CHADEMA nimeshtushwa nanyi, kumbe makelele yote yanayopigwa mitandaoni kumbe hamna uhalisia kule mtaani

Babeli

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
6,660
3,233
Habari Wana JF,

Nimewiwa kuandika uzi huu baada ya kumalizia tafiti yangu niliyofanya kwa muda mrefu katika majimbo ya uchaguzi yote Tanzania bara na Zanzibar...nasema CHADEMA byebye.. nimeshtushwa kumbe makelele yotee yanayopigwa mitandaoni kumbe hamna kitu uhalisia kule mtaani..Ni maajabu na kweli..kwa hivyo sinabudi kuwaaga mapema. Sababu kuu ni hizi:

1) Hakuna sera wananchi wameambiwa ambazo ni za ukweli na ambazo zitaleta Taifa jipya..nasema hakuna

2) CHADEMA haina address ya uhakika iko wapi sehem ambayo ni makao makuu inayotegemewa mtu akikimbia na briefcase basi na ofisi itafungwa..

3) CHADEMA haina ofisi za wajumbe, Wala majimbo zinazoeleweka...kule chini kabisa chadema haipo na ndio kwenye wananchi wapiga kura..wao wamejinasibu kwenye Urais na ubunge kidogo

4) Kumbe CHADEMA haina wagombea katika majimbo takribani 60. Saaaa in maana huko kote chama tawala kinazoa kura..hakuna Cha ACT Wala baba yake CUF...Ni aibu..hiyo ACT yenyewe kwa bara ni Kama hakuna kitu..zero balance anategemea majimbo machache ya kusini na kigoma..nayo Ni bahati nasibu

5) CHADEMA hakina mtandao wa uongozi..wengi wao Ni wapiga kelele tuu bila sera kichwani.

6) CHADEMA wanamtegemea Lissu ambaye hajaweza kukuna mioyo ya wananchi. Wengi wanaohudhuria Ni kwenda kupoteza wakati to, entertainment Fulani vijijini.ukishaondoka wanakusahau, eti Kuna mtu anaitwa Tundu.

7) CHADEMA wamekula fedha nyingi Sana ambazo hazina idadi..mabilioni kadhaa kupitia michango, mtandao wa chadema,..mapato ambayo wameshapata hayalingani na matumizi..fedha zinaliwa kiaina.

8) Inahisiwa Kuna mtafaruku ndani ya chadema..na ndio maana inahisiwa Tundu hajawahi gusa ofisi za Ufipa tangu arudi Tanzania..yeye mwenyewe hawaamini hao waliopo kina Mwenyekiti, na wengine nahii Ni kwa sababu za taarifa mbalimbali zilizosababisha TL apigwe risasi..zipo taarifa nyingi za kitafiti nitaziweka humu muda ukiruhusu.

Asalaam aleikhum Waungwana
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Huyu jamaa ana shangaza kweli kweli, Yaani utafikiri ameibuka kutoka sayari ya Pluto huko

...Mkuu nakushauri pata muda mzuri wa kulala na kunywa maji mengi ili akili ako ikae sawa, pia punguza kutoa ndoto za asubuhi na mchana kama mama mjamzito.
 
Huyu jamaa ana shangaza kweli kweli, Yaani utafikiri ameibuka kutoka sayari ya Pluto huko...
.......Mkuu nakushauri pata muda mzuri wa kulala na kunywa maji mengi ili akili ako ikae sawa, pia punguza kutoa ndoto za asubuhi na mchana kama mama mjamzito...
Nimesema chadema byebye baada ya tafiti makini niliyoofanya. Kuna neno geni hapo..ndoto zinakujaje hapa tena yarabi toba..mnaogopa nini..aibu au
 
Huu ni ukweli usiopingika, Japo watu wanapinga kufariji nafsi zao.

CHADEMA tunawaaga rasmi.Na tunawatakia majukumu mema na kukifufua na kukiboresha Chama chenu baada ya Uchaguzi!

Jiandaeni kisaikolojia mapema, Hatutaki mpate heart attack sababu ya ushindi Mnono wa JOHN POMBE MAGUFULI.
 
CCM wana sera gani miaka 60 ya uhuru 90% ya watanzania ni fukara wa kutupwa?

CCM hata tuwape miaka 700 hakuna kitu watafanya kipya nchi hii.

Miaka 60 ya uhuru tunakuja kuambiwa daraja ni maendeleo, eti tumejenga flyover, mtu wa Namtumbo daraja linamsaidia nini?

Miaka 60 ya uhuru tunakuja kuambiwa ndege ni maendeleo, ndege zinamsaidia nini mtu alieko kijiji cha Nampulukano ambae hajui hata kesho anakula nini?

Miaka 60 ya uhuru tunakuja kuambiwa eti serikali imrhamia Dodoma, kwani kuna siku matatizo ya watanzania yaliwahi kua serikali kua Dar? Serikali hata ingekua mbinguni au kuzimu watu wanachokitaka ni kutatuliwa shida zao sio serikali iko wapi.

CCM hakuna ilichokifanya kwa miaka 60 ya uhuru.
 
Habari Wana JF,

Nimewiwa kuandika uzi huu baada ya kumalizia tafiti yangu niliyoofanya kwa mda mrefu katika majimbo ya uchaguzi yote Tanzania bara na Zanzibar...nasema CHADEMA byebye.. nimeshtushwa kumbe makelele yotee yanayopigwa mitandaoni kumbe hamna kitu uhalisia kule mtaani..Ni maajabu na kweli..kwa hivyo sinabudi kuwaaga mapema. Sababu kuu ni hizi:

1) Hakuna sera wananchi wameambiwa ambazo Ni za ukweli na ambazo zitaleta Taifa jipya..nasema hakuna

2) CHADEMA haina address ya uhakika iko wapi sehem ambayo Ni makao makuu inayotegemewa mtu akikimbia na briefcase basi na ofisi itafungwa..

3) CHADEMA haina ofisi za wajumbe, Wala majimbo zinazoeleweka...kule chini kabisa chadema haipo na ndio kwenye wananchi wapiga kura..wao wamejinasibu kwenye Urais na ubunge kidogo

4) Kumbe CHADEMA haina wagombea katika majimbo takribani 60. Saaaa in maana huko kote chama tawala kinazoa kura..hakuna Cha ACT Wala baba yake CUF...Ni aibu..hiyo ACT yenyewe kwa bara Ni Kama hakuna kitu..zero balance anategemea majimbo machache ya kusini na kigoma..nayo Ni bahati nasibu

5) CHADEMA hakina mtandao wa uongozi..wengi wao Ni wapiga kelele tuu bila sera kichwani..

6) CHADEMA wanamtegemea Lissu ambaye hajaweza kukuna mioyo ya wananchi. Wengi wanaohudhuria Ni kwenda kupoteza wakati to, entertainment Fulani vijijini.ukishaondoka wanakusahau, eti Kuna mtu anaitwa Tundu...

7) CHADEMA wamekula fedha nyingi Sana ambazo hazina idadi..mabilioni kadhaa kupitia michango, mtandao wa chadema,..mapato ambayo wameshapata hayalingani na matumizi..fedha zinaliwa kiaina

8) Inahisiwa Kuna mtafaruku ndani ya chadema..na ndio maana inahisiwa Tundu hajawahi gusa ofisi za Ufipa..tangu arudi..Tanzania..yeye mwenyewe hawaamini hao waliopo kina Mwenyekiti, na wengine nahii Ni kwa sababu za taarifa mbalimbali zilizosababisha TL apigwe risasi..zipo taarifa nyingi za kitafiti nitaziweka humu muda ukiruhusu.

Asalaam aleikhum Waungwana
Mwenyewe baada ya kushiba kande na kuvimbiwa akauna uje jf kujamba au siyo.
 
yani kwanza nikupongeze na kukushukuru kwa taarifa nzuri, hawa vichaaa me nlijua tu hawawezi kushinda na kusema kweli chadema ndo byebye kweli naona CCM tutakavyokuwa tukiendelea kushika dola hii.

Chadema wanategemea msaada kutoka mataifa ya nnje hasa Marekani sasa sijui alifikiria atatushtua ametukuta wenzie yani hata habari nao hatuna.Kelele Nyingi wakidai kuwa wanaonewa kuwa wavunja sheria namba moja.

Niwakumbushe tu Ndugu zangu Tarehe 28 twende tukafanye maamuzi sahihi kwa Kumchagua Kiongozi atakayetuvusha kwenda kwenye level nyengne ndani ya Miaka Mitano , Naye si Mwengine ni Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Wabunge na Madiwani wa Chama Cha Mapinduzi.

Kura Yangu Kwa Magufuli,Wabunge na Madiwani wa CCM
 
Tulieni dawa iwaingie TL anawapa jambajamba Sana mpaka mtapike dagaa mwaka huu
Jambajamba mnaipata nyie ,maana kila kukicha mnalia na mabeberu wenu wawasaidie,
Kijana shtuka chagua Maendeleo,Amani,
Kura yangu Kwa Magufuli, wabunge na madiwani wa CCM
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Hakika Comrade, alafu me naona yule anty li baada ya uchaguzi atarud tu kwa mabeberu wenzie hawezi kukaa huku kwa aibu

Kura yangu kwa Magufuli, Wabunge na madiwani wa CCM
 
Back
Top Bottom