Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nafahamu ni wengi nchini wanatekwa, wanauliwa. Nafahamu katika mizani ya kiroho, binadamu tu sawa. Kuna vijana wametekwa sababu ya mapenzi. Jukumu la Kanisa ni kusemea sauti za vijana hawa. Kwa...
9 Reactions
19 Replies
371 Views
Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?. Taifa lina haki ya...
43 Reactions
198 Replies
3K Views
Kuanzia Kesho Mikutano ifanyike NCHI Nzima, Kila Tawi, Kata, Wilaya, Mkoa , Itisheni Mikutano ya Dharura NCHI nzima, mkihamasisha Wananchi Kua Tayari na WASIKUBALI KAMWE LISSU KUFUNGWA !!. KAMA...
6 Reactions
31 Replies
471 Views
Mpaka Lissu anamuulizia, Nchimbi hajaamua kukaa kimyaa kama Machawa wanavyojaribu kutuaminisha. Nilitegemea, Vyama vyote vya Upinzan, viungane, viulize NCHIMBI Yuko wapi??. Dr Nchimbi, alikua ni...
12 Reactions
37 Replies
637 Views
Tukio la kushangaza limetokea katika eneo la Makole, baada ya dereva wa basi la kampuni ya SATCO lenye namba za usajili T308 EME kudaiwa kutishiwa kwa silaha ya moto na mtu ambaye hakufahamika...
10 Reactions
57 Replies
2K Views
MISEMO YA WIKI 1. “ONE OF THE PENALTIES FOR REFUSING TO PARTICIPATE IN POLITICS IS THAT YOU END UP BEING GOVERNED BY YOUR INFERIORS .” PLATO (Adhabu mojawapo ya kukataa kushiriki siasa ni...
1 Reactions
3 Replies
90 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amesema ushiriki wa wanawake katika michakato ya amani ni muhimu katika kupata suluhisho...
0 Reactions
1 Replies
63 Views
Overt Act: Kitendo cha wazi Overt Act: Prosecuting a charge of treason typically requires proof of an overt act—an open, observable action that demonstrates the treasonous intent An overt act...
2 Reactions
5 Replies
152 Views
[Mahakama imeanza.] [Karani anasoma kesi ya Criminal Session, Kesi Na. 19605 ya 2025.] [Jamhuri dhidi ya Tundu Antipas Lissu.] KATUGA: Iwapendeze Waheshimiwa Majaji, naitwa Nassoro Katuga...
1 Reactions
2 Replies
228 Views
𝗦𝗛𝗘 𝗥𝗜𝗦𝗘𝗦: 𝗗𝗜𝗣𝗟𝗢𝗠𝗔𝗦𝗜𝗔 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚’𝗔𝗥𝗔 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗧𝗔𝗜𝗙𝗔 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗞𝗔𝗠𝗣𝗘𝗡𝗜 𝗬𝗔 𝗔𝗙𝗬𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗠𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗧𝗢𝗧𝗢 Ndani ya Jiji la New York, Marekani, imefanyika Sherehe Maalum ya Kampeni ya SHE RISES - Advocacy for...
1 Reactions
20 Replies
127 Views
Kazi ya Basata ni kupiga faini tu. Haijajenga chuo chochote cha sananaa kwa mfano pesa zao hazijulikani zinaenda wapi. Wanaweza waka amka leo ni kutafuta milioni 30 kwa kupiga faini wasanii...
0 Reactions
0 Replies
34 Views
  • Redirect
Sijui ni msemaji wa mbinguni au nivipi https://youtube.com/shorts/QLLA5J8Vi3c?si=18wuAe8g4ig0-szl
0 Reactions
– Replies
– Views
Je, alitaka kujionyesha kwamba yeye ni bingwa wa maisha ya sheria, hali ya kua inafahamika kwamba ni ufadhili wa wanaomfadhili ndio unaomsitiri yeye na familia? Kulikoni akatae msaada wowote ule...
1 Reactions
65 Replies
564 Views
TEC kama taasisi mna haki ya kujua muumini wenu yuko wapi tena mwana seminary kabisa zao lenu hili kuna haja ya kuandaa Misa na kumpa mwaliko Emanuel Nchimbi aje kanisani ni muhimu kuudhuria ibada...
2 Reactions
5 Replies
113 Views
Mnamo mwaka 1987 Nchini uingereza kuliibuka tetesi kwamba Idara ya ujajusi wa ndani MI5 kupitia kwa maafisa wake walihusika katika mpango wa kumdhoofisha aliekuwa waziri mkuu "Harold Wilson", na...
26 Reactions
64 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said Mohamed, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne utafanyika Oktoba 5 na 6, 2026, badala ya Oktoba 21 na 22. Aidha, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la...
3 Reactions
17 Replies
466 Views
Hongera sana Mheshimwa Lissu kwa kuipasulia ukweli mahakama kuhusu kusikiliza kesi za kupikwa. Mheshimiwa Lissu kaiambia mahakama ya kwamba kitu ambacho kilitakiwa kiamuliwe ndani ya wiki Moja...
38 Reactions
33 Replies
832 Views
Wakenya! Mungu awabariki kwa kuandaa viongozi
9 Reactions
49 Replies
1K Views
Nilitegemea baada ya Speech ya Jana ya Waziri, leo Mzee wa Kokoto au Piko anayemtetea Sandaland aje na Come back ya kibabe...vipi mbona kimya???
1 Reactions
14 Replies
262 Views
Gari hiyo aina ya Bentley Flying Spur lenye kibao cha namba W HUSM linalodaiwa kutumiwa na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Paul Makonda limezua mjadala hasa katika mtandaow a X...
13 Reactions
105 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…