Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Makala ya leo ni pongezi kwa Jaji Stella Mugasha wa Mahakama ya Rufani Tanzania, kusimama kidete...
Nina wasi wasi waliotekwa wapo magerezani na ndo ao aliowataja Samia Leo yakuwa wapo magerezani kwa uonevu
Lakini hivi kweli kelele tulizo dhidi ya waliotekwa RAIS Samia hatuwlewi kweli? Hiki ni...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda ametaka watendaji wa Wizara hiyo kufunga mkanda ili kutimiza malengo waliyojiwekea wakiwa chini ya Profesa Palamamba Kabudi.
Makonda...
SWALI KWA KIKWETE: KAMA AMANI YA KUDUMU SIO TUNDA LA HAKI WATANZANIA TUNATOKAJE OKTOBA 2025 NA KUFIKA KWENYE UFALME WA HAKI NA AMANI TUNAKOPASWA KWENDA?
Mpendwa Jakaya Kikwete,
Rais wa Nne wa...
Hii ni picha ya kaburi la ayatollah Ruhollah Khomeini lillilogharimu takriban dola bilioni mbili. Halafu wanakwambia kuwa hakuna shirk wala kuabudia sana au kufanya israfu au matumizi mabaya. Hii...
Lucy Antony Michael (35), Mkazi wa Yombo Dovya, Mtaa wa Makangarawe, Wilayani Temeke, Dar es Salaam amevamiwa na watu wasiojulikana akiwa anatoka nyumbani kwake, ambapo watu hao walimpiga na...
Kwa yanayoendelea kuanzia Tume ya uchaguzi, Uchaguzi wenyewe, Jeshi La Polisi Mahakama mpaka Magereza?
Mimi naamini kwetu haki ilishakufa ikamezwa na CCM maana wao wakija kutenda haki wanajua...
Kutoka X: Nili download iyo interview , Nikaangalia na kuskiliza kwa makini
1. Kwanza kawakataa wanaharakati
2. Zile effort zote za free him kapuuza
3. Ana change mwelekeo wa content zake...
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Amani Golugwa, amemtaka Dkt. Mwigulu Nchemba kuacha kupotosha umma kuhusu madai ya msingi ya wananchi juu ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Amesema madai...
Mwaka 1960, ANC ilipigwa marufuku kufanya siasa nchini Afrika Kusini, viongozi wake kama Walter Sisulu na Nelson Mandela walikamatwa wengine wakakimbia nchi, Oliver Tambo akachukua jukumu la...
Naibu waziri wa viwanda na uwekezaji (Kwa sasa) na waziri mteule wa mambo ya ndani nchi Patrobas Katambi aliwahi kusema kwa mujibu wa sheria ukiwekwa kizuizini na polisi unapaswa kupewa dhamana...
Hii ndio dawa yao kwa hawa machawa wa CCM lazima wanyooshwe na ujinga wao
=============
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Tarime, Hamza Kyeibanja, amejikuta katika hali ya sintofahamu...
Makamu Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo bara, Isihaka Mchinjita, amehoji ukimya wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kushindwa kuchapisha matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kwenye...
With the immediate effect the international Criminal Court ICC has issued the Summons for the president of united republic of Tanzania to appear before the court to explain the matters which she...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma...
WanaJF,
Nimeamua (kama member wa JF) kuandika kwa masikitiko makubwa sana kufuatia uzi wa technically:
Mwigulu Nchemba ndiye suspect namba moja kupotea kwa Ben Saanane?
Vijana wenzangu, tuwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.