Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

BBC katika kipindi cha Dira ya Dunia wamehoji kwanini ilani ya CHADEMA haitaji kabisa mgawanyo wa nafasi za uongozi kama ilivyo kwa ilani za vyama vingine. Kwa mfano CCM na ACT Wazalendo wameweka...
1 Reactions
71 Replies
6K Views
Mh Freeman Mbowe leo anaendelea na kampeni kwenye kata ya Rundugai , licha ya jana kudhalilishwa na OCD ambaye ni Mkuu wa Polisi Wilaya ya Hai aliyeshindwa kuzuia mapenzi yake kwa Chama chake cha...
24 Reactions
64 Replies
8K Views
Nijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi. Mfano katika mkutano...
11 Reactions
148 Replies
12K Views
Katika muendelezo wa hali inayoonyesha kuwasikitisha sana wananchi juu ya uonevu na unyanyaswaji wa dhahiri anaofanyiwa mheshimiwa Lissu nchini. Baada ya Ndugu Lissu kuzuiliwa kuendelea na safari...
60 Reactions
107 Replies
15K Views
Wakati Fulani daudi alikumbana na wakati mgumu sana mbele ya mfalme Sauli pale Sauli alipogundua Daudi ndiye anaependwa sana na Mungu na amepakwa mafuta kuwa mfalme wa Israeli badala yake...
59 Reactions
149 Replies
9K Views
Matatizo mengi na madhaifu ya CHADEMA Katika hatua mbalimbali za uchaguzi yanatokana na kukosekana uongozi WA Karibu wa mwenyekiti Mbowe. Kukatwa kwa wagombea wengi wa CDM kwa sababu kadha wa...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Ndugu zangu wana jf naomba niende kwenye hoja yangu,maana ninapatwa na hisia yakuwa endapo nitatoa pole dhidi ya corona nitafanya wasomaji wahamaki stoi pole mie natoa pongezi kwa wote mlio pata...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Ilani ya chama cha siasa Ni mwongozo na mkataba kati ya chama cha siasa na wapiga kura Kwamba chama cha kisiasa kinamwahidi mpiga kura mambo kitakachomfanyia kama kikipata ridhaa yake kupitia...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Hii ndio habari inayozunguka huko Hai kwa sasa, ni katika Mikutano ya kampeni ya Mgombea ubunge wa Jimbo hilo Mh Mbowe, Waziri Mkuu ajaye ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa anayeitwa Kaka...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
Mara nyingi sana umekuwa ukijinasibu kwamba Jeshi la Polisi linafanya kazi kwa weledi wa hali ya juu na Polisi hawana chama cha siasa. Mimi nakubaliana na wewe kwa sababu ni maandiko na maelekezo...
11 Reactions
23 Replies
3K Views
UJIO wa Profesa Kitila Mkumbo katika siasa za Dar es Salaam umeleta nguvu mpya na msisimko katika siasa za Mji Mkuu wa zamani wa Tanzania. Kwa takribani miaka 15 sasa, Dar es Salaam ilikuwa na...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Salaam Wakuu, Leo Muda si Mrefu, Viongozi Wakuu wa Chama cha ACT Wazalendo kitaongea na Wananchi na Dunia kwa Ujumla. Ni tukio kubwa haijawahi kutokea. ====== UPDATES: 1048HRS: Kwa sasa ni...
12 Reactions
119 Replies
19K Views
Kuna mengi sana ambayo Huenda yalifanyika kwa kujiamini kuwa utawala utaendelea miaka yote kwa hiyo hamna shida, kifo tu ndio huwa hakimjulishi mwanadamu kuwa siku yako yaja, ila wale ambao ni wa...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwanza napenda kumshukuru aliyekuwa Meya wa Dsm Isaya Mwita kwa kutolea ufafanuzi namna miradi wa ujenzi wa stendi mpya Mbezi ulivyoratibiwa. Mwita amekubaliana na Rais Magufuli kwamba thamani ya...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mama Panya aliona mtego wa panya uliotegwa na binadamu, alisononeka sana kwa sababu ya mtego ule uliokuwa unatishia kuangamiza maisha yake na watoto wake. Alimfuata Jogoo, akamuomba amsaidie...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Je, mgombea wa Urasi kupitia Chadema, Mh. Tundu Antiphas Lissu anayo haki yoyote ya kufokea ushirika huu wa kiharamu wa Jeshi la Polisi na CCM? Je, ni kweli jeshi la polisi linatumiwa na wagombea...
15 Reactions
34 Replies
6K Views
Akiwa kwenye mkutano Tunduru, Mgombea Mwenza wa CHADEMA aliwauliza wananchi Kati ya Mgombea wa ACT Wazalendo (Ado Shaibu) na wa Chadema (Ndugu Undi) nani wanamkubali, wananchi wote kwa pamoja...
26 Reactions
23 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi- ni nani mwenye dhamana ya kulinda picha za wagombea na bendera za vyama vya siasa zisiharibiwe? Je, ipo sheria inayotamka kua kuharibu picha au bendera...
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Habari zenu wakuu poleni na mihangaiko ya kila siku Binafsi sio mshabiki wa siasa ila napenda kusema ukweli wa mambo navyo yaona. Asilimia kubwa ya vyama vya Upinzani hawamtaki Rais aliyekuwepo...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Tanzania opposition leader says facing repression as elections near By Reuters Staff 4 MIN READ NAIROBI (Reuters) - Three weeks before elections, the Tanzanian government is getting scared and...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…