Kwa nini madikteta wengi wanakataa utawala wa sheria na haki za binadamu
Madikteta wengi hawafuati utawala wa sheria au kuheshimu haki za binadamu kwa sababu kanuni hizo zinapunguza mamlaka yao na...
Hakuna mtu anayepinga kuwa kulitokea uhalifu kipindi watu wanaukataa utawala wa Rais Samia ile oktoba 29.
Lakini swali la msingi je hawa wahalifu walikuwa na siraha za kivita? Shoot to kill...
1. Gwajboy ahojiwe kwa sababu aliyaona yaliyotokea kabla ya uchaguzi na kusema yote baadae yakatokea na yalianzia karibu na KANISA lake hawezi kwepa lazima aseme aliyaona kwa jicho la kichungaji...
Ukisikiliza viongozi wa serikali kila kona ya nchi wanahubiri amani lakini neno haki halipo mdomoni mwao.
Mimi najiuliza mbona hawakemei utekaji na bado unaendelea ? Waziri wa mambo ya ndani...
Tukubaliane maandamano ya October 29, siku ambayo CCM ilishinda kwa asilimia 98% ya uchaguzi huru na haki hayakuongozwa na chama chochote kile cha siasa ilo tukubaliane.
Kama hivyo ndivyo ilivyo...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora.
"Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta...
Lisu kazuiliwa na gereza na analindwa na askari magereza tu ili asije akachoropoka. Umma na dunia yote wako naye kwa sala na maombi. Tuzo na nyadhifa zinamfuata huko huko gerezani. Kuta za gereza...
Yaani huu ndiyo ukweli wenyewe tusitegemee kama tutakuja kupata maendeleo chini ya Serikali ya CCM.
Wanachopigania wao ni kuendelea kubaki madarakani lakini siyo kuiona inchi inapata maendeleo...
.
Hawa mnaowaona hapa ni Watanzania wenzetu ambao wamepata madhira mbalimbali.
Picha ya Kwanza anaitwa Kuringe Sawere huyu alitekwa na Maofisa wa Polisi Disemba 4, 2025 baada ya wiki mbili...
Akitoa homilia wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu Sherehe ya Kuzaliwa kwa Kristo Yesu katika Parokia ya Bikira Maria Mama wa Kanisa, Goba, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam Mhashamu Sana...
.
Ulanzi si maji.
Na ukiutwika kisawasawa, simba utamwona kama paka tu.
Na kwa uhakika utamwambia hata huyo simba " Gerra raa hia!"
Siku ya pili ndo unajiuliza, hivi nilisemaje vile?
Tanzania...
Wamejitungia sheria ili wawezenkutenda maovu/dhambi bila kushitakiwa. Likitokea la kutokea hawa lazima waundiwe court Martial ili HAKI ITENDEKE na wala si kuwaonea.
1. Msoga et al
2. CCM mtandao...
Huyu Trump anamwaga mapesa hatari, pamoja na Watu wa bongo kupenda Democrats ila Republican ndo wanaotoa misaada mikubwa kwa Tanzania.
Baada ya kufutwa Kwa USAIDs Trump amekuja na mbadala wake...
Niliwahi kusema kuwa Samia amefeli kwenye kila idara ya uongozi na kwa sasa nchi haijulikani ina mission gani na inataka ku achieve nini!!
Kwa walioanza kuisikia TEC juzi, unaweza kuhisi ni kweli...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe
Kwa muda mrefu nchi yetu Tanzania, imekuwa ikibagazwa na media za nje, haswa za kibeberu kwa kuripoti na kutoa taarifa za uongo, uzushi na...
Tumeuliza Hivi kwa sababu ni dhahiri sasa kuna Vikundi vya machawa wanaolipwa hela za umma, tena wanalipwa hela nyingi kuliko Polisi n.a. Walimu.
Kama walikuwepo ni vema tukawajua kwa Majina yao
Mimi naamini hivyo,ukimpa uongozi mwanamke kwani atategemea kila kitu aamuliwe na mwanaume au wanaume.
Kibaya zaidi watamuamulia kwa maslahi yao kwanza hawatajali kama huyu mwanamke...
Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam, Juda Thaddeus Ruwa'ichi, amesema Watanzania wengi hawashabikii haki wala siyo wadau wa haki.
Amesema wengi wao kwa ujinga, kwa kurubuniwa au...
Katika hatua ya kutambua mchango wake mkubwa katika kudumisha amani, umoja na mshikamano nchini, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini Kati limemzawadia tuzo Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.