Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 62,709
- 105,316
Kama bado tuna mpango wa kuendelea na mfumo wa vyama na demokrasia kama nchi inabidi kuwa na Mahakama maalumu ya Katiba ya kudumu kama vile South Africa, Zambia na Senegal kushugulika na kesi zote za kikatiba na kesi zinazohusu uchaguzi wa viongozi wa serikali.
Mfumo wa mahakama tulio nao wa mahakama una tatizo kubwa la utoaji haki kwa ujumla lakini zaidi unatamuka vibaya sana kukandamiza haki za raia za kuchagua na kuchaguliwa.
Mfumo wa mahakama tulio nao wa mahakama una tatizo kubwa la utoaji haki kwa ujumla lakini zaidi unatamuka vibaya sana kukandamiza haki za raia za kuchagua na kuchaguliwa.