Lissu asema Rais Magufuli hana ubavu wa kuukabili upinzani

hazole1

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
4,319
3,911
3df2f66405988b5109acca9c2031a8ae.jpg

Adai upinzani utaendelea kwa moto ule ule hata akimtumia lipumba.
 
Mdomo usio na breki ni wake

Ikumbukwe kuwa alituambia Edward Lowassa ni fisadi papa na hafai hata kupewa fomu za kugombea Urais.

Yeye ndio akawa mpiga kampeni na mbeba mikoba ya Lowassa.

Hata sasa aendelee kusema lakini tunafahamu nini kitatokea kwenye uchaguzi 2020.

Eti wana uwezo! Tundu Lissu amesahau kuwa juzi alikuwa anaomba jumuiya za kimataifa ziwasaidia kupambana na Magufuli. Hivi utaomba msaada kama una uwezo? Hiki ni kichekesho au kituko.
 
Hakuna MPINZANI wa kumweza MAGUFULI hili halina UBISHI.......angewashindwa CCM wenzake ambao ndio WABABE nadhani kauli ya LISSU ingeleta maana sana.......Tunaelekea MWAKA WA TATU huu tayari kaisha wanyamazisha vilivyo na wengi wameufyata......
Magufuli anamuogopa sana Tundu Lissu.
 
Hakuna MPINZANI wa kumweza MAGUFULI hili halina UBISHI.......angewashindwa CCM wenzake ambao ndio WABABE nadhani kauli ya LISSU ingeleta maana sana.......Tunaelekea MWAKA WA TATU huu tayari kaisha wanyamazisha vilivyo na wengi wameufyata......
Kabla haujasema magufuli ameunyamazisha upinzani. kwanza inabidi ujeu upinzani ni nini?
 
Back
Top Bottom