Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna wakati ukikaa na kukumbuka kwamba serikali ilitoa amri ya kuwaua raia wake tarehe 29 Oktoba, unaishiwa nguvu. Je, nyinyi mawazo haya hayawajii tena? Au ni mimi tu ambaye kuna wakati ninakuwa...
8 Reactions
19 Replies
213 Views
PENGINE LISSU AMESHITUKIA HILO LIMCHEZO KONGWE NA ATATAKA SASA KUKIFANYA KIWE CHA UPINZANI HALISI CDM walioganda na Mbowe na kuona Lissu kugombea ni kama usaliti wajitafakari sana uelewa wao wa...
40 Reactions
76 Replies
4K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezugumza na Viongozi wa Vyama vya Siasa nchini, Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 30 Julai, 2026.
10 Reactions
69 Replies
1K Views
Akiwa katika Moja ya Mikutano yake ya Chama, amesema Kwamba Kuna gari limekuja nyumbani kwake aina ya Land cruiser Hardtop Nyeupe iliyosajiliwa kwaal namba T. 318 EQJ ikiwa ni na namba ambazo ni...
1 Reactions
6 Replies
220 Views
1.Jeshi la Wananchi: Mlindeni Heche. 2. Jeshi la Polisi: Mlindeni Heche. 3. TISS: Mlindeni Heche. 4. Dini zote Tanzania: Mlindeni Heche. 5. Makabila yote Tanzania: Mlindeni Heche. 6. Wanasayansi...
3 Reactions
4 Replies
159 Views
Hamjambo! Hii unaizungumziaje? Mtu anadai ni mwanaharakati wa haki za binadamu. Huku anapigana na dhulma za CCM. Alafu muda huohuo anawatetea Wamarekani wanapoionea Iran. Au yupo Upande wa...
3 Reactions
29 Replies
284 Views
Katika kuyajibu maswali aliyoulizwa kuna sehem kaulizwa uhusiano wake na Magufuli nje ya siasa akasema haya swali lililotangulia kwamba je ni kweli ana mpango wa kwenda ICC amejibu hapana na...
19 Reactions
26 Replies
12K Views
Mwanzoni Rais wetu alipendwa sana na mpaka baadhi ya nchi zikatamani kumuazima akatawale kule kwa siku kadhaa au miezi kadhaa, hii ilileta picha kwamba ama Magufuli alikuwa anafanya vema mwanzoni...
15 Reactions
153 Replies
18K Views
Kuna wanaosema Mbowe ndo awe mgombea Kwakuwa Lissu aligombea wakati uliopita Ila wakumbuke Mbowe aligombea 2005. Hata hivyo Tundu Lissu bado relevance yake ipo na anao mvuto ambao ni wa kipekee...
43 Reactions
105 Replies
5K Views
Kitendo cha Sheikh kusimama na kusema mtu yaani Lissu anyongwe halafu ukakaa kimya bila kukemea pale pale inaleta picha mbaya 1. Rais ni National comforter 2. Rais ni Miezi wa nchi 3. Rais...
41 Reactions
84 Replies
4K Views
Ni wazi ana mfadhaiko, wasi wasi na majuto makali sana hasa baada ya wanaojaribu kutetea ufisadi wake ndani ya chadema kukosa ushawishi na hoja zenye mashiko za kumsafisha na tuhuma hizo za...
2 Reactions
50 Replies
436 Views
Upitishaji haraka kanuni za Ulinzi wa Mashahidi eti kuficha mashahidi! Yote ni kwa sababu ya kuogopa alivyojipanga mheshimiwa Lissu Hii judiciary ya Tanzania ndo maana mmeahirisha ahirisha kesi...
19 Reactions
122 Replies
7K Views
Hauwezi kuwa mkristo halafu wakati huo huo ukawa mshabiki wa Rais @SuluhuSamia , NEVER. Nasema hivi kwa sababu kuwa mkristo ni kuamini na kufuata aliyoyatenda na kuyaishi Yesu Kristo. Yesu...
30 Reactions
61 Replies
2K Views
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam imepanga kufanya kikao cha kusikiliza Shauri la Uhaini Na. 19605/2025 linalomkabili Tundu Lissu kuanzia tarehe 10/08/2026 hadi tarehe 07/09/2026. Kabla ya...
3 Reactions
15 Replies
439 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela amewasihi wananchi na wanachama wa chama hicho kupuuza video zinazosambaa mtandaoni za watu...
5 Reactions
6 Replies
145 Views
they are coming …...
4 Reactions
16 Replies
528 Views
Wadau, nimeona maoni ya wadau mbalimbali kuhusu kile kinachoitwa Maridhiano, wengine wakipinga, wengine wakiyaunga mkono na kila kundi likitoa sababu zake. Nimeona CHADEMA wametoa Masharti ya...
14 Reactions
17 Replies
310 Views
Akijibu swali kuhusu kama anaridhishwa kwa mwenendo wa bima ya Afya nchini Rostam Aziz amesema yeye ndio muasisi wa NHIF na hadi sasa anaridhika ila anaomba Wananchi walipe kodi ili kuipa Serikali...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Na ni kwanini Chadema ina wachukia na kuwabagua sana waisilamu na hata ukiangalia uongozi wa Chadema taifa hawapo? Lakini pia hakuna muisilamu na wala hakuna mzanzibari kamati kuu. Na kama wapo...
5 Reactions
125 Replies
1K Views
Nani anajua ndege ya serikali maalum kwa Rais aka Gulf Stream iko wapi? Na kama ipo mbona mkuu wa nchi haitumii kwa safari zake badala yakeainatumia ATC Dreamliner?
2 Reactions
8 Replies
148 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…