Huko serikalini ni kama watu wamepanick hata hawaeleweki.
Sababu nikwamba hawaelewi washike lipi waache lipi.
Mambo ni mengi:
. Ukosoaji unaongezeka
. Utekaji unaendelea
. Shinikizo kutoka ndani...
Kuna mpasuko wa kidini unaanza kunukia Tanzania na ukifuatilia kwa makini utagundua mgogoro huu unaongezeka kila siku.
Cha kusikitisha Chanzo kikubwa ni wanasiasa, wale wale waliofanya makosa...
Sisi kama vijana tumevumilia changamoto hii kwa muda mrefu sana. Tumekuwa tukinyamaza, tukifanya kazi, tukijaribu kusukuma maisha, lakini kwa kweli mambo yamezidi kupindukia.
Tumefikiria sana...
Waislam ndio walikua front kupigania uhuru, ukisikiliza hotuba yake mwalim Nyerere Bagamoyo aliwashukuru waislam kuwa mbele kupigania uhuru ambapo taasisi nyengine zilikua kimya.
Ndio hivi sasa...
PART 1.
Ndugu zangu Watanzania!
Amani ya Bwana na iwe nanyi!
Ashukuriwe Mungu kwa kutuwezesha kuuona mwaka mpy kwani siyo jambo rahisi kwetu Sisi watanzania baada ya kushuhudia maelfu ya watu...
Ameandika Wakili Peter Madeleka kupitia mtandaoni;
"Huo hapo ni uamuzi wa Mahakama na ni halisi (Authentic). Kimsingi, haueleweki na Hautekelezeki kisheria. Haiwezekani Thadey Sabinus Kweka...
https://x.com/clashreport/status/2007126491885355164
Baada ya Somalia, kituo kinachofuata ni Yemen, Sudan, Libya, Syria, Kama Iran haitaweza kuzuia kinachoendelea ijiandae kuwa na vinchi ndani ya...
“Inategemea na mtizamo…..kama hamna amani unawezaje kudai haki? Utazitambuaje haki zako unawezaje kutimiza wajibu kwa hiyo kimsingi na watu wamekuwa na mijadala mingi lakini unawasikiliza...
Anasikika juzi kwenye ibada ya mwaka mpya akisema kuwa kuna watu ameaacha mahala wamewekwa kizuizini
Amesema atataja aseme mapema ili tujue kama watu bado wapo hai ambao tunadhania walishauwwawa...
Huyu hehe kaibukia madhabahuni kwenye mkesha akatapika nyongo za mafumbo kisha karudi mafichoni.. Nina hakika alikuwa na ulinzi heavy Sana na mbinu za kivita mpaka alipofanikiwa kurudi mafichoni...
Alikuwa busy kuhakikisha rasilimali za umma zinawaletea maendeleo wananchi.
Akawaambia tuwe tunajikita kwenye ujenzi wa taifa baada ya uchaguzi. Then baada ya miaka mitano tunafanya...
Kijana Jovin Kaaya, mzaliwa wa Mkoa wa Arusha, amesimulia kwa kina sakata la kukamatwa kwake jijini Dar es Salaam Oktoba 31, 2025 na kushtakiwa kwa kosa la uhaini, hadi kuachiwa huru baada ya kesi...
J.K. Rowling, mwandishi mashuhuri wa Uingereza, mtayarishaji wa filamu na mwandishi wa skrini, anayejulikana duniani kote kupitia mfululizo wa vitabu vya Harry Potter, anazungumzia kwa msimamo...
Wananchi wa Jimbo la Fuoni lililopo wilaya ya Magharibi B mkoa wa Mjini Mgaharibi, Zanzibar wameendelea kujitokeza kushiriki katika uchaguzi mdogo wa Mbunge katika jimbo hilo.
Uchaguzi huo...
𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗞𝗔𝗚𝗨𝗔 𝗛𝗔𝗟𝗜 𝗬𝗔 𝗨𝗭𝗔𝗟𝗜𝗦𝗛𝗔𝗝𝗜 𝗡𝗔 𝗨𝗦𝗔𝗠𝗕𝗔𝗭𝗔𝗝𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗝𝗜 𝗥𝗨𝗩𝗨 𝗖𝗛𝗜𝗡𝗜
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Desemba 29, 2025 amekagua hali za uzalishaji na usambazaji wa maji eneo la Ruvu Chini...
Kueleza ukweli kuwa Rais Samia na genge lake ni waovu na wameua watu wengi akiwemo hayati John Pombe Magufuli.
Ufisadi wenye kinyaa. Mfano wa Angela Kiziga lakini anakumbatiwq na Rais Samia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.