Kwanini wabunge wa upinzani hawatimizi ahadi zao ??

Maswa Ltd

Member
Jul 29, 2017
36
18
Nimetembea, majimbo yote yanayoongozwa na vyama vya upinzani hasa Chadema, kwa kweli am very dissapointed.

Kinyume kabisa na matarajio na tambo za wapinzani ni miaka miwili sasa baada ya uchaguzi hamna ahadi hata moja waliyotimiza !!!

Kule singida imefikia hatua jimbo la Tundu Lisu linapewa msaada wa vitanda na Elibariki Kingu mbunge wa ccm !!

Nini kifanyike ili wabunge watimize ahadi zao ??
 
Sanduku litaamua 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi Nadhani ni vema tusiulize kuhusu miaka miwiki ya majimbo ya upinzani.

Ni vema tukajadili chama kilichopo madarakani zaidi ya miaka 55 na hawajaweza kufikia hata robo ya ahadi zao.

Kuna kipindi ni vema tukafikili kama watanzania CCM ndio imetufikisha hapo na hapa tulipo.
 
Nimetembea, majimbo yote yanayoongozwa na vyama vya upinzani hasa Chadema, kwa kweli am very dissapointed.

Kinyume kabisa na matarajio na tambo za wapinzani ni miaka miwili sasa baada ya uchaguzi hamna ahadi hata moja waliyotimiza !!!

Kule singida imefikia hatua jimbo la Tundu Lisu linapewa msaada wa vitanda na Elibariki Kingu mbunge wa ccm !!

Nini kifanyike ili wabunge watimize ahadi zao ??
Kama serikali ya CCM iliyokaa madarakani kwa miaka 55 hadi leo hii hospitali zake hazina vitanda hiyo ni aibu kubwa sana..

Lazima watanzania tutumie sanduku la kura vizuri 2020..

Mwaka 2017 tunazungumzia uhaba wa vitanda mahospitalini, madawati, madawa nk halafu unakuja na hoja cheap za kwamba wabunge wa upinzani hawaleti maendeleo. Hiyo ni kazi ya serikali ndugu.
 
Nimetembea, majimbo yote yanayoongozwa na vyama vya upinzani hasa Chadema, kwa kweli am very dissapointed.

Kinyume kabisa na matarajio na tambo za wapinzani ni miaka miwili sasa baada ya uchaguzi hamna ahadi hata moja waliyotimiza !!!

Kule singida imefikia hatua jimbo la Tundu Lisu linapewa msaada wa vitanda na Elibariki Kingu mbunge wa ccm !!

Nini kifanyike ili wabunge watimize ahadi zao ??
Kwani siku hizi Wabunge wameanza kukusanya kodi? Kazi ya wabunge ni kutuwakilisha bungeni na kutusemea kero zetu. Na sio kuzitatua kero? Hiyo ni kazi ya serikali ambayo ndio Inachukua kodi zetu.
 
Nimetembea, majimbo yote yanayoongozwa na vyama vya upinzani hasa Chadema, kwa kweli am very dissapointed.

Kinyume kabisa na matarajio na tambo za wapinzani ni miaka miwili sasa baada ya uchaguzi hamna ahadi hata moja waliyotimiza !!!

Kule singida imefikia hatua jimbo la Tundu Lisu linapewa msaada wa vitanda na Elibariki Kingu mbunge wa ccm !!

Nini kifanyike ili wabunge watimize ahadi zao ??
kama awapelekewi pesa ulitaka watoe pesa mfukoni sio,serikari kila kukicha pesa zilizo kuwa zinaweza kuendesha majimbo wanaamishia serikari kuu yote ni kuwa komoa upinzani iliwaonekane awafanyi kitu,sio kwamba wananchi atujui tunajua na tutawapa kura zetu tena
 
Maendeleo yanaletwa na serekali kupitia makusanyo ya kodi. Kama kuna mbunge wa upinzani umempa hela yako kamdai maendeleo. Ila sasa hivi kwakuwa wabunge wa ccm wameona aibu kwamba chama chao kinakusanya kodi na haipeleki maendeleo, mnaweza kutumia mlango wa uani kuchukua pesa za umma maana mtoto wa dada yuko hazina mpeleke maendeleo kupitia siasa chafu. Na watu tupo tunawachora tu mnavyoruka sarakasi na taulo kiunoni.
 
Na tutawachagua tena kwa kura za kishindo jamaa kapeleka pesa serikali kuu ili kuwakomoa wapinzani...
 
Maendeleo yanaletwa na serekali kupitia makusanyo ya kodi. Kama kuna mbunge wa upinzani umempa hela yako kamdai maendeleo. Ila sasa hivi kwakuwa wabunge wa ccm wameona aibu kwamba chama chao kinakusanya kodi na haipeleki maendeleo, mnaweza kutumia mlango wa uani kuchukua pesa za umma maana mtoto wa dada yuko hazina mpeleke maendeleo kupitia siasa chafu. Na watu tupo tunawachora tu mnavyoruka sarakasi na taulo kiunoni.

Hahahahahahahahahahahahaha kiboko yao lissu na naombeni jaman lissu asimame na huyu mpenda popularity 2020
 
Nimetembea, majimbo yote yanayoongozwa na vyama vya upinzani hasa Chadema, kwa kweli am very dissapointed.

Kinyume kabisa na matarajio na tambo za wapinzani ni miaka miwili sasa baada ya uchaguzi hamna ahadi hata moja waliyotimiza !!!

Kule singida imefikia hatua jimbo la Tundu Lisu linapewa msaada wa vitanda na Elibariki Kingu mbunge wa ccm !!

Nini kifanyike ili wabunge watimize ahadi zao ??

Ingekuwa vizuri kama ungeweka wajibu wa mbunge kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na wajibu wa serikali kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nakupa masaa sita kufanya hivyo la sivyo nafanya mimi.

Hapa vipi kwenye hii video? Sikiliza kwa makini maoni ya baadhi ya wananchi.

Kwani siku hizi Wabunge wameanza kukusanya kodi? Kazi ya ni kutuwakilisha bungeni na kutusemea kero zetu. Na sio kuzitatua kero? Hiyo ni kazi ta serikali ambayo ndio Inachukua kodi zetu.
Sijamsikia Lisu akiwasilisha kero za wapiga kura wake huko jimboni kwake Bungeni.
 
Back
Top Bottom