Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Saturday, July 29, 2017 OPINION: Zambians sad with their democracy In Summary What happens next in Zambia is unclear, but signals are that democracy may well be in danger By Michael...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Susanne Maselle Makene amekutana na viongozi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) kutoka majimbo yote 9 ya Mkoa wa Mwanza kwa ajili ya kuweka mikakati...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kuna watu wanashangaza sana. Baadhi yao wanadhani wako juu ya sheria. Kwamba wanaweza kufanya chochote bila mkono wa sheria kuwagusu. Kwamba wanaweza kumpiga huyu kisha wakamsukuma yule bila ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kauli iliyoleta matokeo chanya Tz Commred Chichimizi Kauli [emoji23]...Kauli ya kiufundi ya Mhe.Rais JPM ya serikali haina shamba, hivyo mgao wa chakula hakuna. Kauli iliyoleta uwajibikaji na...
2 Reactions
2 Replies
652 Views
Naona kuna wadanganyika wanapiga kelele na kushangilia na wengine kukufuru kwamba eti rais wa awamu ya 5 Magufuli kaletwa na mungu ainyooshe Tz na kuiletea maendeleo,tumesahau jinsi Lubuva...
0 Reactions
3 Replies
698 Views
General Assembly resolution 1803 (XVII) of 14 December 1962, "Permanent sovereignty over natural resources" The General Assembly, Recalling its resolutions 523 (VI) of 12 January 1952 and 626...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
#ArudiShule Leo (29.06.2017) Asasi za Kiraia nchini Tanzania zimetoa Tamko la pamoja kuhusu kuwapa fursa wasichana kurudi shuleni baada ya kujifungua. Kwa Ufupi: Sisi asasi za kiraia nchini...
12 Reactions
143 Replies
16K Views
Tumepokea kupitia vyombo vya Habari taarifa za tukio la Mwandishi wa habari wa TBC kushindwa kutimiza wajibu wake Katika Makao Makuu ya CHADEMA. Tunapenda kuweka wazi Kuwa tukio hili halikufanywa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimetembea, majimbo yote yanayoongozwa na vyama vya upinzani hasa Chadema, kwa kweli am very dissapointed. Kinyume kabisa na matarajio na tambo za wapinzani ni miaka miwili sasa baada ya...
3 Reactions
121 Replies
6K Views
Tangu aondoke Mwalim Julius Kambarage Nyerere watanzania wabaki wanyonge sana. Misingi aliyoiacha Nyerere ilikosa mtu wa kuiendeleza na kuisimamia ipasavyo. Zilibaki ngonjera tu. Asante Mungu...
8 Reactions
55 Replies
4K Views
Adai upinzani utaendelea kwa moto ule ule hata akimtumia lipumba.
27 Reactions
99 Replies
9K Views
Baada ya CCM kuwapokea madiwani wanaohama Chadema kwa maelezo kuwa ni kutokana na kuridhishwa na utendaji kazi wa Rais John Magufuli, mambo mapya yameibuka ikielezwa kuwapo utata katika barua zao...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
MEYA ARUSHA AMJIA JUU RC GAMBO, ATAKA AOMBWE RADHI Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro ametoa siku saba kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amuombe radhi kwa kosa la kumuweka ndani wakati...
1 Reactions
74 Replies
7K Views
Chama cha ACT-Wazalendo kimemtaka Waziri wa Kilimo, Dk Charles Tizeba kujiuzulu kwa kushindwa kuwapelekea wakulima wa korosho pembejeo kama alivyoahidi. Serikali iliahidi kuwapa wakulima wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Baada ya CCM kuwapokea madiwani wanaohama Chadema kwa maelezo kuwa ni kutokana na kuridhishwa na utendaji kazi wa Rais John Magufuli, mambo mapya yameibuka ikielezwa kuwapo utata katika barua zao...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa sababu imedhihirika wazi kuwa uwezo wa mtukufu na taasisi zake kupambana na nguli wakili msomi Lissu ni mdogo mno hasa baada ya maagizo ya mtukufu ya kutaka kumthibiti lissu kutofanikiwa mara...
1 Reactions
2 Replies
572 Views
Habari wanaJamvi. Watanzania sijui nani katuloga, tumekuwa watu wa kutoa machozi na kusahau machungu yaliyotukuta na kutugharimu. Tumesahau umeme wa Richmond ulivyotutia umaskini katika nchi...
9 Reactions
127 Replies
10K Views
Kumekuwa na propaganda ya kijinga inayosambazwa na vijana wa Lumumba wakidai kwamba Mbunge wa Singida Magharibi Elibariki Kingu (ccm) ametoa msaada wa vitanda 52 kwa ajili ya vituo vya afya na...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
  • Redirect
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba amesema Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad ameshindwa kutekeleza...
1 Reactions
Replies
Views
Rais Kikwete akiwa na Waziri wa Ujenzi,Dr.Magufuli,Mkoa wa Mkoa was Tabora,na mbunge wa Bukene Selemani Zedi Katika kumbukumbu zangu maridadi barabara zote za mkoa wa Tabora zilshazinduliwa na...
12 Reactions
69 Replies
8K Views
Back
Top Bottom