Mnakumbuka kashfa hii?

MmasaiHalisi

Senior Member
Jan 15, 2009
192
19
Wana JF nafikiri wengi mnakumbuka kasha ya mchele mbovu iliyotokea miaka ya tisini.

Nasikia ndiyo iliyosababisha kifo cha mkemia mkuu wa wakati huo, nasikia kampuni iliyo husika na kashfa hiyo bado inapeta na si ajabu bado inaendelea kuagiza mchele mbovu.

Je, tutafika?
 

Kamongo

JF-Expert Member
Mar 20, 2009
1,210
1,010
duu hii kali mbunge huyu wa singida mjini mbona watanzania wepesi wakusahau,na bado tutakula mchele mbovu mpaka tukome
 

Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
8,200
3,528
Mohamed Enterprises...wahusika woote wa kesi walikufa wakiwemo wakemia wakuu wawili,ahakimu,muendesha mashtaka,mashahidi...na kesi yenyewe imekufa...mwenye mali sasa ni mbunge...mjadala closed

hata mashimba amekufa ktk mazingira tata
 

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,618
2,120
Sasa mpaka unafikia kununua mchele wa nje jamani wa kwetu umeisha.
Peronally huwa naagiza straight toka Pawaga au Madibira au Kyela
Nchi ishauzwa hiii
 

Muro

Senior Member
Oct 27, 2010
167
3
Kifo cha Mkemia ni cha kawaida kabisa hakuna wa kumshika mchawi,Mungu amepanda ..Mungu ametwaa
 

mageuzi1992

JF-Expert Member
Apr 9, 2010
2,503
251
Bora mimi Toka Siku Nyingi siku Chakula Chochote cha Nje...Wakinipata Labda kwenye Vinywaji kama nako wanachakachua
MAANA MIMI NI HIVI:
>>> Mchele: Kyela,Kilombero,Shinyanga,Magugu,Igunga,Tabora,Moshi N.k
>>> Mahindi Nalima Mwenyewe
>>> Ngano ya Basutu
>>> Nyanya za Morogoro,Iringa,Handeni,KIlimanjaro
>>> Matunda ya Handeni ,Kilosa, Lushoto
>>>Mafuta ya Alizeti tu! Kutoka Popote Tanzania Haswa Singida
>>> Nawaonea HURUMa wale wasio Thamini vya kwao ndo watakoma
 

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,957
4,620
duu hii kali mbunge huyu wa singida mjini mbona watanzania wepesi wakusahau,na bado tutakula mchele mbovu mpaka tukome

Hivi hawa waAsia mbona wanatutawala kiasi hiki?
Kuna mtu yeyote mwenye asili ya kitanzania huko Uarabuni au India ambaye ana cheo hata cha ukatibu kata?
Msinione mbaguzi jamani lakini hawa watu wanaongoza katika kutuharibia nchi yetu na ndio maana Idd Amini aliwatimua.
Sijui Jeetu Patel mara Rostam Azizi mara Dewj.
Africans sijui tumelogwa na nani!!
 

Ngandema Bwila

JF-Expert Member
Sep 8, 2010
1,017
256
Sasa mpaka unafikia kununua mchele wa nje jamani wa kwetu umeisha.
Peronally huwa naagiza straight toka Pawaga au Madibira au Kyela
Nchi ishauzwa hiii

Upo ni mzuri watu wanaumezea mate ila umbumbu wetu wa kuendekeza siasa kuliko mambo mengine ya muhimu unatuponza. Juzi ninilikwa m,alawi nimekuta Mchele upmechambuliwa vizuri na kupakiwa vizrui na nembo ya Kilomero rice. bei yake hugusi, unaliwa na watu wa kada fulanbi tu. Huku badala ya kul;ipa wataalam wafanye kazi kwa moyo tunalipa wansiasa wabunge bila kujali darasa. wataalamu wanaangaika mtaani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom