi taifa hili. Watoto wa masikini wanauza mahindi ya kuchoma na karanga ili waende shule. Watoto wa matajiri na wanasiasa...
8 Reactions
8 Replies
298 Views
"DP World atafanya kazi maeneo yaleyale aliyopewa kulingana na masharti ambayo tumemuwekea. Lakini bandari zote zitaendeshwa na TPA au mwekezaji mwingine au mwendeshaji mwingine wa ndani au wa nje...
11 Reactions
85 Replies
7K Views
Hili ni swali kwa watu wote , kule Mbeya kumeandaliwa maandamano ya kupinga Mkataba wa aibu wa DP WORLD na Bandari za Tanganyika . Sasa cha kushangaza ni hiki , Maandamano hayo yanaungwa mkono na...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
Heri ya Siku ya Wanawake Duniani Mhe. Ghati Z. Chomete Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara.
0 Reactions
1 Replies
239 Views
Watu 38 wakiwemo viongozi, makada na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliokuwa wameshikiliwa na Polisi mkoani Mara kwa tuhuma za kusababisha vurugu na taharuki katika mji wa...
2 Reactions
4 Replies
327 Views
Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Said Issa Mohamed akiongea na Waandishi wa Habari, leo Machi 5 ameeleza kuwa kesi ya mgawanyo wa mali...
0 Reactions
9 Replies
338 Views
Kabla ya uchafuzi WA 2025, migogoro au hisia ya kudhulumiwa Kwa upande moja ulisababisha Chama Fulani kusimamishwa kufanya shughuli za kisiasa nk. Sasa katika nchi hiyo hiyo ikitokea jimbo moja...
6 Reactions
11 Replies
382 Views
Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohammed amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche @hechejohn kumheshimu na kutokutoa lugha zisizo sahihi dhidi yake ikiwemo ya...
3 Reactions
19 Replies
797 Views
Back
Top Bottom