Hili la wafuasi wa CHADEMA kuchangia mijadala kwa hasira na jazba ni hulka au sera ya chama?

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Messages
14,246
Points
2,000

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2016
14,246 2,000
WanaJF,

Kwa hakika wengi wenu mnaoshiriki mijadala sehemu mbalimbali na humu JF mtakubaliana na mimi kuwa wafuasi wa Chadema wamekuwa na jazba na hasira muda wote na hali hii imesababisha wao kutoa matusi na kejeli kwa mtoa mada badala ya kujenga hoja.

Hali hii haijaanza leo kuna wadau walishawahi kuhoji hii tabia ya jazba takribani miaka zaidi ya mitano iliyopita bila kupata majibu.Rejea hapa chini.https://www.jamiiforums.com/threads/kwanini-pro-chadema-wana-hasira-kila-wakati.576286/page-2

https://www.jamiiforums.com/threads/kwanini-wana-chadema-wengi-wao-wana-jazba.802386/

Je hii ni hulka tu au ni sera ya chama?Nini kifanyike kurekebisha hili?

Tujadili kwa utulivu.
 

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
26,346
Points
2,000

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
26,346 2,000
WanaJF,

Kwa hakika wengi wenu mnaoshiriki mijadala sehemu mbalimbali na humu JF mtakubaliana na mimi kuwa wafuasi wa Chadema wamekuwa na jazba na hasira muda wote na hali hii imesababisha wao kutoa matusi na kejeli kwa mtoa mada badala ya kujenga hoja.

Hali hii haijaanza leo kuna wadau walishawahi kuhoji hii tabia ya jazba takribani miaka zaidi ya mitano iliyopita bila kupata majibu.Rejea hapa chini.https://www.jamiiforums.com/threads/kwanini-pro-chadema-wana-hasira-kila-wakati.576286/page-2

https://www.jamiiforums.com/threads/kwanini-wana-chadema-wengi-wao-wana-jazba.802386/

Je hii ni hulka tu au ni sera ya chama?Nini kifanyike kurekebisha hili?

Tujadili kwa utulivu.
Ni sea ya chama......hata mzee Lowassa aliwahi kuwakemea kwa tabia hizi za jazba, hasira na mikurupuko.
 

Mcben100

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2013
Messages
326
Points
500

Mcben100

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2013
326 500
Inategemea mtoa mada anavotafsiri hasira. Mfano jibu km hilo kalitoa kiongozi mkuu wa chama yeye kwake anaona sio hasira. Kulingana na mtoa mada majib ya hasira yanatoka tu upinzani. Lakin mimi naona majib ya hasira na kejeli na matusi zaidi vinatoka kwa viongozi na wanachama wa chama tawala. Kinachotoka kwa wapinzani na wananchi wasio na vyamaa ni sauti za kudai haki.
Je, sera ya serikali ya ccm kutopeleka maendeleo kwenye maeneo walipochagua wapinzani wa ccm?

Swali,

" Mheshimiwa, kero yetu kubwa hapa ni uhaba wa maji"

Jibu,

" Kamwambie mmeo, diwani na mbunge wako uliyemchagua"
 

innocent dependent

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Messages
2,415
Points
2,000

innocent dependent

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2019
2,415 2,000
Naunga hoja ya mtoa mada utazani wanalipwa au wamechukuliwa wake zao Kama wanaume wenzako unawapigania kiasi hichi inatia Shaka hii.Yaani wamekuwa misukule ya viongozi wao alafu Cha ajabu hata kadi ya chama tu hawana.siasa utakiwi kuichukulia serious kiasi hicho badala yake utashindwa kufanya mambo yako ya msingi ya kuingizia kipato utakuwa mtu wakukesha humu jamiiforum kwaajili ya kuishambulia serikali na kutetea chama unachoshabikia.Me Nina uhakika huyu ERYTHROCYTE sijui hata Kama ana uchumi mzuri au ni mwajibikaji mzuri akili yake yote imebebwa na uchadema Kila nikiingia humu lazima nikutane na uzi wake au comment na comment zake zinajulikana.
 

Nkanini

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
1,810
Points
2,000

Nkanini

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
1,810 2,000
Hoja hujibiwa kwa hoja,ccm woga wao nini kama wanayafanya ni bora kwa wananchi,why wame panic kuhusu uandikishaji wa wapiga kura?wangekuwa wanafanya mema watu wangefurika kwenye vituo vya kujiandikisha ili kuwapigia kura za ndio,why ccm hawaamini kuhusu uhuru wa kuwa na tume huru?yenye watumishi wake kuanzia ngazi ya taifa hadi mitaani,wao wanaruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa ili kuuza sera zao ila hawa so called upinzani hadi mikutano ya ndani ni shida,au wewe middle class hulioni hili?our no 1 anapotukana kwenye majukwaa kwa eneo linaloongozwa na mtu wa upande wa pili wewe middle class wangu hulioni hili,tuendelee kujigawa now tupo kwenye hatua hata ya kuzikana imeshaanza kuwa ya kiitikadi,watu wameshaanza kuwa na hasira na matokeo yake tumeshaanza kutengeneza taifa lenye hasira na visasi.siku ambayo middle class watatoa vichwa vyao kutoka mchangani na kuona nini kinafanyika on ground ndio siku ambayo mkombozi TIME ataamua.
 

Forum statistics

Threads 1,390,953
Members 528,320
Posts 34,067,851
Top