Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

HALIMA MDEE, FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO UMEPELEKA WAPI? Bunge la JMT limetunga Sheria iliyoanzisha na kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo kwa lengo la kurahisisha na kumsaidia Mbunge wa kuchaguliwa...
6 Reactions
713 Replies
38K Views
Diwani wa BomaMbuzi Moshi Kilimanjaro Juma Raibu amevamiwa nyumbani kwake na wanaliovalia sare za chadema na Kuvunjiwa vioo vya magari yake binafsi. Hili linatokea ikiwa ni siku kadhaa tangu...
0 Reactions
67 Replies
8K Views
Serikali ya awamu ya Tano chini ya usimamizi wa Rais Magufuli inaendesha miradi mikubwa ya kimkakati ambayo matunda yake hayaonekani leo au kesho ni ya muda mrefu na ndio namna ya kuongozaNchi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad kesho Oktoba 20, 2020 atazungumza na vyombo vya habari kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifatilia sana juu ya post mbalimbali za vya vyama vya siasa katika mitandao ya kijamii. Kila post ni vyama vya upinzani tu. Habari za Tundu Lissu zimetamalaki kila kona sasa najiuliza...
1 Reactions
89 Replies
8K Views
Kauli hii imenisikitisha. Ni kauli ambayo kwa siku za hivi karibuni kabla ya Uchaguzi nimekuwa nikisikia kwa vijana wengi wa Tanzania. Wengi wao wakiwa ni wale wenye vigezo na sifa zote za...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Ama kwa hakika Bawacha ni Taasisi imara mno! Imeimarisha sana uwezo wa kujieleza kwa wakina mama na umewapa ujasiri mkubwa mno. Angalia video hii ya umati ukimshangilia Sophia Mwakagenda...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA. Lissu alitaka pia...
12 Reactions
233 Replies
18K Views
Wala sio hesabu ngumu. Ni wazi sana kwamba taasisi kama Polisi na NEC mara kwa mara zinafanya ukosefu mkubwa wa usawa dhidi ya vyama vya upinzani. Umewahi kujiuliza kwa nini? Sababu ni moja...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari Wana JF, Nimewiwa kuandika uzi huu baada ya kumalizia tafiti yangu niliyofanya kwa muda mrefu katika majimbo ya uchaguzi yote Tanzania bara na Zanzibar...nasema CHADEMA byebye...
8 Reactions
84 Replies
6K Views
Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi (Diaspora) wametakiwa kulitangaza vizuri jina la Zanzibar kimataifa na wawe tayari kushirikiana na serikali kwa ajili ya kuleta mabadiliko makubwa ya maendeleo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kichwa cha habari chajieleza, uchaguzi mkuu wa mwaka huu kiukweli nje ya wasanii kujaza watu au watu kuja kushangaa mtu aliyepigwa risasi nyingi kwenye kampeni,ni uchaguzi ambao kampeni zake...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Piga picha una familia na kipato chako ni kidogo lakini unataka ujenge nyumba yako. Utaiambia familia tunafunga mkanda, kama mlikuwa mnakula nyama mara nne kwa wiki inaweza kushuka kuwa mara mbili...
3 Reactions
92 Replies
6K Views
Kuna taarifa za awali zinaonyesha kuwa ‘Kachero Mbobezi’ ndugu Bernard Membe ameamua kufanya ‘maamuzi magumu’ na hivyo asubuhi ya leo mida ya saa 4 anatarajiwa ‘kulipuka’ mbele ya Wahariri wa...
12 Reactions
65 Replies
7K Views
NEC: TIMU ZA KAMPENI Timu ya kampeni ni kundi la watu lililoundwa na mgombea wakati wa mchakato wa uteuzi au uchaguzi kwa lengo la kumnadi na kumsaidia mgombea huyo katika kampeni za uchaguzi...
15 Reactions
220 Replies
21K Views
Kuna kimbunga kinakuja maana Katibu mkuu wa CHADEMA ameandika ifuatavyo: Aidha katika mikutano hiyo zitatumika Chopa tatu ambazo moja itatumiwa na mgombea Urais, nyingine mgombea mwenza na...
44 Reactions
103 Replies
11K Views
Mungu wa Israeli amesikia kilio cha Watanzania cha miaka mingi. Mungu wa Israel ameona mateso ya watu wake na sasa ameshuka mwenyewe kuja kutukomboa. Mungu kampiga upofu wa fikra na ufahamu...
107 Reactions
198 Replies
16K Views
Wakuu ukiacha usaliti wa Nchi na kutumika na Mabeberu CHADEMA imejizika yenyewe kwa kuleta sera ya kujitawala kimajimbo ndani ya Tanzania Kwa wale Watanzania ambao hawajaipitia hii sera ya...
16 Reactions
387 Replies
21K Views
Katika kile kinachoonekana ni unafiki wa dhahiri wa BAKWATA, Masheikh wa BAKWATA wameanza kutumia podium mbalimbali za hadhara kumfanyia kampeni Mgombea uraisi wa CCM. Wiki kadhaa zilizopita...
5 Reactions
46 Replies
7K Views
Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Benhajj Shaaban Masoud amewataka Wasaidizi wa Sheria wa Majaji wa Mahakama ya Rufani kutumia vyema elimu ya uendeshaji wa mashauri ya uchaguzi ili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…