Vyama vya upinzani ambavyo vinataka vipewe dola vina safari ndefu sana ya kujenga Taasisi zao kuwa zenye uimara wa kiuongozi na hata uendeshaji wake. Kwakweli vyama hivi haviishi vituko kila...
Maalim aahidi ndani ya mwaka mmoja WaZanzibar wote wasio na kazi au kuajiriwa wataanza kulipwa kila mwezi, na hilo sio la kichama bali ni lazima serikali iliyopo madarakani iwaangalie wananchi...
MATAGA msidhani haya mambo yako gizani. Dunia nzima inayaona - tumieni walau hata asilimia 25% tu ya ubongo ili mpone na kiama ya dunia inayowajia
Haya endeleeni tu lakini msijelalamika...
TAMBUA KITUO UTAKACHOPIGIA KURA 28 OKTOBA 2020
Kama tujuavyo mwezi huu wa Oktoba, tarehe 28 kuanzia saa 1:00 mpaka saa 10:00 jioni ni siku muhimu sana kwa Watanzania.Kwani watanzania watachagua...
Kuna mambo yanaendelea mpaka mtu/watu wenye akili timamu mnajiuliza shida ni nn!? Hapa Mererani leo hii hamna mtu anaruhusiwa kuingia ndani ya ukuta wa Mererani bila kuwa na get pass ambayo...
Nipende kuchukua fursa hii kuwapongeza Vijana wenzangu mnaomkubali Tundu Lissu kwani mpo vizuri kiakili, kifikra na mna nia njema na maono makubwa kwenye nchi hii.
Point to note:
Zingatia hii...
Asubuhi leo nimeona tweet ya mtu anayejulikana kama Kigogo akimtahadharisha Mh Membe aliyekuwa waziri wa mambo yanje. Kwenye habari hiyo mtu anayeitwa Kigogo alimtahadharisha Mh Membe kuachana na...
Tarehe 28 -10-2020 Ni siku ya kupiga kura.
Wito wangu Ni hivi,
Jitokezeni kwa wingi, yaani hata mmoja wenu asibaki nyumbani.
Nendeni mkapige kura
Huku mkimkumbuka Mwanafunzi mwenzenu Marehemu...
Ndugu zangu Watanzania wenye mapenzi mema na Taifa hili poleni Kwa shughuli za ujenzi wa Taifa.
Ndugu zangu Watanzania hakuna asie juwa katika kipindi cha uchaguzi Raia/wananchi hutumika kama...
Siku ya leo, taasisi ya kimataifa ya fedha duniani (IMF) imetangaza kutoa msaada wa kifedha kwenda kwa nchi 28 maskini zaidi hapa duniani. Katika orodha hiyo, Tanzania imekuwa ni nchi mojawapo...
Watanzania wenzangu,
Baada ya kufuatia kwa ukaribu ziara ya Mh. Rais kwenye mashirika yalio chini ya wizara ya Miundo Mbinu nimeng'amua kwamba kelele zote tunazipiga siku zote, msingi wake mkuu...
The European Parliament,
– having regard to its previous resolutions on Tanzania, including that of 12 March 2015,
– having regard to the Declaration by High Representative Federica Mogherini of...
Waja JF,
Kwenye majukwaa ya kampeni za uchaguzi, Godless Lema na Halima Mdee wamekuwa wakitumia clips zenye maneno ya wapinzani wao kuonyesha jinsi walivyo vigeugeu katika maisha yao, wenye kutoa...
Nawauliza CCM iwapo CHADEMA ikishinda uchaguzi mko tayari kuvaa viatu vya CHADEMA?
1. Kuzuiwa kufanya mikutano ya hadhara na ndani miaka 5
2. Vyombo vyenu vyote vya habari vifungiwe na TBC isifu...
Nashauri wasaidizi wa Mwenyekiti ambaye pia ni Mgombea wetu katika kipindi hiki cha kampeni wamshauri hotuba zake azisome tu. Wapinzani wetu wanafuatilia kila neno litokalo kinywani mwake na...
JPM the towering pillar of African renaissance
That is why October the 28th, is not only an election day for Tanzania, more important, it’s the day to decide the position of Africa in the world...
Chadema kirudi kilikotoka
Na Kondo Tutindaga
MwanaHALISI
Toleo na. 371, uk. 3.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimehitimisha ziara zake katika kanda tano, kati ya nane inaoziunda...
Habari zisizo na chembe ya kutaka umma usielewe kinachoendelea ipo wazi kutokana na safari ya uchaguzi wa nafasi ya urais kupitia kampeni tunazoziona wakati huu.
Mwaka 2015 ilichezwa mechi...
Tangu mwaka 2015 watanzania mbali mbali wamekumbwa na masaibu ya kushambuliwa, kuumizwa na wengine kuuawa kwa sababu tu ya misimamo yao ya kisiasa.
Binafsi nimekuwa mpinzani mkubwa wa mauaji haya...