Sasa! Siku hazigandi Samia anakaribia kubakiza miaka minne IKULU

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,373
Reaction score
12,017
Leo tarehe 28/12/2025 Dr Samia atakuwa kabakiza miaka 4 na miezi TU kuendelea kuwa IKULU MLIO nae msituringie 🤣😂mkiongozwa na Bashite
 
kumbuka pia Samia ndio anaanza awamu yake sasa,ile iliyoisha alikuwa anamalizia ya Magufuli... inamaana kwamba Samia atamaliza 2035....yapasa mkae karibu na vidonge vya pressure na maumivu (pain killer)
 
Hatobiiiii 2030 MToa roho you karibu kuja
 
kumbuka pia Samia ndio anaanza awamu yake sasa,ile iliyoisha alikuwa anamalizia ya Magufuli... inamaana kwamba Samia atamaliza 2035....yapasa mkae karibu na vidonge vya pressure na maumivu (pain killer)
Katiba haimruhusu, soma katiba
 
Leo tarehe 28/12/2025 Dr Samia atakuwa kabakiza miaka 4 na miezi TU kuendelea kuwa IKULU MLIO nae msituringie 🤣😂mkiongozwa na Bashite
Samia siyo dokta. Acheni kumpa sifa ambazo hana uwezo wa kuwa nazo.
 
Hahah! Hakuna mtu anapitia wakati mgumu kama rais Samia, yaani kundi la wananchi wanaompinga ni 80% asilimia sijui ataongoza nin hapa!.
 
Leo tarehe 28/12/2025 Dr Samia atakuwa kabakiza miaka 4 na miezi TU kuendelea kuwa IKULU MLIO nae msituringie 🤣😂mkiongozwa na Bashite
Samia atakiwi kumaliza miaka mitano, ni hatari sana kama jambo litakuwa hivyo ....litakuwa kosa kubwa kuliko yote na baya kuliko yote nchini na itskuwa tumesha chelewa kuliokoa taifa ...
KATIKA MAKOSA YOTE HAKUNA KOSA KUBWA KAMA ILO ....HATAKAMA ZITABAKI SIKU 100 KUMALIZA MUDA HIZO HIZO ZITUMIKE KUMUONDOA VINGINEVYO TUKICHELEWA HADI MUDA WA MIAKA 5 IMALIZIKE NA UCHAGUZI UFANYIKE TUTAKUJA KUJUTA SANA
 
Samia atakiwi kumaliza miaka mitano, ni hatari sana kama jambo litakuwa hivyo ....litakuwa kosa kubwa kuliko yote na baya kuliko yote nchini na itskuwa tumesha chelewa kuliokoa taifa ...
KATIKA MAKOSA YOTE HAKUNA KOSA KUBWA KAMA ILO ....HATAKAMA ZITABAKI SIKU 100 KUMALIZA MUDA HIZO HIZO ZITUMIKE KUMUONDOA VINGINEVYO TUKICHELEWA HADI MUDA WA MIAKA 5 IMALIZIKE NA UCHAGUZI UFANYIKE TUTAKUJA KUJUTA SANA
kumbuka pia Samia ndio anaanza awamu yake sasa,ile iliyoisha alikuwa anamalizia ya Magufuli... inamaana kwamba Samia atamaliza 2035....yapasa mkae karibu na vidonge vya pressure na maumivu (pain killer)
 
Samia atakiwi kumaliza miaka mitano, ni hatari sana kama jambo litakuwa hivyo ....litakuwa kosa kubwa kuliko yote na baya kuliko yote nchini na itskuwa tumesha chelewa kuliokoa taifa ...
KATIKA MAKOSA YOTE HAKUNA KOSA KUBWA KAMA ILO ....HATAKAMA ZITABAKI SIKU 100 KUMALIZA MUDA HIZO HIZO ZITUMIKE KUMUONDOA VINGINEVYO TUKICHELEWA HADI MUDA WA MIAKA 5 IMALIZIKE NA UCHAGUZI UFANYIKE TUTAKUJA KUJUTA SANA

TUNAJUA HILO...NA NDIYO SABABU YA MAFALA WENU TEC KUWAHAMASISHA MFANYE FUJO...SASA NAFASI HIYO HAMTAKUJA KUIPATA...
 
1766987394790.jpeg
 
kumbuka pia Samia ndio anaanza awamu yake sasa,ile iliyoisha alikuwa anamalizia ya Magufuli... inamaana kwamba Samia atamaliza 2035....yapasa mkae karibu na vidonge vya pressure na maumivu (pain killer)
Unatakiwa ujifunze sana kuhusu katiba inasemaje, pia ufanye homework yako vizuri kabla huja-comment
 
Back
Top Bottom