Nchi moja Tanzania, bei ya mafuta tofauti tofauti

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,873
Reaction score
40,513
Bado mtatudanganya Muungano Una faida? Bado mtatudanganya faida za Muungano ni pamoja na usawa wa kiuchumi?

Tanganyika mafuta 4000 Kwa lita Zanzibar 2900?

Kwamba kodi za mafuta Tanganyika zinafidia Kodi za mafuta Zanzibar ili wao bei iendelee kuwa nafuu?

IMG-20260402-WA0001.jpg
 
Kadri Umbali unavyoongezeka sehemu ambayo mafuta yameshukia ndo bei inavyozidi kuongezeka bei ya Dar es Salaam yaliposhukia haiwezi kufanana na kigoma kwa sababu kuna gharama kubwa ya kuyasafirisha. Nyinyi Mazwazwa ya CHADEMA mnaongea kirahisi rahisi tuu unafahamu tanker ya lita 20,000 au 35,000 mpaka lifike Geita au kigoma lina cost bei gani?​
 
Mkuu,kwani mikoa ya bara,bei ya mafuta ni sawa kwa mikoa yote?
Mfano kuna issue za transportation costs,local market competition na varying taxes,

Hata ukiangalia nchi kama US bei ya mafuta inatofautiana kwa kila states,
Mfano California mafuta ni ghali kuliko Oklahoma au Texas.
 
Bado mtatudanganya Muungano Una faida? Bado mtatudanganya faida za Muungano ni pamoja na usawa wa kiuchumi?

Tanganyika mafuta 4000 Kwa lita Zanzibar 2900?

Kwamba kodi za mafuta Tanganyika zinafidia Kodi za mafuta Zanzibar ili wao bei iendelee kuwa nafuu?

View attachment 3566069

Vipi zile za Dar na Mbeya? Jee hixi no mchi mbili?
 
Sijawahi ona faida ya muungano, na sijui kwanini wanasiasa wanaung'ang'ania na hauna manufaa kwa mtanganyika.

Ila kwenye hili la bei ya zanzibar, usikute wenzetu wa zanzibar wamekata kata kodi za kipuuzi, ili kupunguza gharama shida sisi huku viongozi wetu ni walafi mnoo
 
Bado mtatudanganya Muungano Una faida? Bado mtatudanganya faida za Muungano ni pamoja na usawa wa kiuchumi?

Tanganyika mafuta 4000 Kwa lita Zanzibar 2900?

Kwamba kodi za mafuta Tanganyika zinafidia Kodi za mafuta Zanzibar ili wao bei iendelee kuwa nafuu?

View attachment 3566069
Zanzibar Kuna ZURA , mamlaka inayodhibiti nishati na maji. Wao ndio hupanga bei ya huduma hizo Kwa Zanzibar. Pia Zanzibar Ina bandari yake ya mafuta na hifadhi yake ya mafuta.
 
Bado mtatudanganya Muungano Una faida? Bado mtatudanganya faida za Muungano ni pamoja na usawa wa kiuchumi?

Tanganyika mafuta 4000 Kwa lita Zanzibar 2900?

Kwamba kodi za mafuta Tanganyika zinafidia Kodi za mafuta Zanzibar ili wao bei iendelee kuwa nafuu?

View attachment 3566069
Acheni uchawi na choyo, Zanzibar tuna serikali yetu halafu tu ZURA huku nyie mna EWURA
 
Kadri Umbali unavyoongezeka sehemu ambayo mafuta yameshukia ndo bei inavyozidi kuongezeka bei ya Dar es Salaam yaliposhukia haiwezi kufanana na kigoma kwa sababu kuna gharama kubwa ya kuyasafirisha. Nyinyi Mazwazwa ya CHADEMA mnaongea kirahisi rahisi tuu unafahamu tanker ya lita 20,000 au 35,000 mpaka lifike Geita au kigoma lina cost bei gani?​
Hongera chawa , nimeambiwa wenye kadi za Lumumba mkionyesha mnajaza mafuta kwa punguzo la 90%

Kazi na mtutu tunasonga mbele.
 
Back
Top Bottom