Katiba siyo bibilia au msaafu

Katiba siyo bibilia au msaafu

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,689
Reaction score
7,850
Kuna kahoja kanatumika na wajinga flani kwamba tukibadirisha katiba tunakuwa tunawadharau waasisi wetu.

Kambarage mwenyewe alifanya hivyo mara kazaa ili katiba iendane maisha ya wakati ule.

1961, 1962, na 1977) pamoja na katiba ya mpito/ya muda (1964/1965), badala ya kuifanyia marekebisho.

Katiba ni shati je kuna mtu anawena kuvaa shati lililopauka na lenye viaraka viraka.

Nakupongeza makamu wa Rais (mngoni mwenzangu) kwa ajasiri uliotuonyesha.
 
Kuna kahoja kanatumika na wajinga flani kwamba tukibadirisha katiba tunakuwa tunawadharau waasisi wetu.
Kambarage mwenyewe alifanya hivyo mara kazaa ili katiba iendane maisha ya wakati ule.
1961, 1962, na 1977) pamoja na katiba ya mpito/ya muda (1964/1965), badala ya kuifanyia marekebish.
Katiba ni shati je kuna mtu anawena kuvaa shati lililopauka na lenye viaraka viraka.
Nakupongeza makamu wa Rais (mngoni mwenzangu) kwa ajasiri ulionyesha.
Yule Jezzebeeeel anasema katiba ni litabu tu, eti kama cha Juma na Roza
 
Kuna kahoja kanatumika na wajinga flani kwamba tukibadirisha katiba tunakuwa tunawadharau waasisi wetu.
Kambarage mwenyewe alifanya hivyo mara kazaa ili katiba iendane maisha ya wakati ule.
1961, 1962, na 1977) pamoja na katiba ya mpito/ya muda (1964/1965), badala ya kuifanyia marekebish.
Katiba ni shati je kuna mtu anawena kuvaa shati lililopauka na lenye viaraka viraka.
Nakupongeza makamu wa Rais (mngoni mwenzangu) kwa ajasiri ulionyesha.
Wasamehe tu bure maana hawajui walifanyalo maana njaaa ndiyo zinawaongoza badala ya kufuata matakwa ta watanzania
 
Kuna kahoja kanatumika na wajinga flani kwamba tukibadirisha katiba tunakuwa tunawadharau waasisi wetu.
Kambarage mwenyewe alifanya hivyo mara kazaa ili katiba iendane maisha ya wakati ule.
1961, 1962, na 1977) pamoja na katiba ya mpito/ya muda (1964/1965), badala ya kuifanyia marekebish.
Katiba ni shati je kuna mtu anawena kuvaa shati lililopauka na lenye viaraka viraka.
Nakupongeza makamu wa Rais (mngoni mwenzangu) kwa ajasiri ulionyesha.
Gentleman,
suala la katiba mpya ni miongoni mwa vipaumbele muhimu sana katika ilani ya uchaguzi ya CCM 2025

ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra, kwani kwa wakati muafaka, serikali sikivu ya CCM chini ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan na makamu wake Dr.Emmanuel John Nchimbi watatekeleza kipaumbele hicho bila mbambamba yoyote ile 🐒
 
Kuna kahoja kanatumika na wajinga flani kwamba tukibadirisha katiba tunakuwa tunawadharau waasisi wetu.
Kambarage mwenyewe alifanya hivyo mara kazaa ili katiba iendane maisha ya wakati ule.
1961, 1962, na 1977) pamoja na katiba ya mpito/ya muda (1964/1965), badala ya kuifanyia marekebish.
Katiba ni shati je kuna mtu anawena kuvaa shati lililopauka na lenye viaraka viraka.
Nakupongeza makamu wa Rais (mngoni mwenzangu) kwa ajasiri ulionyesha.
Uhai wa ccm upo kwenye Katiba mbovu ya Tanganyika.
Siku WaTanganyika wakiamka kuidai nchi yao na Katiba yao ccm haitotamalaki!
 
Kuna kahoja kanatumika na wajinga flani kwamba tukibadirisha katiba tunakuwa tunawadharau waasisi wetu.
Kambarage mwenyewe alifanya hivyo mara kazaa ili katiba iendane maisha ya wakati ule.
1961, 1962, na 1977) pamoja na katiba ya mpito/ya muda (1964/1965), badala ya kuifanyia marekebish.
Katiba ni shati je kuna mtu anawena kuvaa shati lililopauka na lenye viaraka viraka.
Nakupongeza makamu wa Rais (mngoni mwenzangu) kwa ajasiri ulionyesha.
Uko sahihi. Katiba sio Msahafu kwamba haibadiliki. Lakini imani ya watu haiwezi kubadilika.

Sisi CCM tunaamini katika:-

i) Serikali mbili; ya Muungano na ya Mapinduzi Zanzibar.
ii) Serikali za Mikoa
iii) Winner takes all katika Uchaguzi Mkuu.
iii) Umoja, upendo na ushirikiano miongoni mwa wananchi na wa watu wa mataifa mengine.

Katiba ikiweza kuyatambua haya, tupo tayari kwa Katiba Mpya.
 
"Katiba ni shati je kuna mtu anawena kuvaa shati lililopauka na lenye viaraka viraka"! Njoo uswahilini kwetu ujionee kwa macho yako watu wanavyovaa marapurapu na midabwada, mkikaa Masaki na Oysterbay nmadhani nchi yote iko hivyo.
 
Back
Top Bottom