Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu Mwigulu ameonya pia mwenendo wa kulimbikiza migogoro jambo linalopelekea kwa kua migogoro hiyo inatishia undugu wetu kama Watanzania. Ameeleza...
1 Reactions
2 Replies
168 Views
Waheshimiwa wabunge Livingstone Lusinde, Hamisi Kigwa. Joseph Kasheku Musukuma, Mariam Ditopile mbona mko kimya hadi sasa hamjamsikia Rais Samia kuhusu kuruhusu KUKOSOLEWA? Mbona hamjatoa tamko...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Aliyekuwa kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam kamanda Tibaigana ametoa maoni yake kuhusu kitendo cha jeshi la polisi kuzuia maandamano ya CHADEMA. Akizungumza na mwanahabari wa...
4 Reactions
55 Replies
11K Views
Hawa ni viongozi wastaafu wa jeshi la polisi ambao walitenda wajibu wao kwa weledi mkubwa kwa kuitumia sheria ipasavyo, kuitambua katiba ya nchi na demokrasia kwa ujumla pamoja kutumia hofu ya...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
Wizara ya Kilimo na Wizara ya Viwanda na Biashara zaanza kutekeleza agizo la Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kuhusu marufuku ya Lumbesa 📍Nsimbo-Katavi 🗓️Machi 15, 2026
0 Reactions
5 Replies
189 Views
Viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa pamoja na wadau wa demokrasia nchini wamekutana katika iftari maalumu iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo Machi 13, 2026 katika Ukumbi...
1 Reactions
11 Replies
385 Views
Tunaweza kuwa na tofauti zetu lakini kuna mstari ukivukwa lazima utauona umoja wa watanzania hata wanaotofautiana Trump akithubutu kutuletea mambo yake aliyofanya Vendezuela na sasa Iran...
5 Reactions
9 Replies
363 Views
WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI MGOMBE YENYE MKONDO WA AMALI YA KIHANDISI, KATAVI WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 15, 2026 ameweka jiwe la msingi la Shule ya...
0 Reactions
1 Replies
216 Views
Kwa sababu ukiangalia kwa makini, kuna masuala mengi sana ambayo wananchi wanayapeleka kwa Waziri Mkuu lakini kiutaratibu hayahitaji kufika kwenye ofisi hiyo kabisa. Kwa mujibu wa muundo wa...
1 Reactions
14 Replies
265 Views
Nimekuja na salamu za upendo kutoka kwa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye anatambua mchango mkubwa wa taasisi za dini katika kudumisha amani...
1 Reactions
9 Replies
249 Views
Hatimaye chama kikongwe, sikivu na kinachotatua matatizo ya wananchi kwa wakati, wameanza kutoa huduma ya kutatua matatizo ya ndoa. Kama mke wako anakunyima unyumba, mchumba wako anakunyanyasa...
6 Reactions
18 Replies
552 Views
Siku moja niliwahi kuwaza, hivi pamoja na matatizo ya muundo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, inawezekana kwamba muundo huu huu unaweza kufaa maeneo kama Middle East katika kupata suluhisho...
1 Reactions
2 Replies
178 Views
Wanabodi, Jana tulishitushwa na habari ya kufilisika kwa kampuni ya Sahara Media Group, ambayo kampuni wamiliki ni wa kituo cha T cha Star TV, Radio Free Africa na Kiss FM, hivyo na mimi japo sio...
14 Reactions
29 Replies
953 Views
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amefanya ziara mkoani Katavi kukagua miradi mbalimbali iliyotekelezwa mkoani humo ikiwemo ujenzi wa shule na hospitali na kuelezea mafanikio yaliyofanyika katika...
0 Reactions
1 Replies
176 Views
Wakuu, Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza mkoani Tanga Februari 27, 2026 limeazimia kwa pamoja kutokuwa na imani na Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo kufuatia tuhuma za...
2 Reactions
11 Replies
562 Views
Afya ni Mtaji wa kwanza katika shughuli za maendeleo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Songambele (Nsimbo)-Katavi 🗓️Machi 15, 2026 ———————————— Amesema hayo alipozungumza na wananchi wa kata ya...
0 Reactions
0 Replies
192 Views
WAZIRI MKUU AAGIZA UCHUNGUZI WA MFUMO WA UPATIKANAJI WA DAWA HOSPITALINI ▪️Akemea watumishi wanaowaelekeza wananchi kununua dawa nje ya hospitali ▪️Aonya utapeli wa ardhi za vijiji ▪️Akemea...
1 Reactions
1 Replies
171 Views
Haya sasa wale wachambuzi wa hii vita wanaodai ni ya kidini kati ya wayahudi-Israel na Waislam upande wa Iran, Kwa upande wangu naunga kauli hii ya askofu. Hii vita tuache kabisa kuihusisha na...
1 Reactions
11 Replies
473 Views
Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu ameagiza wakandarasi wote wanaopewa miradi ya serikali waliolipwa fedha zao zote kisha wao hawawalipi mafundi (sub contractors) wasakwe, wawekwe...
0 Reactions
4 Replies
108 Views
Tanzania imefungua vizuizi vya utafutaji wa mafuta ndani ya Ziwa Tanganyika, mojawapo ya maziwa makubwa zaidi ya maji safi duniani yaliyyo kati ya Tanzania, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
6 Reactions
20 Replies
645 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…