Zaidi ya waumini 100 wa Kanisa Katoliki wamekabidhi Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania barua rasmi ya malalamiko kwa Papa dhidi ya Askofu Mkuu wa Dar es Salaam, Jude Thaddeus Ruwa’ichi, na Katibu...
Nimekuwa nikifuatilia mgogoro wa RPC Mponjoli Mwabulambo na ndugu Msukuma nikakumbuka Miaka Miwili iliyopita nliishi Jijini Mbeya na nikafanikiwa kukaa mpaka Tukuyu kikazi kwa Mwaka Mzima...
Tahakiki ya Tamko la Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, kwa Wahariri, 25 Novemba 2025: Mazingira, Maudhui, Mapengo, Tathmini na Mapendekezo
1. UTANGULIZI KUHUSU TAMKO
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu...
Leo jioni Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amepost propaganda mfu wanazozitengeneza huko CCM kuwakebehi na kuwajengea picha mbaya Wanamageuzi wa kweli wa Tanzania Tundu Lissu na Godbless Lema eti...
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, amevituhumu vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, kwa kile alichodai kuwa ni mkakati wa kutaka kuingiza nchi kwenye machafuko kwa kutumia kigezo cha...
Kama Polisi walishasema ushahidi tulionao wananchi ni "AI", ninyi mnataka mpewe nini tena?
Hebu nendeni kwanza kwa Muliro akawaambie alijuaje huo ushahidi uliotumwa kwa Larry Madowo ni AI...
Huu ujinga uliofanywa na wapumbavu wasiojielewa na matahira waliojiita wakatoliki nitashangaa sana kama utaachwa hivi hivi.
Wanaoweza kufanya upumbavu kama huo ni watu matahira wasiojua...
Tutafakari pamoja Wakuu
Kwamba 'Wakatoliki' zaidi ya 100 wameandamana mpaka ubalozi wa Vatican bila ya kukamatwa licha ya polisi waliotanda barabarani, hawakuonekana kabisa mpaka wamefika na...
Mpaka warudi kuwa na umoja kama enzi zile itachukuwa muda sana.
Kundi linalopinga rais Samia kupitishwa kugombea na msaafu Kikwete ni kubwa. Na hilo ndio mpaka sasa halikubali huu uongozi uliopo...
Ukweli: Siasa za Uongo zimefika mwisho hakuna siri kwa kizazi hiki hivyo tumeshaona mbinu za Uchawa zimepitwa na wakati.
Technologia imebadilisha sana mambo miaka hii huwezi kudanganya watu...
𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗞𝗢𝗠𝗕𝗢: 𝗘𝗟𝗜𝗠𝗨 𝗠𝗟𝗜𝗬𝗢𝗜𝗣𝗔𝗧𝗔 𝗜𝗪𝗘 𝗖𝗛𝗔𝗖𝗛𝗨 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗘𝗡𝗗𝗘𝗟𝗘𝗢 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗜𝗙𝗔
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewatunuku vyeti wahitimu 900 wa ngazi...
Ndugu zangu Watanzania,
Hotuba ya Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Imeonyesha Kuwapenda na kuwajali sana Watanzania. Ni...
Balozi Humphrey Polepole alitekwa na kupotezwa. Ajabu, serikali ya aliyekuwa kamteua iko kimya!
Nini kifanyike ukweli na haki vite vitendeke? Tunangojwa amaduriwe Rais ndipo wahusika wawajibike...
Si siri wala uzushi. Tanzania sasa inaongozwa na waislam wakiongozwa na sheha na mashehena wao waliojaa uchu, uroho, uzwazwa kiasi cha kuwa vipofu wa balaa wanaloandaa.
Tangu yafanyike maandamano...
Watangazaji wa Clouds FM wa kipindi cha Power Breakfast wakifanya yao kwa wakatoli 120 walioshitaki Padre Kitima ni watu wanaofanya vizuri lakini hawapo sehemu sahihi lakini credit kwao message...
Kumekua na kukithili kwa porojo za kisiasa juu ya sekta ya afya nchini, hali inayopelekea huduma kuendelea kuwa duni na zisizoridhisha.
Jambo moja wapo ni hili la kupitiwa na kubadilishwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.