Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye wamewatadharisha Watanzania kuwa makini na watu wanaotaka Madaraka kwa kugawa fedha katika sehemu mbalimbali za nchi au majimboni akionya kwamba wanaweza...
0 Reactions
73 Replies
9K Views
Wadau,kwa mtazamo wangu,Dr.Slaa anastahili tuzo ya mwanasiasa hodari na jasiri kwa namna ambavyo anaweka maisha yake rehani kwa faida ya nchi hii. Naamini,taarifa anazopata Dr.Slaa huwa...
5 Reactions
51 Replies
4K Views
Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari amemtuhumu Mbunge wa Monduli Edward Lowassa kwamba anahusika na kipigo alichokipata kutokana na chuki aliyonayo kwake. Aidha amemtuhumu Spika...
0 Reactions
108 Replies
11K Views
Huyu jamaa hapo juu alikamatwa na kupokea kipigo baada ya kuvamia kikao cha CUF na kupiga watu wakiwamo waandishi. Uchunguzi wa awali ulionyesha alitumwa na Lipumba, Kambaya na kundi lao. Pamoja...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi ni kweli hawa waliopeleka hii assessment ya kodi kwa ilo shirika walipata kiasi icho? Jamni mbona hii ni hatari sasaa? Kiasi icho sasa ni trilion kama za zimbabwe au kama za hizi nchi...
21 Reactions
117 Replies
9K Views
Kuhusu Mwandishi wa TBC kuzongwa /kuzuiliwa kutimiza wajibu wake. Tumepokea kupitia vyombo vya Habari taarifa za tukio la Mwandishi wa habari wa TBC kushindwa kutimiza wajibu wake Katika Makao...
20 Reactions
71 Replies
8K Views
Kama inasafirisha mchanga wetu tani kwa tani kwenda Ulaya na kuacha mashimo wazi halafu mchanga uliobaki baada ya kuchenjua madini hawarudishi yale mashimo tutayafunikaje na mchanga wake haupo...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
ACACIA walisema Dhahabu ni 0.3% tu, leo wanalia wamepoteza 80% ya their Business Tsh. 392B in 6 Months tu! Imagine17 year Hawa ni Majambazi siyo Kampuni ya kuchimba Madini
35 Reactions
184 Replies
14K Views
Akitangaza kuvuliwa kwa uachama wa Chama hicho leo, mbele ya waandishi kaimu mwenyekiti wa Chama hicho wilaya ya Hai Dr Joe Nkya amesema kamati tendaji ya Chama wilaya ya Hai imechukua uamuzi huo...
6 Reactions
48 Replies
5K Views
Namshukuru Mungu kwa kunipa nafasi ya kumuona na kumsikiliza live aliyetufnya tukutane hapa pia nimebahatika kujua nani muasisi Wa boom vyuoni. But swali langu ni je? Mnajipanga vp kuendelea...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mheshimiwa Rais mimi ni mwananchi wako niliyeguswa na kupendezwa mno na utendaji wako.Kwa kuwa sina njia yeyote ya kuweza kukutana na wewe ana kwa ana,nimeona nitumie njia hii ya mtandao wa...
4 Reactions
50 Replies
4K Views
DEMOKRASIA YA TANZANIA NA KISA NG'OMBE WA TATU. Watanzania wenzangu nimejaribu kutafakari kwa kina hali ya Tishio inayolikumba Taifa letu. Mbele yetu kuna Matishio kadhaa ambayo Yananyemelea...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewapa siku mbili Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya kumaliza tofauti zao zinazokwamisha utendaji wa Halmashauri hiyo na kuendelea kufanya kazi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Labda kwa kuwa naitwa Vyamavingi! Jana narudi nyumbani nikakuta bahasha imeandikwa Mr. Vyamavingi kwa hati nzuri ya kutamanisha kujua kilichomo. Ile kufungua tu barua nakutana na 'letter head' ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwanza nitumie muda huu kumshukuru aliyeumba ulimwengu. Nielekee kwenye mada.mimi ni team magufuli na ninafurahishwa na utendaji wake wa kazi lkn kama mwanadamu rais wetu naye ana mapungufu yake...
1 Reactions
3 Replies
581 Views
Watu watu wanaofanya juhudi za kukandamiza demokrasia ya vyama vingi kwa lengo la kutaka kuua vyama vya upinzani ni watu ambao hawajastaarabika,wamepitwa na wakati,ni watu primitive na pia ni...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
  • Redirect
Ule ukosoaji wa viongozi wa dini hasa awamu iliyopita haupo tena. Ni kama yale waliyokuwa wakiyakosoa sasa yote 100% ni PERFECT. Siku wakiguswa na wao kuhusu kufutwa misamaha wa kodi katika...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Sikumbuki idadi kamili ya kontena za mchanga zilizotajwa kusafirishwa na kampuni ya kuchimba dhahabu ya Acacia kwenda Ulaya, ila zilikuwa nyingi kiasi kwamba zilikotoka kumebakia mashimo matupu...
0 Reactions
Replies
Views
Update on Discussions with Tanzanian Government Acacia notes comments made by Barrick Gold Corporation on their second quarter results conference call that “discussions with the Government of...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Nimekuwa nikisikia mara nyingi hapa kwetu Tanzania katika miaka ya hivi karibuni kuwa maendeleo ya nchi na wananchi hayahitaji vyama vya siasa. Sababu kubwa imekuwa kwamba wanachama na wasio...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom