Hili lako wewe bibieAmwambia pumzika na kaa mbali na Huseni Mwinyi
Sawa dadaHili lako wewe bibie
Balozi kitambo alishafanya uamuzi wa kumpuzika na ndio maana hata hagombeiKwa maana hata kwenye baraza hafai ndio mwisho wa kujiona hakuna wa kukutumbua
Sio kufunga tu!! Ataua wengi wakiwemo vigogo wakuu wa CCM . Huyu mtu hatakiwi kurudi tena ikulu. Come sun come rainMagu akifanikiwa kuingia tena magogoni kuna wajamaa wengi atawatupa nje tena hata kuwafunga
Miaka 20 anagombea urais tuWakumshauri kukaa pembeni ni The Slave Master, and Chief Puppet Sultan Seif Sharif Hamad
Previously known as haragwe
Mbona siamini!Amwambia pumzika na kaa mbali na Huseni Mwinyi
CCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii.. Yaani sisiMiaka 20 anagombea urais tu
Siasa za Zanzibar ni zaidi ya tuonavyo.Amwambia pumzika na kaa mbali na Huseni Mwinyi
Hapo patatimuliwa timbwili kubwa tu.Mbona siamini!
Idd ni damu damu na Muungano! Magu karogwa?
Na atakaa mbali kwakuwa ndio mwisho wao wote watatu kwenye siasaAmwambia pumzika na kaa mbali na Huseni Mwinyi
Balozi Ali Iddi ndio nani?? Anacheo gani?? Ktk Serikali gani??Amwambia pumzika na kaa mbali na Huseni Mwinyi
Balozi Ali Idd alishatangaza zamani kuwa anaacha siasa wewe unakuja na ngonjera hapa ?Amwambia pumzika na kaa mbali na Huseni Mwinyi