Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tunafahamu msimamo wa CCM kuhusu uraia pacha, diaspora, je, CHADEMA mnasemaje Kama mkishinda?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tanzania's President John Magufuli who has come under fire for his authoritarian leadership style has vowed that his ruling party will be "in power forever, for eternity". In a speech broadcast on...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Salaamu, Kwanza niwapongeze vyama tajwa kwa mwitikio mkubwa vinao upata kutoka kwa wananchi kwa muendelezo wa kampeni zinazoendelea tofauti na mategemeo ya watawala. Wote tunajua maelekezo...
1 Reactions
2 Replies
941 Views
Rais wa awamu ya Nne Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika kutathmini miaka mitatu ya Rais Magufuli ikulu amesifu juhudi zake za kuwa jasiri kurejesha heshima ya Taifa kwa kununua ndege mpya 4...
8 Reactions
84 Replies
21K Views
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha UPDP amesema kuwa Serikali yake itaandaa Muswada punde baada ya kuingia Bungeni kwa ajili ya unyanyasaji na udhalilishaji wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imesema kukosewa kwa majina, picha au jinsia kwa baadhi ya wapigakura kwenye daftari la wapigakura kumechangiwa na wapigakura wenyewe kushindwa kufanya uhakiki wa...
1 Reactions
50 Replies
5K Views
22 October 2020 Pemba, Zanzibar Lissu asherehekea 'Birthday' ya Maalim Seif kisiwani Pemba Maaliim Seif afanyiwa sherehe kubwa ya siku ya kuzaliwa kwake na maelfu ya Wazanzibari na waTanganyika...
10 Reactions
39 Replies
4K Views
Mgombea Urais wa Tanzania anayeelekea kushinda Tundu Lissu leo atatikisa visiwa vya Pemba. Pemba ngome Kuu ya ACT wanatarajiwa kumlaki kwa kishindo mgombea huyo wa Urais ambaye chama chake na ACT...
49 Reactions
119 Replies
18K Views
Wakuu, Niko hapa Korogwe ambapo Kesho tutakuwa na kampeni ya mkoa kwa mgombea wa CCM ndugu Magufuli. Wananchi wamejitokeza kwa wingi sana kumsalimia barabarani. Watu ni wengi mno. Nimeamini kuwa...
34 Reactions
246 Replies
21K Views
SUALA LA SIMU KWA MAWAKALA: TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI MSIHARIBU UCHAGUZI WA WATANZANIA! Taarifa kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi itazuia Mawakala wa Vyama kuingia na simu zao katika vituo vya...
24 Reactions
82 Replies
8K Views
Serikali imezindua mradi wa ujenzi, ukarabati na upanuzi wa viwanja vinne vya ndege vya Shinyanga, Tabora, Sumbawanga na Kigoma ili viwe na kiwango cha kimataifa, utakaogharimu shilingi bilioni...
3 Reactions
53 Replies
7K Views
Tutaunganisha sera za vyama vyote vya siasa ndani ya siku 100 za kwanza madarakani Mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wakulima Tanzania, AAFP, Seif Maalim Seif...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera amewashauri waangalizi wa ndani wa uchaguzi kuwa na fedha ili wawe na uwezo wa kufanya kazi hiyo badala ya kutegemea wafadhili. Ametoa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha UPDP, Twalib Kadege, amesema kuwa ikiwa Watanzania watampa ridhaa ya kuongoza nchi watahakikisha vyama vyote vinapata ruzuku...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wahenga wanasema chanda chema huvikwa pete,na hili limethibika kuwa Ccm ni chanda chema kwa watanzania. Niliamua kujiunga na Nccr Mageuzi nikiwa na imani kuwa ni chama ambacho kitakuwa mbadala wa...
15 Reactions
124 Replies
8K Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe, Dar es Salaam kwa tiketi ya CCM, Josephat Gwajima amesema aliyekuwa Mbunge wa kawe sio maarufu kwa watu wa Kawe. Ameyasema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Tuanze na historia kidogo: Mnamo 1948, vijana wa kizalendo wa China wakiongozwa na kiongozi Mao waliitwaa china kutoka mikononi mwa serikali ya Kuomintang katika kile kilichoitwa "mapinduzi ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Akizungumza katika Mahojiano Maalum na JamiiForums, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha UPDP, Twalib Kadege amesema iwapo Watanzania watampa ridhaa ya kuongoza...
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Akiongea na Vyombo Vya Habari katika Ofisi za jiji la Arusha wakati akiwasilisha malalamiko yake kwa Mkurugenzi msaidizi wa uchaguzi dkt John Pima ,Mgombea Ubunge wa jimbo la Arusha Mjini...
18 Reactions
83 Replies
9K Views
Hebu tuwekane sawa tusije kurukana kimanga baadaye. Nauliza tu. Kauli na matamko yanayotolewa na mgombea wa CCM, Mh rais John Pombe Joseph Magufuli ndio msimamo rasmi wa chama au ni kauli na...
9 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…