Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

A Canadian-based mining company has threatened to take legal action against President John Magufuli’s government if it goes ahead with plans to retake operations of the Buckreef Gold Mine owned by...
5 Reactions
399 Replies
51K Views
Wanabodi, Kama kweli Rais Magufuli anataka kujipima ufanisi wake, basi aruhusu, mikutano ya Siasa kwa vyama vyote, kwa Mujibu wa Ibara ya 3 ya Katiba ya Tanzania. Hii itasaidia kukosorewa na...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
WAKATI Rais wa Awamu ya Tano, John Magufuli akitekeleza masuala mbalimbali aliyowaahidi Watanzania, ikiwa ni pamoja na kurejesha uwajibikaji na kupambana na ufisadi, Waziri Mkuu mstaafu, Frederick...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Hata mtoto mdogo atagundua kwamba serikali ya awamu ya tano imekusudia kabisa kuua demokrasia, na ikiwezekana wanatamani kibaki chama kimoja. Sasa najaribu kuangalia mbinu zinazotumika, mara...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Tunaposema lipo jambo juu ya madiwani wa Chadema wanaolazimishwa kujiuzulu huko kanda ya Kaskazini basi mtuelewe maana tunajua kila kitu. Huko jimboni Hai ambapo madiwani watatu walijiuzulu...
12 Reactions
31 Replies
3K Views
“Naiomba Serikali ya kibeberu, itamke wazi kwamba inaishambulia TANU kwa sababu TANU tumetangaza bila woga kuwa Serikali ya kimabavu tutaipiga vita. Tutaishambulia bila kupumua mpaka tumeiangusha...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Waziri mkuu kassimu majaliwa yupo mkoan mby kwa ziara ya kikazi wanaichi wa mby na songwe kwa ujumla wamekelwa sana na tabia ya wana ccm kumiliki mikutano ya pm kama ya chama ndipo sasa jana...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba twende direct to the point. Sipendagi kuuma uma maneno. Toka Lipumba arudi na kuamua kutaka kuchukua kiti chake kwa lazima, tumeona matukio mengi. 1.Moja wapo ni jinsi msajiri wa vyama...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Huyu jamaa akiwa kwenye misafara huko mikoani, ratiba ya kula huwa inatupwa kule. Yaani toka asbh hadi jioni hakuna kitu hutia kinywani. Kweli Hapa Kazi Tu!
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Kuna habari kwamba Benki ya waalimu Tanzania iliikopesha CCM mabilioni ya shilingi wakati wa uchaguzi wa mwaka 2015 Pia kuna tetesi kwamba kila wakijaribu kufuatilia malipo,wanakutana NA vigingi...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Naamini mko salama kwa uweza wa Mungu baba. Ninapoandika hapa najaribu tu kuwasilisha mawazo yangu hapa kupitia huo msemo wa wahenga,nikiifikiria CUF na masaibu yake. Lipumba alipojiuzuru mliona...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nyaraka zaonyesha kila hatua aliweka mikono yake Uthibitisho wa kuibeba Richmond watolewa peupe Kumbe ndiye aliipora Tanesco kazi ya kusaka mzabuni Wizara ya Nishari na Madini ilisubiri maamuzi...
2 Reactions
133 Replies
15K Views
Hii inaingia akilini kweli? Mamadou Anthony Diallo bado yumo na anatarajia kuchukua fomu kugombea uenyekiti wa ccm Mkoa wa mwanza
1 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Redirect
Sakata la madiwani watatu waliojiuzulu wa chama Cha Demokransia na Maendeleo (Chadema) katika jimbo la Hai, limechukua sura mpya baada ya kubainika kuwepo kwa tofauti ya majina na kata za madiwani...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Huyu Fatuma Karume naye inafaa ashitakiwe kwa kuvitishia vyombo vya dola
0 Reactions
Replies
Views
Kumekuwa na tabia ya wateule wa Sizonje kufanya maamuzi tata, kinyume na sheria kwa kisingizio cha amri toka juu. Wakumbuke kwamba hawana kinga yoyote ya kushtakiwa kama alivyo Sizonje. Na wajue...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Mwanzo nililalamikia sana uongozi wa juu wa chama kushindwa kuchukua hatua juu ya mkakati wa madiwani kujiuzulu na kuhamia CCM pamoja na viongozi na wanachama kadhaa, Sikujua kumbe huu ulikua...
28 Reactions
87 Replies
10K Views
Duniani kote vijana wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja na kufikiri sahihi ndio wamekuwa msaada mkubwa sana kwa mataifa yao. Marakadhaa vijana wamekuwa mstari wa mbele kupinga aina yeyote ya...
13 Reactions
73 Replies
4K Views
Mahakama ya Kisutu inatarajia kutoa leo uamuzi kuhusu maombi ya dhamana ambayo yaliwasilisha Mahakamani na Mawakili 20 wanaomtetea Mbunge, Mwanasheria, na Raisi wa TLS Mhe Tundu Lissu ambaye...
51 Reactions
455 Replies
59K Views
Vyama vitatu vya wanasheria Afrika vimetoa tamko la pamoja kulaani kukamatwa kwa Rais wa Chama cha Wanasheria cha Tanganyika (TLS), Tundu Lissu alipokuwa akielekea Kigali, Rwanda kwenye mkutano wa...
12 Reactions
123 Replies
13K Views
Back
Top Bottom