PostGE2025 Rais Samia: Wanaochokolewa masikio kuvunja amani, Dar es Salaam nenda kaulize leo kama vijana wanataka kungia njiani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo tarehe 09 Januari, 2026 amesema ametahadharisha akiwaita wanaochokonolewa kuharibu amani ya nchi kuacha mara moja akikumbusha yaliyojiri Dar es Salaam na kwamba vijana hawatamani hata kuingia njiani.

"Kwa wale wanaochokolewa masikio kuvunja amani ya nchi hii niwasihi acheni mara moja. Amani ikichafuka haichagui na tuulizeni sisi wa upande wa pili ilipochafuka amani Dar es Salaam tu pale nenda kaulize leo vijana kama wanataka kuingia njiani, hakuna anaetamani, amani ikivunjika haichagui."

Vilevile amekiri uwepo wa tofauti za mawazo akisisitiza zisitumike kuleta migawanyo ya kisiasa na kuharibu utulivu wa kisiasa nchini.

"Maendeleo yetu, kunawiri kwetu kupendeza kwetu, kulala na kuamka salama tutunze amani ya nchi yetu tofauti za mawazo zipo lakini zisitugawe wala zisiharibu utulivu wa kisiasa na amani ya nchi yetu"

Huyu mwanamke ni shetani kabisa,nani kamdanganya kuwa risasi zinao uwezo wa kunyamazisha mawazo mbadala!?

Huyu mama arudi darasani asome japo topic kadhaa za history,

Muamar Gadafi ,Bashiri na sasa Ayatollah wote hawa ni watu wa dini yake waliongoza nchi kwa mikono ya damu lakini haikuzuia is watu kudai haki.

Acha kujitia upofu wewe mzanzibar.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 09 Januari, 2026 amesema "Ilipochafuka amani Dar es Salaam, nenda kaulize leo kama vijana wanataka kungia njani"

"Kwa wale wanaochokolewa masikio kuvunja amani ya nchi hii niwasihi acheni mara moja. Amani ikichafuka haichagui na tuulizeni sisi wa upande wa pili ilipochafuka amani Dar es Salaam tu pale nenda kaulize leo vijana kama wanataka kuingia njiani, hakuna anaetamani, amani ikivunjika haichagui."

"Maendeleo yetu, kunawiri kwetu kupendeza kwetu, kulala na kuamka salama tutunze amani ya nchi yetu tofauti za mawazo zipo lakini zisitugawe wala zisiharibu utulivu wa kisiasa na amani ya nchi yetu"

View attachment 3527431
Yani huyu mama sio mzima kabisa na anaroho ya kikakitili sana na angejua bora awe anakaa kimya au asiongelee kabisa maswala ya oktoba 29 maana domo lake kqma lina nuksi kila likinyanyua kinywa linaibu machungu aambiwe tu bado ahajamalizana na vinaja asijisahau
 
Hakuna Muhuni anayetamani kuingia barabarani zaidi ya Wabeba Box diaspora uchwara
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo tarehe 09 Januari, 2026 amesema ametahadharisha akiwaita wanaochokonolewa kuharibu amani ya nchi kuacha mara moja akikumbusha yaliyojiri Dar es Salaam na kwamba vijana hawatamani hata kuingia njiani.

"Kwa wale wanaochokolewa masikio kuvunja amani ya nchi hii niwasihi acheni mara moja. Amani ikichafuka haichagui na tuulizeni sisi wa upande wa pili ilipochafuka amani Dar es Salaam tu pale nenda kaulize leo vijana kama wanataka kuingia njiani, hakuna anaetamani, amani ikivunjika haichagui."

Vilevile amekiri uwepo wa tofauti za mawazo akisisitiza zisitumike kuleta migawanyo ya kisiasa na kuharibu utulivu wa kisiasa nchini.

"Maendeleo yetu, kunawiri kwetu kupendeza kwetu, kulala na kuamka salama tutunze amani ya nchi yetu tofauti za mawazo zipo lakini zisitugawe wala zisiharibu utulivu wa kisiasa na amani ya nchi yetu"

View attachment 3527431
AI AI AI AI AI AI AI hii yeye anaumwa
 
"Sasa kwa wale "Kwa wale wanaochokolewa masikio kuvunja amani ya nchi hii niwasihi acheni mara moja, amani ikichafuka haichagui" Amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo tarehe 09 Januari, 2026

Back
Top Bottom