2020 wanasiasa watahukumiwa kwa kutekeleza ahadi zao

Mpangawangu

JF-Expert Member
Mar 5, 2014
887
965
Joshua nasari ni moja kati ya wanasiasa mahiri kwenye kuhakikisha ahadi zake zinatimia na sasa dogo ameshatekeleza mengi aliyoahidi.

Zitto kabwe kama alivyoonywa na wananchi wa Kigoma kuwa kama ataendekeza mdomo basi watamuangusha,nae naona kafuata nyendo za Hayati Deo Haule Filikunjombe.

Elibariki Kingu naona anakuja vizuri sana kwenye siasa za kutimiza ahadi alizoahidi.

Vipi mliopo jimboni kwa Lusinde(kule Mtela kuna utekelezaji wa ahadi au ni vijembe tu)

Vipi Jimboni kwa Mnyika,ahadi alozozitoa anatimiza?

Tundu Lissu je Jimboni aamewatimizia yale aliyowaahidi mpaka wakamchagua?

Magufuli je? Zile ahadi alizotuahidi anaendelea kuzitekeleza?

2020 bila kujali vyama tuwahoji wanasiasa wetu maendeleo waloyotuahidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu utakuwa unataka kumzungumzia JPM anavyombwela anashika hili anaacha hkn hata moja alikotekeleza mpaka sasa
 
Back
Top Bottom