Wazee wa ambao ni wanachama na wafuasi Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mkoa wa Simiyu wameeleza kuridhishwa na kiongozi wao Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Bara John Heche huku wakimtaka...
Makamanda Peoples!!!!!
Wale wote wanaochukizwa na Ufisadi ndani ya CHADEMA msife moyo sasa agenda yetu itaingia kinguvu siku ya Baraza Kuu la Chama kwa sasa tutulie hiyo 334Milion itimie tukisha...
Pamoja na mabaya mengi ya Samia amesaidia kwa kiasi kikubwa kuwakuza viongozi wa Chadema na kukuza chama. Kitendo cha Chadema kutokuingia kwenye chaguzi fake zimeonyesha walikuwa sawa na ukweli...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mama Maria Nyerere muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kuelekea Luanda, Angola ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi...
Habari za Sabato!
Baada ya kutoka church nimeingia mtandaoni. Huko nimemwona Mhe. Agrey Mwanri aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Akitoa hotuba yake ya kwanza ya shukrani baada ya kuteuliwa nafasi...
Serikali iangalie kwa karibu sekta ya usafiri wa anga nchini, hasa suala la gharama kubwa za nauli za ndege ambazo zimekuwa changamoto kwa Watanzania wengi. Kwa sasa, wananchi wengi wanashindwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Ni Jasusi Mbobevu aliyepikwa na kupikika. Ameiva na kukomaa kisawasawa. Ndio Sababu ya Kuona akiwa mtulivu sana katika Ulimi...
Kwa mujibu wa Sheria ya Kuzuia Ugaidi ya 2002, Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi ana WAJIBU wa kutangaza mtu au kikundi chochote cha Ugaidi kwenye GAZETI la Serikali. Chini ya mikataba ya Kimataifa...
Kwa Nini CCM imefika mwisho.
Haitavuka 2030.
Ongezeko kubwa la wanawake kua wapigania haki wakubwa hapa Tanzania.
Ni kawaida wanaume kwa miaka mingi ulimwenguni ndio wamekua wapigania haki kwa...
Rais ni Taasisi yenye Watu Makini, Waliobobea/ Weredi katika Fani zao mbalimbali, nachelea kuelewa kwanini katika zamani hizi bado anakumbatia Mawazo ya kutumia Mavyamq Feki kufanikisha ajenda...
Wanasiasa wa Tanzania (hawa wa upinzani) wameshajijengea dhana ya kuwa watakula ofsini kwahyo hawana mubadala wa kupata Hela nje ya Siasa ndo maana ni vigumu sana kuachia madaraka licha ya kuwa...
Kuna kitu huwa kinanichanganya na kunifikirisha
Mtu akiamua kugombea udiwani, ubunge au hata urais, je, huwa anatafuta kazi kama zilivyo kazi nyingine ili apate kipato cha kujihudumia yeye na...
Wanasiasa kumbukeni madaraka hukoma, sasa kama mtawatendea wengine mabaya kipindi cha uongozi wenu, huenda moja kwa moja msione madhara kwa sasa.
Ila kesho hao ambao mnawatendea mabaya wakishika...
Kichwa cha habari kinahusika.
Ccm hawataki watekaji na wauwaji wajikane.
Pia hawataki wahusika hao kuomba MSAMAHA kwa matendo yao.
Kule Afrika Kusini, mchakato wa Maridhiano ulihusisha...
Kama kawaida si kila kitu lazima kiandikwe Ila kuna ya msingi ya kuandikwa ambayo yana toa ushauri na kuwezesha kurekebisha panapotakiwa kurekebishwa.
Wengi tuliamini na kuamini kwamba kuna...
Wakili Peter Madelekea amesema Tume ya Jaji Lila haina mamlaka kisheria kupeleleza Jinai. Akizungumza katika mahojiano maalum na Crown Media Julai 30, 2029, Wakili Madelekea ameeleza Katiba na...
Matukio yanayoendelea tangu uchaguzi wa ndani wa CHADEMA, Januari mwaka jana,unanipelekea kufanya tafakuri na kuhutimisha kuwa ushindi wa Lissu na Heche, umekuea " game changer" kwa siasa za...
Je,
Baraza kuu la chadema taifa linaweza kuziziba nyufa hizo na kuwaleta pamoja wanachadema ambao wamegawanyika na kila upande una mawazo, maoni na mtazamo mseto dhidi ya tuhuma za ufisadi...
Wanabodi,
Declaration of Interest: mwanzisha mada ni mwandishi wa habari mstaafu ambaye amehudumu kwenye tasnia hii as active media kwa zaidi ya miaka 27, hivi sasa ni mstaafu akiendelea kuhudumu...