Mbowe weka limit Ya legal fees akina Lisu watalamba ruzuku yote

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,906
51,927
Wanasheria wa chadema wanamaliza pesa kwa kisingizio cha legal fees. Kesi za kujitungia ni nyingi ambazo akina lisu hufanya makusudi ili mawakili wa chadema wapate ajira walambe pesa. Mbowe weka limit ya fees na masharti Ya chama kumuwekea mtu wakili kwa gharama za chama. Vinginevyo mawakili watafilisi chama. Mtu atetewe pale alichofanya au kusema awe alitumwa officially na chama kupitia vikao halali. Vinginevyo ruzuku ya chadema itakuwa shamba la bibi la mawakili
 
Kweli mkuu
Ukiona watoto wa nyumba jirani wanajifanya kuwa na huruma ujue mipango ya kinafki ya shetani yanashindwa. Team Lumumba kwa jinsi mlivyo na roho mbaya leo muionee huruma CDM ?! Labda Yesu atarejea kesho!! Maboss wenu ndiyo wanaotaka CDM ikose mwelekeo hivyo wakemeeni bila unafki kama mtaweza!!

Cairo's
 
Wanasheria wa chadema wanamaliza pesa kwa kisingizio cha legal fees. Kesi za kujitungia ni nyingi ambazo akina lisu hufanya makusudi ili mawakili wa chadema wapate ajira walambe pesa. Mbowe weka limit ya fees na masharti Ya chama kumuwekea mtu wakili kwa gharama za chama. Vinginevyo mawakili watafilisi chama. Mtu atetewe pale alichofanya au kusema awe alitumwa officially na chama kupitia vikao halali. Vinginevyo ruzuku ya chadema itakuwa shamba la bibi la mawakili
masikini ester bulaya, alipokuwa akiongea hakujua kama anamharibia tundu lisu, yeye alijua anamsifia kama ni mwenasheria bora na wa hali ya juu, kumbe ina madhara yake pia. atakosa wateja wengi sana wa hali ya chini.
 
Milioni 100 Kwa legal fees Za LIsu!!!! Aisee Lisu kibaka aliyevaa joho la uwakili
 
Eti makada wa ccm wanaumia na ela za chadema yaani nyinyi mnaweza kutoa ushauri gani wakati mawazo yenu yamekaa kinafiki nafiki acheni wivu kesi nyingi mawakili ujitolea ata kada wenu alisaidiwa bure na lisu
 
Wanasheria wa chadema wanamaliza pesa kwa kisingizio cha legal fees. Kesi za kujitungia ni nyingi ambazo akina lisu hufanya makusudi ili mawakili wa chadema wapate ajira walambe pesa. Mbowe weka limit ya fees na masharti Ya chama kumuwekea mtu wakili kwa gharama za chama. Vinginevyo mawakili watafilisi chama. Mtu atetewe pale alichofanya au kusema awe alitumwa officially na chama kupitia vikao halali. Vinginevyo ruzuku ya chadema itakuwa shamba la bibi la mawakili

Umenena sahihi kabisa Mkuu kwani Mbowe anachezewa ' mchezo ' ambao ama bado hajaushtukia au na Yeye labda ana 10% yake humo. Mkuu una jicho kweli la ' Tai ' hadi raha. Sasa cha kushangaza hapa umetoa msaada mkubwa kwa wana CHADEMA ila nakuhakikishia wakija wenyewe ' watakupovukia ' mno Mkuu.

Wenye akili timamu na zilizotutosha tumekuelewa / tumekupata Mkuu.
 
Wanasheria wa chadema wanamaliza pesa kwa kisingizio cha legal fees. Kesi za kujitungia ni nyingi ambazo akina lisu hufanya makusudi ili mawakili wa chadema wapate ajira walambe pesa. Mbowe weka limit ya fees na masharti Ya chama kumuwekea mtu wakili kwa gharama za chama. Vinginevyo mawakili watafilisi chama. Mtu atetewe pale alichofanya au kusema awe alitumwa officially na chama kupitia vikao halali. Vinginevyo ruzuku ya chadema itakuwa shamba la bibi la mawakili

Sasa nyie makinikia mnaumia nini?
 
Lisu amewashika pabaya mtahangaika sana.
Uko sahihi walipa kodi katushika pabaya. Ruzuku ya kodi zetu ikienda chadema yeye Lisu anajipangia kesi ya esther bulaya lazima alambe milioni 100.Lisu kafanya kesi ya bulaya shamba la bibi
 
Kweli kabisa mawakili hupenda kesi..
Somesha wanafunzi waliofukuzwa au kuacha shule kwa sababu mbalimbali.
Hì italipa.
Jenga makao makuu ya chama au nunua jengo la YONO alilotangaza juzijuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana siku hizi jamaa kanenepeana KWA KULA RUZUKU za CHAMA KWA KISINGIZIO CHA LEGAL FEES na m/kiti hapa lazima na yeye hana 10%.........na huyu mbowe ni mtu wa ajabu kweli Maana haingii akilini kwa CHAMA kama CDM kukosa OFISI ya hadhi na UMAARUFU wote huo na MISAADA ya pesa wanayoomba kwa WAZUNGU huko kukosa OFISI ya maana......HAYA MAJAMAA NI MAJIZI...hili dogo tu linawashinda mtaweza vipi kusimamia LASIRIMALI ZA NCHI?????....
kUNA MAZWA MAZWA humu wao ni bendera fata upepo hata hayajiongezi kulipigia kelele hili juu ya matumizi YA PESA HAPO UFIPA......afu eti mna ndopto za kuja kuitoa CCM mADARAKANI ILI MNA VIASHIRIA VINGI VYA wizi......
 
Pesa Za chadema zinanihusu sana Mimi ni mlipa kodi ambaye kodi yangu huwa mnapewa ruzuku za chama. Ni haki yangu kushauri na kujua matumizi ya kodi yangu iliyoenda serikalini Na iliyoenda kwenye vyama kama ruzuku.
Upo utaratibu wa kuhoji mambo ya kwenye vyama sio kila mtu anahoji tuu. Swali lako au ushauri peleka kwa Msajili wa vyama na CAG ndio watafanya wanaloona linafaa. Hayo mwaswali yako na ushauri wako hapa hutapata majibu kwa vile hata wewe hujui ni kiasi gani kimetumika kwa ajili ya hao mawakili bali unafikirika kwa mihemko yako tuu
 
Ndio maana siku hizi jamaa kanenepeana KWA KULA RUZUKU za CHAMA KWA KISINGIZIO CHA LEGAL FEES na m/kiti hapa lazima na yeye hana 10%.........na huyu mbowe ni mtu wa ajabu kweli Maana haingii akilini kwa CHAMA kama CDM kukosa OFISI ya hadhi na UMAARUFU wote huo na MISAADA ya pesa wanayoomba kwa WAZUNGU huko kukosa OFISI ya maana......HAYA MAJAMAA NI MAJIZI...hili dogo tu linawashinda mtaweza vipi kusimamia LASIRIMALI ZA NCHI?????....
kUNA MAZWA MAZWA humu wao ni bendera fata upepo hata hayajiongezi kulipigia kelele hili juu ya matumizi YA PESA HAPO UFIPA......afu eti mna ndopto za kuja kuitoa CCM mADARAKANI ILI MNA VIASHIRIA VINGI VYA wizi......
Pesa wanamaliza akina Lisu na mawakili wenzie. Ndio maana chadema haina ofisi hadi leo ya maana makao makuu. Legal fees ndio Main expenditure Ya chadema kwa sasa.paying Legal fees imegeuka kuwa Main function Ya chadema .Very sad. Mbowe wake up
 
Back
Top Bottom