Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzanians marked their Independence Day under lockdown, with heavy security, social media restrictions, and unsanctioned gatherings outlawed to stifle expected protests. Recent deadly violence...
9 Reactions
31 Replies
775 Views
Wakati wenye mamlaka wakiwa busy kuponya majeraha ya MO29, kwa kuyakanusha na kupindua taarifa za ukweli; wenye dunia yao huko duniani, hawachoki kuitafiti dunia na ku shape geopolitics kulingana...
18 Reactions
206 Replies
4K Views
Wakuu, Mwaka 1974, Rais Idi Amin kupitia Tangazo la Kisheria Na. 2 la mwaka 1974 alianzisha Tume ya Uchunguzi kuhusu Watu Waliopotea nchini Uganda, ikiwa ni jitihada ya kuchunguza matukio ya...
0 Reactions
15 Replies
407 Views
Wana JF nafikiri wengi mnakumbuka kasha ya mchele mbovu iliyotokea miaka ya tisini. Nasikia ndiyo iliyosababisha kifo cha mkemia mkuu wa wakati huo, nasikia kampuni iliyo husika na kashfa hiyo...
5 Reactions
85 Replies
15K Views
UDSM-Rais mstaafu, JK Mzumbe-Rais wa Zanzibar mstaafu, Ali Mohamed Shein SUA- Jaji Joseph Warioba UDOM- Jaji mkuu mstaafu, Prof Ibrahim Juma Ardhi University- Jaji Mohamed Chande Muhimbili-...
0 Reactions
10 Replies
325 Views
Leo tarehe 28/12/2025 Dr Samia atakuwa kabakiza miaka 4 na miezi TU kuendelea kuwa IKULU MLIO nae msituringie 🤣😂mkiongozwa na Bashite
0 Reactions
38 Replies
625 Views
Hamjambo! Kwa yeyote anayejua anijibu Hilo swali hapo juu. Itapendeza wafuasi wa chaumma wakiwa mstari wa mbele kujibu. Natanguliza shukrani
1 Reactions
8 Replies
320 Views
Aiseeh! 1. Mungu mwenyewe anajua. Na yeye ndiye ataamua. 2. Moyo usinifanyie hivyo. Nimejikuta katika Hali ya kupatwa na simanzi nilipoiona video ya Jovin Yule kijana aliyembeba mhaini mwenzake...
4 Reactions
20 Replies
710 Views
Askofu Bethania Mpembwa wa Kanisa la Neema ya Kitume Tanzania, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam, amesema kuwa Vijana wa kizazi cha kuanzia mwaka 2000 (Gen Z) ni...
1 Reactions
9 Replies
201 Views
Prof Baregu amewataka waliokuwa wajumbe wa tume ya katiba Prof Kabudi na Polepole kutosahau msimamo wao ndani ya tume. Amesema baada ya tume kuvunjwa, yeye pamoja na Warioba, Kabudi, Butiku na...
4 Reactions
48 Replies
5K Views
My people, Kumekuwa bado na mijadala ya hapa na pale kuhusiana na je Tanzania kuna amani? Na wengine wakisema hakuna haki au wanasema haki kwanza,au amani ni tunda la haki Haki huja baada ya...
3 Reactions
42 Replies
584 Views
We huoni aibu watu duniani kote wanakunyooshea vidole kwa mauwaji, utekaji na utapeli wa haki za watanzania kwasababu hili suala ni ujinga
2 Reactions
22 Replies
369 Views
𝗭𝗜𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗞𝗔𝗭𝗜 Pwani na Dar es Salaam Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 📆 Jumatatu - Desemba 29, 2025. 🕰️ Kuanzia Saa 3 Asubuhi. Lengo la Ziara: 1...
0 Reactions
6 Replies
439 Views
Mpaka sasa Mpina ameshakosa sifa ya kugombea urais. Ushauri , Kama anaweza aende kisesa akagombee ubunge . Ila naona wazi Chaumma wanaenda kuwa Chama kikuu cha upinzani.
0 Reactions
13 Replies
779 Views
GT Sikiliza mwenyewe inasikitisha sana. Mwanaume ananaingizwa chupa hii serikali ya samia ni ya kishetani. Na hao wanaoitetea ni vichaa wasanii wana haki ya kutengwa kabisa.
3 Reactions
25 Replies
568 Views
Huu ni WITO kwa kiongozi mkubwa wa chama Cha upinzani nchini Tanzania. TAFADHALI zungumza na WENZAKO kitaifa.uwape ramani mnaelekea wapi? For 2026?
0 Reactions
8 Replies
272 Views
Askofu Mkuu wa Kanisa la Menonite Tanzania, Askofu Nelson Kisare, ameishauri Serikali pamoja na viongozi wa dini kuweka mifumo bora ya kuwasikiliza Vijana na kuwapa nafasi ya kutoa maoni yao...
0 Reactions
5 Replies
227 Views
Waheshimiwa maaskofu tumechoka na siasa zenu, tumekuja kusali hatuna Raha hatupati baraka zozote za kimungu mpaka natamani nikawashe TV nisali na mtumishi wa Mungu Mwamposa. Kama yupo Askofu wa...
8 Reactions
124 Replies
2K Views
Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya...
2 Reactions
172 Replies
2K Views
Hili swali linapaswa kujibiwa na watanzania wote, hivi mnataka siasa za aina gani? Mnataka siasa za kistaarabu zisizo na unafiki na ukali hasa kutoka viongozi wa juu Au mnataka siasa za misifa...
2 Reactions
42 Replies
650 Views
Back
Top Bottom