Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Hebu tuambie katika awamu hii ya uongozi ni mwanasiasa yupi ambaye kwako unadhini ni bora zaidi kuliko wengine. Toa na sababu kwanini unadhani ni bora zaidi. Kwa upande wangu...
0 Reactions
91 Replies
6K Views
Hatua kubwa imechukuliwa na CHADEMA, kwa mwamvuli wa UKAWA, kumkaribisha kubwa la maadui awe miongoni mwao, na hatua hiyo imeshagawanya wafuasi wa chama hicho kifikra. Wapo walioungana na kauli...
1 Reactions
62 Replies
7K Views
Baada ya Viongozi wetu kuacha Sera na Itikadi ya kupinga Ufisadi na kupigania Rasilimali za Umma na badala yake kazi hiyo kufanywa kwa uhodari na Rais JPM, Sisi wapinzani wa kweli tunamuunga mkono...
11 Reactions
49 Replies
4K Views
Haujapita muda mrefu tangu Tanzania itembelewe (kimya kimya) na mwanasoka maarufu duniani David Beckham. Wakati huyo mchezaji alipotembelea Tanzania ingawa wengine wanasema ni Kenya yalitolewa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetangaza operesheni maalumu ijulikanayo kama Ondoa Msaliti Buguruni (OMB) kwa lengo la kutatua mgogoro unaokikabili Chama cha...
9 Reactions
54 Replies
7K Views
Hata enzi za Mwl uzalendo ni pamoja na furaha!! Kununa sana sio dalili ya uzalendo! Kijana ukinuna kila mara utazeeka haraka! Evil begins when you begin to treat people like things!
8 Reactions
129 Replies
11K Views
Wengi wanajiita wana chadema lkn hawakielewi hiki Chama historia yake na kilianzishwa kwa lengo lipi! Kwa kifupi chadema kilianzishwa na Edwin Mtei ambaye aliwahi kuwa Gavana wa Benki Kuu, huyu...
4 Reactions
67 Replies
4K Views
Leo wilayani Chato, wakati akipokea nyumba za watumishi wa afya, zilizotolewa na taasisi ya Benjamini Mkapa Mh Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli, amesema serikali keshokutwa...
4 Reactions
119 Replies
9K Views
Tanzania Bado sana makusanyo yetu ni $126 Kwa mtu na Kenya $236 kwa mtu kwa mwaka 2016-2017. Kenya idadi ya watu 47 na Tanzania 52. Makusanyo Kenya $11M na Tanzania $6.5M . Tunaitaji kupunguza...
0 Reactions
1 Replies
464 Views
RAIS Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, amewataka Watanzania, wakiwamo wanasiasa, kuacha kulalamika kwa kukosekana kwa haki, huku akiwataka kujiuliza iwapo wametimiza wajibu wao. Amesema...
2 Reactions
126 Replies
11K Views
Akiongea na wafanyabiashara akimwakilisha Rais John Pombe Magufuli,Waziri Mkuu Majaliwa amewaambia wafanya biashara kwamba Tanzania ni sehemu sahihi ya kuwekeza kwa sababu imejaa amani na imara...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Najaribu kuwaza... Kila nikifungua TV nakutana na habari za mazingira watu wanakamata Chainsaws, mbao zinakamatwa kwa kuvunwa misituni, watu wananyang'anywa pump za umwagiliaji zinazoharibu...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Tofauti na ile alama ya dole gumba ambayo kimsingi haina maana, alama ya vidole viwili inayotumiwa na Chadema na wadau wengine wengi katika harakati mbalimbali duniani, ina maana kubwa mbili...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wadau! Naomba kujua kama madiwani wanalipwa kiasi gani kwa kujiuzulu nyadhifa zao na huku wakijua au kutojua kuwa wanadaiwa na mabenki walikokopa mikopo baada ya kuwa madiwani na dhamana...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Anaaandika Dotto Bulendo. Kindercrazy 1.Wakati polisi wanatangaza kuuwa washukiwa,vyombo vya habari navyo vinatangaza washukiwa wanaua tu.Kindercrazy 2.Wakati watuhumiwa wakuu wa Escrow wakiwa...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Redirect
Hivi ninyi watawala mnadhani watanzania kweli Ni wajinga kiasi hik? Yaani mnaamini kabisa kwamba hawaoni, na hawaelewi mnachokifanya? Hamjui mnaongeza chuki na uhasama nchini? Hii awamu sijui...
1 Reactions
Replies
Views
Jana tume ya mishahara [ya watumishi wa umma] ya Kenya imetangaza viwango vipya vya mishahara ya viongozi wa umma. Viwango hivyo vipya ni vidogo kidogo kulinganisha na viwango vya sasa. Kwa...
9 Reactions
59 Replies
6K Views
Karani wa Baraza la Mawaziri Hassan Ramadhani Shebuge (mara nyingi husimama pembeni mwa Rais wakati wa viapo), amefariki dunia. ====== Pichani, marehemu Hassan Shebuge akishuhudia Prof...
7 Reactions
150 Replies
25K Views
Wanabodi, Kwanza kabisa niseme hivi "Binadamu hawanaga shukrani" na pia kuna usemi usemao "shukrani ya punda mateke". Hi mi misemo ya wanna ambayo sasa tunaona ukweli uliopo. Huko nyuma nchi...
5 Reactions
58 Replies
4K Views
Back
Top Bottom