funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,416
- 31,921
Wakati mchakato wa uchaguzi wa mgombea ndani ya CCM tulishuhudia ndugu Lowasa akiahidi michango mbalimbali mmojawapo ni ule wa shilingi milioni 100 kwa ajili ya ujenzi wa msikiti Arusha.
Baada ya kukatwa na CCM na pia kumaliziwa na watanzania ni wazi alikasirika sana.
Juzi juzi tulimuona Kwa mara nyingine akiwa kwenye zile kiki zake alizozizowea yaani misikitini na makanisani...mara hii akijitanabaisha kuws msemaji wa makundi hatari kama vile uamsho.
Swali limenijia je ndugu huyu anayewapenda sana waislamu ametekeleza ahadi yake ya ujenzi wa msikiti au kama kawaida alitumia podium kuuzia sura?