Taarifa za Hivi Punde, leo Januari 10, 2026
Clemence Mwandambo mkazi wa Mbeya aliyekamatwa tarehe 29.12.2025 amefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Temeke Jana tarehe 9 Januari 2026 na Jeshi la Polisi...
Polisi kushikiria mwandambo bila kumpeleka mahakamani wala kumpa dhamana wala kujilikana alipo ni utekaji wa raia wa wazi na hauvumiliki.
Inakuwaje mtu anatekwa kituo cha polisi ?
Kuna vitendo...
Hongera Mh waziri Mpya wa mambo ya ndani .
Ila kuhusu ajira za Police ,boresheni msichukue watu ambao wana ufaulu hafifu.
Hii inashusha heshima ya jeshi na kuonekana ni kimbilio la waliofeli...
Wanabodi
Mimi ni mwalimu wa somo linaloitwa karma humu jukwaani.
Karma ni kuhukumiwa kwa mawazo yako, maneno yako na matendo yako, wazungu wanasema, what goes around, comes around.
Nashauri...
Viongozi wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Josephat Isango- Mwenyekiti wa baraza la Vijana wa CHADEMA, Mkoa wa Singida, na Patrobas Paskali Katambi Mwenyekiti wa Chama wa...
Baada ya chama imara kusisia uchaguzi basi kina Thobias Mwesigwa waridhani wanaweza wanunua viongozi wa Chadema na wakapata nguvu ya umma.
Wakawekeza fedha CHAUMMA na kuwanunua kina Yerrico...
MBEYA, TANZANIA – Mawakili wa Mahakama Kuu, Hekima Mwasipu na Philip Mwakilima, wamewasilisha maombi ya dharura ya kisheria ya aina ya Habeas Corpus katika Masjala Ndogo ya Mbeya, wakitaka...
Mwenyekiti wa Wamachinga Mkoa wa Arusha, Amina Njoka, amesema kuwa hawakuhusika na maandamano yaliyofanyika Oktoba 29, akieleza kuwa kundi hilo linaiheshimu Serikali.
“Mheshimiwa Waziri, sisi...
Ndugu zangu Watanzania kwanza nianze Kwa masikitiko makubwa Kwa Taifa kufika hapa lilipo fika.
Hivi kama ni kweli Yale maoni ya G. Simbachawene ndio yamesababishwa atolewa nyadhifa yake , je! Ni...
Hata kama atakaa kwa muda mrefu ataondoka tu kirahisi kama walivyondoka akina Mobutu , Bokasa na wengineo.
Hata vijana ambao huwa nakutana nao mara kwa mara huwa nawaeleza hili kuwa kila jambo...
Dunia inaenda kasi sana na dunia inahitaji wasomi wa hali ya juu katika kuchakata taarifa za kiintelijensia na kufanya maamuzi ya haraka na sahihi.
Diplomasia ya uchumi inabidi ieandane na...
Conspiracy or Controversy??
Mwezi Novemba mwaka 2024 ilitaarifiwa kuwa Rais Samia angefika Havana cuba kwa ajili ya kongamano la kimataifa kuhusu lugha ya Kiswahili.
Siku chache sana kabla ya...
Wanabodi,
Ukiisikia simulizi za historia ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, tangu kuzaliwa, alipotoka, mapito aliyopitia na hadi sasa alipo, na kuifikiria picha ya anapokwenda...
Tume ya uchaguzi wa Tanzania iwe na viongozi wote toka Marekani na Ulaya tu. Wasimamizi wa uchaguzi Kuanzia ngazi ya madiwani, wabunge, kura za Urais viongozi wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo...
Wakili Mwabukusi amesema serikali ya Tanzania haina dini lakini raia wake wana dini, akisisitiza dini ndiyo siagi ya siasa na huwezi kutenganisha siasa na dini kwani dini ndiyo hutoa maadili. Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.