Nimewasikia wananchi wa eneo moja huko Mufindi kama sikosei kwenye mkutano wa ndugu Tundu Lisu kuwa hawana barabara pamoja na maji na wamesema wanaomba akichaghuliwa awatengenezee hivyo vitu...
Chama kikuu cha upinzani Tanzania Chadema kinapuuzia matokeo ya utafiti wa taasisi ya Trends Dynamiques Consulting yanayoonesha asilimia 79 ya wapiga kura wakisema, watamchagua John Magufuli kama...
Kuna wagombea wanajipitisha pitisha kututishia kwamba tusipowachagua basi hawataleta huduma muhimu za kijamii kwenye maeneo yetu.
Wanaosema haya wameongoza nchi hii tangu uhuru hadi leo lakini...
Tundu Lissu huwa anawaambia polisi namna hii:-
i/ "Nyie polisi nyie najua mnamiaka mitano sasa hamjaongezewa mishahara hivyo mna maisha magumu sana. Mimi nikiapishwa kuwa Rais wote nitawaongezea...
Ukweli uwekwe wazi.
Kazi kubwa aliyoifanya Magufuli kuiongoza Serikali kufikia malengo yenye mafanikio ikiwemo la kufika Uchumi wa Kati kabla ya 2025 ni wazi amejitengenezea maadui wengi waa...
30 September 2020
WAZEE WA CHAMA CHA CHADEMA WATOA ONYO KALI KWA SERIKALI YA MAGUFULI NA JESHI
Huu wa Uchaguzi Mkuu 2020 vyama vimeamua kusimama kidete na kusema basi dhidi ya chama-dola cha CCM...
Vyama hivi viliweka wagombea wa kumpigia kampeni Magufuli ili wapate asante ya uteuzi.
Sasa bila kutarajia dili limeharibika pale ACT na CHADEMA walipoanza kuungana mkono. Kwa CCM mara mia...
The history of Tz politics On 28/10 the coalition and federation of unity and solidarity will be on our hands.
No justice no peace
No free and fair election no Election
No Lissu as president no...
Nguvu ya machifu wa makabila mbalimbali imekuwa kubwa kipindi hiki cha kampeni. Kila mgombea anatamani abarikiwe na hawa Jamaa.
Nisichoelewa ni kama uchifu bado unatambulika kwa kiwango gani cha...
"kama bango umeweka kwenye nyumba ya mtu awe ameridhia kama hajaridhia ni kosa"- Monica Mnanka, Mkurugenzi Msaidizi wa elimu ya mpiga kura kutoka NEC.
EastAfricaRadio
Kuna 'Mijitu' imekuja...
NITAHAKIKISHA WAKULIMA WA PAMBA WANALIPWA FEDHA ZAO"PROF. LIPUMBA"
MASWA, SIMIYU
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof.Lipumba amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa rais...
Naona mnalalamika Sana kauli za mgombea anayejiamini kushinda kuwa akiwekewa mtu wa chama kingine haleti maendeleo.
Kampeni Ina Visa na Mikasa yake. Kulalamikia kauli hizo NI kukili hamta shinda...
Kumekuwape na matamko makali ya pllisi mahala mahala hasa mara baada ya round ya kwanza ya mgombea wa CCM,hasa pale inapotokea makosa ya kiufundi yamefanyika kama kule Moshi na Tarime.
Kimsingi...
..
Pia nimefuatilia kauli zake za uchangiaje bungeni ni mbunge pekee aliyewahi tumia neo "spinning" kwenye uchangiaji wake kama alivyolitumia neno hilo kwenye ukurasa wake wa "instagram"...
Mwaka 2015 CCM ilinisurika kufa kwa inchi kadhaa
Tangu wakati huo wakaweka kiongozi (John Pombe Magufuli) ambaye systematically alianza kuichinja na kuandaa mazishi yake taratibu mwaka huu 2020...
Jana akiwa njiani kuelekea Moshi Lissu alifanya kampeni gizani huku wananchi wakiwasha simu na tochi zao kupata mwanga sasa je haya si kwamba anafanya makusudi ili akidhurika ailaumu serikali...
Lissu na Mbowe mara kadhaa nimewasikia wanamshambulia Mbatia na NCCR hadharani. Pia jana nimemsikia Mbowe akiwaita wabunge waliohamia NCCR kutoka CHADEMA kuwa ni wasaliti.
Pia Lissu anawaita...
Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA amesema ni muhimu maamuzi yaweze kuwa ya wananchi na sio kwa Rais kama ilivyo hivi sasa
Amesema kwa sasa mbunge anapaswa kuomba kwa...