Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
FATMA KARUME! Pamoja na kutofautiana itkadi na huyu mama lakini bado inabidi nikubali kwamba ni kiongozi 'potential' wa nchi hii! Kutokana na harakati chache ninazoona akishiriki imebidi...
0 Reactions
Replies
Views
Joshua nasari ni moja kati ya wanasiasa mahiri kwenye kuhakikisha ahadi zake zinatimia na sasa dogo ameshatekeleza mengi aliyoahidi. Zitto kabwe kama alivyoonywa na wananchi wa Kigoma kuwa kama...
0 Reactions
2 Replies
522 Views
  • Redirect
Ndg , wana Jf kumekuwa na mwitikio mkubwa kwa wafanyakazi selikarini kugombea nafasi mbalimbali ndani ya vyama vya siasa, mfano mwalimu ambaye ni mwajiriwa selikarini anagombea uwakilishi wa...
0 Reactions
Replies
Views
Wananchi wa Ikungi waomba msaada kwa mbunge wa CCM Mheshimiwa Elibariki Kingu, baada ya kutelekezwa na mbunge wao Tundu Lissu kwa muda mrefu . Baada ya maombi hayo mbunge Kingu aliridhia na...
12 Reactions
153 Replies
13K Views
Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya nchini imekamata makontena 10 yaliyokuwa na kemikali aina ya ethanol yenye ujazo wa lita 200000 (Laki mbili) kupitia bandari ya Dar es salaam...
6 Reactions
126 Replies
14K Views
  • Redirect
Waziri mkuu mwenye rekodi ya kukaa madarakani Kwa kipindi cha miaka kumi na baadae kubatizwa jina la Mr zero na wafuasi wa Chadema, sasa ameibuka. Sumaye ambae alihama ccm na kujiunga na chadema...
1 Reactions
Replies
Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa na ambayo iliwaacha Watu wengi midomo wazi huku wengine wakivunja mbavu kwa vicheko Mwanasiasa maarufu na mwenye ushawishi mkubwa nchini Kenya ambaye pia ni...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Leo maeneo ya Kimara -Ubungo Maji wasafiri wamepanda usafiri wa mwendokasi bure kisa kutokufanya kazi kwa mfumo wa kukata tiketi. Tukio hilo lilianza majira ya alfajiri hadi saa 3 asubuhi. Naona...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Puzzle as UDA millions paid to board chairman Tuesday, 02 August 2011 By The Citizen Team Some Sh270 million meant for the purchase of State-owned commuter transport firm Usafiri Dar es Salaam...
19 Reactions
149 Replies
17K Views
Wanasheria wa chadema wanamaliza pesa kwa kisingizio cha legal fees. Kesi za kujitungia ni nyingi ambazo akina lisu hufanya makusudi ili mawakili wa chadema wapate ajira walambe pesa. Mbowe weka...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Upo ushahidi kwamba Ndugu Hunter Mwakifuna maarufu kama " MCHWA " , diwani wa kata ya Ipinda Amekesha akihaha kurekebisha uozo ndani ya ofisi yake , katika usiku wa kuamkia leo. Ikumbukwe kwamba...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
wanabodi, Ni jioni ambayo ningependa kwenda kwenye mapumziko baada ya saa za ofisi, ukizingatia foleni zisizoisha katika jiji la Dar es salam, lakini najikuta nikiahirisha kufunga ofidi ili...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Ni kwamba hizi gharama ambazo wabunge au madiwani haswa wa CHADEMA, wanapotumia midomo yao kuropoka na kwenda kinyume cha sheria na kukamatwa na polisi na kuswekwa ndani, baadae wanakuja mawakili...
10 Reactions
137 Replies
10K Views
Wanabodi, Salaam; Al-Sahhaf majina yake kamili ni Mohammed Saeed Al-Sahaaf, akiwa amezaliwa 30 July 1940 Hilla, Iraq . Kwa wenye kumbukumbu nzuri bwana huyu alikuwa ni Waziri wa Habari wa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya Rais wa TLS, Tundu Lissu kuachiwa kwa dhamana, Wakili Fatma Karume amezuiwa kuzungumza na waandishi wa habari na kutakiwa kuondoka.
8 Reactions
235 Replies
29K Views
Ndugu zangu, Inasikitisha, inahuzunisha,inakatisha tamaa na kutia hasira kuona madiwani wenu wanajiuzuru nafasi zao za Udiwani ambazo wapo watu wengi waliwekeza kwazo kifedha, kiharakati...
0 Reactions
9 Replies
810 Views
Kwa mujibu wa taarifa ambazo nimepenyezewa na wanyetishaji wangu wa kuaminika zinaeleza kuwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kinajipanga kutoa sapoti ya nguvu katika ahadi ya Mh Edward Lowassa...
7 Reactions
55 Replies
5K Views
Rais wetu ashauriwe upya juu ya msimamo wake kuhusu maeneo yenye njaa. Mkoani Mara, baba yangu amekuwa akilima zaidi ya ekari 10 za Mahindi kwa miaka 4 mfululizo, ni hasara tupu. Hakuna mavuno kwa...
6 Reactions
40 Replies
4K Views
Sasa watu wanauliza njaa ipi walio nayo Viongozi wa dini ambayo Julius Matatiro hana?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mbunge Joshua Nassari awaonya Viongozi wa dini Kuacha kuwasafisha Mafisadi wanaomwaga Fedha Makanisani na Misikitini kila Kukicha...!! MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom