Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baadhi ya wananchi wa Jimbo la Kondoa Mjini, Dodoma wameeleza hisia na madai mbalimbali kuhusu kutokuwepo kwa Mbunge wao katika shughuli za jimbo, huku taarifa zisizothibitishwa zikisambaa katika...
0 Reactions
2 Replies
139 Views
Kwa nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Mohammed Babu, hataki kuagiza maeneo yote ya wazi (Open Spaces) yaliyopo katika Manispaa ya Moshi kupatiwa Hati za Umiliki, ili kuweka utaratibu wa...
0 Reactions
8 Replies
96 Views
INADAIWA zaidi ya wananchi 100 wa kabila la Wanyantuzu, wamepoteza maisha kwa kupigwa risasi na polisi katika Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma. Madai hayo yalitolewa jana Dar es Salaam na Mbunge wa...
9 Reactions
110 Replies
24K Views
kuna haja ya kuanza kufikiria mfumo ambao Hisabati na Computer Science/Coding vinafundishwa kwa kutumia Kiingereza kwa kiwango kikubwa zaidi kuanzia shule za msingi. Sababu kubwa ni kwamba dunia...
2 Reactions
3 Replies
72 Views
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), Bwana David Kafulila, akiwa katika Tengeru Institute of Community Development (TICD) jijini Arusha, amekaririwa akisema kuwa “Kwa mujibu wa...
8 Reactions
47 Replies
696 Views
Kafulila: Serikali Haiwezi Kujenga Kila Kitu, Sekta Binafsi Ipewe Nafasi. == Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila, amesema Serikali...
15 Reactions
33 Replies
587 Views
Pascal Mayalla aliandika "Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020 asigombee his second term, na badala yake, ampishe ili awe huyu mama!. Mungu ambariki sana Mama Samia na...
23 Reactions
104 Replies
15K Views
Kwa miaka mingi wagombea kadhaa wamekua wakiahidi kuijenga barabara ya hombolo kwa kiwango cha lami lakini mpaka leo hakuna hata kipande cha 1om kilichoonesha hata dalili ya kuanza. Ahadi tangu...
5 Reactions
14 Replies
170 Views
Imani ya dini yangu inanizuia sasa kujihusisha na siasa sitaki tena kuchangia chochote cha kisiasa nimefuta acount zangu zote za mitandao ya kijamii bado hii tuu naombeni munisaidie kwa maslahi ya...
2 Reactions
17 Replies
256 Views
Bodi ya usajili ya wakandarasi CRB wao ukimbilia kufungia makampuni ya ujenzi bila kujali makampuni yanapitia nini? Wana vikao vyao vya mwaka viongozi wa vyama vya wakandarasi wote ni machawa na...
6 Reactions
32 Replies
505 Views
Wanabodi Hii ni moja ya zile mada zangu za kikubwa zinazomtaka mtu kusoma kwa akili iliyotulia, na ili kuielewa,kunahitaji kiwango fulani cha uelewa!,kama wewe ni mwenzangu na mimi,wale wenye...
105 Reactions
596 Replies
54K Views
Wanabodi, Baada ya kupitishwa kwa katiba mpya tuipendayo ya serikali mbili, watu wote wenye hoja za serikali tatu, ni watu wa hatari sana kwa mustakabali wa taifa hili. Mmoja wa watu hawa ni...
19 Reactions
119 Replies
24K Views
Wanabodi, Leo nimekutana na rafiki yangu wa siku nyingi tuliyepotezana naye kipindi kirefu nyuma, ambaye nahisi ni mtu wa sehemu na wa kuaminika sana ambaye yuko attached CCM kama mmja wa...
104 Reactions
498 Replies
107K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la The Voices from Within,naomba kulianza kwa disclaimer Wanabodi Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa...
63 Reactions
265 Replies
36K Views
Nashangaa sana watu kujifanya hamnazo kura ya rais inaenda na makamu wake kwa ule ushindi wa kishindo kuchaguliwa na wananchi milioni 31 na kupata 98% tunaweza kusema kwenye huo ushindi wa...
0 Reactions
0 Replies
76 Views
Mpango wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Paul Christian Makonda kutumia watu mashuhuri katika tasnia za sanaa na michezo kama vile Didier Drogba, Rio Ferdinand, Rick Ross...
1 Reactions
9 Replies
171 Views
Kwa hali ilipofikia lolote laweza kutokea, hata hivyo hatutashangaa, tushajua kila kitu.
12 Reactions
42 Replies
505 Views
Mtu una smartphone yako 📱 Una bando lako Una account Instagram, TikTok, Facebook au WhatsApp Unapost mawazo yako kwa sekunde chache tu unapata likes, comments na post yako inaweza kutrend...
0 Reactions
4 Replies
123 Views
Tangu tupate uhuru hakuna rais ambae amekumbwa na kadhia ya kuchukiwq na hata kutawala kwa kulazimisha tu. Je, atamaliza hii ngwe mpaka 2030? Amechukiwa sana zaidi hata ya Hitler wa Ujereman
7 Reactions
18 Replies
417 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…