Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

KWA MWAKA WA FEDHA WA 2016/2017 PEKEE VIMEAHIRISHWA VIKAO 5 KUTOKANA NA MADIWANI. KUGOMA KWA MADAI YA KUINGILIWA NA KUBURUZWA NA SERIKALI KUPITIA MKURUGENZI WA JIJI. WAFANYA BARAZA LA KUFUNGA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
July 28 201 7 Mahakama ya Rufaa ilitupilia rufani iliyofunguliwa na wapiga kura wa jimbo la Bunda mjini katika kesi ya uchaguzi wa kupinga matokeo yaliyompa ushindi mbunge wa jimbo hilo, Ester...
9 Reactions
81 Replies
9K Views
  • Redirect
Habari wana jamvi. Siku kama ya leo mnamo tarehe 30 July 2008 kulitokea ajali mbaya ya gari maeneo ya Pandambili nje kidogo ya mji wa Dodoma na kupelekea umauti wa aliyekuwa Makamu mwenyekiti wa...
1 Reactions
Replies
Views
Wawekezaji ni kati ya watu wenye akili na upeo mkubwa walioamua kutumia akili na uwezo wao kuutafuta utajiri. Katika kufikia malengo yao, wawekezaji huwa na sera zao, intelijensia yao, tafiti zao...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
A Canadian-based mining company has threatened to take legal action against President John Magufuli’s government if it goes ahead with plans to retake operations of the Buckreef Gold Mine owned by...
5 Reactions
399 Replies
51K Views
Wanabodi, Kama kweli Rais Magufuli anataka kujipima ufanisi wake, basi aruhusu, mikutano ya Siasa kwa vyama vyote, kwa Mujibu wa Ibara ya 3 ya Katiba ya Tanzania. Hii itasaidia kukosorewa na...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
WAKATI Rais wa Awamu ya Tano, John Magufuli akitekeleza masuala mbalimbali aliyowaahidi Watanzania, ikiwa ni pamoja na kurejesha uwajibikaji na kupambana na ufisadi, Waziri Mkuu mstaafu, Frederick...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Hata mtoto mdogo atagundua kwamba serikali ya awamu ya tano imekusudia kabisa kuua demokrasia, na ikiwezekana wanatamani kibaki chama kimoja. Sasa najaribu kuangalia mbinu zinazotumika, mara...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Tunaposema lipo jambo juu ya madiwani wa Chadema wanaolazimishwa kujiuzulu huko kanda ya Kaskazini basi mtuelewe maana tunajua kila kitu. Huko jimboni Hai ambapo madiwani watatu walijiuzulu...
12 Reactions
31 Replies
3K Views
“Naiomba Serikali ya kibeberu, itamke wazi kwamba inaishambulia TANU kwa sababu TANU tumetangaza bila woga kuwa Serikali ya kimabavu tutaipiga vita. Tutaishambulia bila kupumua mpaka tumeiangusha...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Waziri mkuu kassimu majaliwa yupo mkoan mby kwa ziara ya kikazi wanaichi wa mby na songwe kwa ujumla wamekelwa sana na tabia ya wana ccm kumiliki mikutano ya pm kama ya chama ndipo sasa jana...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba twende direct to the point. Sipendagi kuuma uma maneno. Toka Lipumba arudi na kuamua kutaka kuchukua kiti chake kwa lazima, tumeona matukio mengi. 1.Moja wapo ni jinsi msajiri wa vyama...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Huyu jamaa akiwa kwenye misafara huko mikoani, ratiba ya kula huwa inatupwa kule. Yaani toka asbh hadi jioni hakuna kitu hutia kinywani. Kweli Hapa Kazi Tu!
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Kuna habari kwamba Benki ya waalimu Tanzania iliikopesha CCM mabilioni ya shilingi wakati wa uchaguzi wa mwaka 2015 Pia kuna tetesi kwamba kila wakijaribu kufuatilia malipo,wanakutana NA vigingi...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Naamini mko salama kwa uweza wa Mungu baba. Ninapoandika hapa najaribu tu kuwasilisha mawazo yangu hapa kupitia huo msemo wa wahenga,nikiifikiria CUF na masaibu yake. Lipumba alipojiuzuru mliona...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nyaraka zaonyesha kila hatua aliweka mikono yake Uthibitisho wa kuibeba Richmond watolewa peupe Kumbe ndiye aliipora Tanesco kazi ya kusaka mzabuni Wizara ya Nishari na Madini ilisubiri maamuzi...
2 Reactions
133 Replies
15K Views
Hii inaingia akilini kweli? Mamadou Anthony Diallo bado yumo na anatarajia kuchukua fomu kugombea uenyekiti wa ccm Mkoa wa mwanza
1 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Redirect
Sakata la madiwani watatu waliojiuzulu wa chama Cha Demokransia na Maendeleo (Chadema) katika jimbo la Hai, limechukua sura mpya baada ya kubainika kuwepo kwa tofauti ya majina na kata za madiwani...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Huyu Fatuma Karume naye inafaa ashitakiwe kwa kuvitishia vyombo vya dola
0 Reactions
Replies
Views
Kumekuwa na tabia ya wateule wa Sizonje kufanya maamuzi tata, kinyume na sheria kwa kisingizio cha amri toka juu. Wakumbuke kwamba hawana kinga yoyote ya kushtakiwa kama alivyo Sizonje. Na wajue...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…