Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amesema kwa ukubwa wa mapito ambayo Chama hicho yameyapitia ya kuzuiwa kufanya shughuli za kisiasa kwa siku 310 na kwa majukumu ambayo yapo mbele yao...
Kama bado tuna mpango wa kuendelea na mfumo wa vyama na demokrasia kama nchi inabidi kuwa na Mahakama maalumu ya Katiba ya kudumu kama vile South Africa, Zambia na Senegal kushugulika na kesi zote...
Aprili 13, 2026, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kombo, alikutana na kuzungumza na wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma nchini Mauritius katika Chuo Kikuu cha...
Ifikie mahali mahakimu na majaji nchini mune aibu kupelekeshwa kamakondoo wa kuchinjwa. Kuna mamamuzi mengine ya kimahakama ambayo hata sisi tusio wanasheria tnaona wazi mnafanya makosa - kwa...
Mbunge wa Jimbo la Peramiho kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Lazaro Kilian Komba akichangia hoja bungeni kuhusu hali ya Barabara jimboni hapo kutokuwa nzuri kwa muda mrefu, ameyasema hayo...
CCM inapambana kupunguza watu wanaofikiri kwa uhuru na kupalilia watu wenye uwezo finyu wa kufikiri.
CCM inapangilia kwa ustadi kuongeza watu wasio na uwezo wa kufikiri. Hii ni hasara kwa watanzania.
Jaji Hamidu Mwanga, anayesikiliza hoja za ombi la kutaka ajitoe kwenye Kesi Namba 8323/2025, iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Zanzibar, Said Issa Mohammed, dhidi ya Bodi ya...
Watanzania mpoooo π π π
-----------
Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Christina Solomon Mndeme wakati akichangia hoja Bungeni Aprili 14, 2026 amempongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa...
Mwenyekiti wa CCM ndugu Samia, Amenukuliwa akimweleza Jaji Mkuu kwamba Jaji yeyote akitiliwa shaka kwenye utendaji wake basi achunguzwe
Swali letu ni Hili, mbona Jaji Hamidu Mwanga aliyeonekana...
Taarifa kutoka Chadema zinaeleza kwamba, Kutakuwa na uzinduzi wa mikutano ya hadhara kwa Nchi nzima , na kwa kuanzia jambo hilo litafanyika Kanda ya Nyasa kuanzia tarehe 23/03/2025.
Tunashukuru...
Kampuni iliyoniajiri inaelekea kufa kwa kukosa uongozi bora, hakuna namna ya kuwawajibisha mabosi sababu ndio wanaomiliki Mifumo ya uwajibishaji
Nafanya kazi kwenye kampuni moja ambayo ina miaka...
Akiongea kwenye mkutano na waandishi wa habari leo baada ya kuondolewa zuio la kutofanya siasa, Aprili 15, 2026 amesema kuwa Bila Teknolojia tusingesikika kokote kule, tunashukuru Teknolojia...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA - Bara, John Heche amesema kuwa kuwa pamoja na mahakama kuwa na mapungufu kadhaa ila wanaishukuru kwa uamuzi wa kurejesha shughuli za chama chao
Pia soma
News Alert...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza...
Akichangia hoja leo Bungeni Aprili 15, 2026, Mbunge wa Jimbo la Geita Vijiji i, Joseph Musukuma ameitaka serikali kuangalia namna nzuri ya mikakati ya fedha ya miradi ya Majengo ya Stendi ambayo...
Mapya ya Lissu gerezani, Serikali yaweka kigingi
Source. Gazeti la mwananchi mtandao
Nimeshindwa kuipata story kamili baada ya website ya mwananchi kuweka tozo kwa kila anaetaka habari zake...
Habari wanajf
Japo sipendezwi na aina ya uongozi wa mama kwa baadhi ya Mambo na namna CCM inavyorun nchi lakini Nina Imani sio wote CCM ni wabaya wapo ambao wanaweza kufanya mabadiliko na wengine...