Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Niliwahi kuuliza humu JF kuhusu Wasifu wa Dkt. Mahera ambaye ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi , lengo la swali lile lilikuwa kufahamu uwezo na weledi wake na nadhani sasa mmeanza kujua...
11 Reactions
47 Replies
6K Views
Jina lipo vizuri limenyooka hakuna konakona. Nasema tukutane dimbani tarehe 28. Nimeongea na mtendaji tumekubaliana kura yangu isiguswe wala isichezewe. Ameniuliza kama nimeshafanya maamuzi...
17 Reactions
37 Replies
3K Views
UTANGULIZI: ¶• Nianze kwa kutoa FACT CHECKS zifuatazo: FACT No. 1; Ni wazi kuwa uchaguzi wa mwaka huu katika ngazi ya Urais atakuwa aidha Tundu Lissu (CHADEMA) ama John Magufuli (CCM)...
34 Reactions
68 Replies
7K Views
Hii ni kauli ambayo Dkt. Magufuli alitumia sana jana katika mkoa wa Kilimanjaro na arumeru mkoani Arusha na probably atairudia kwenye mikutano iliyobaki ya kampeni. JPM ana maanisha wananchi...
10 Reactions
9 Replies
2K Views
"Jumla ya mawakala wa chama watano wamefariki katika hekaheka za kukimbizana na haya marekebisho yaliyotolewa usiku na asubuhi kuambiwa sasa hamuapishwi hapa mnatakiwa mkimbilie kwenda kuapishwa...
6 Reactions
48 Replies
5K Views
Mkurugenzi wa mashtaka nchini Tanzania (DPP) Biswalo Mganga amesema yeyote mwenye lengo la kuvuruga amani ya nchi atashughulika bila kujali dini, jinsia wala cheo chake. Biswalo ameeleza hayo...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Nilifika nchini Tanzania kwa mara ya kwanza zaidi ya miaka 30 iliyopita kufanya kazi ya kujitolea kama daktari na uzoefu huo ulinifanya nijenge heshima na mapenzi ya kina na ya kudumu kwa Tanzania...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Askofu Gwajima amesema mtu kuwa mwanasiasa mahiri hakuhitaji kwenda darasani kwani uanasiasa ni kipaji " taranta" Siasa ni swala zima la kuwaletea watu maendeleo ikiwemo maji, umeme, elimu na...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Leo hii Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM bila ya huruma yoyote na kwa zaidi ya dakika 23 alimkaba Mbowe akiwa chini na kumwekea goti shingoni kwa muda wote...
16 Reactions
69 Replies
6K Views
Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC). Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina...
55 Reactions
302 Replies
30K Views
Kuelekea Uchaguzi Mkuu nimekua nikifuatilia matangazo ya taarifa za habari kwa vituo vyote vya TV za hapa nyumbani nakushangazwa na Kituo cha Television cha Star TV cha jijini Mwanza. Kimekuwa na...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Maandishi na maandiko huishi. Yawe batili au halali. Nimekumbuka Baba Askofu Kakobe aliwahi kutoa matamko mazito kwa viongozi wakuu wa Nchi hii aliyodai katumwa na Mungu. Ingawaje kwa sasa...
9 Reactions
23 Replies
3K Views
Awali ya yote ningependa kwa unyenyekevu mkubwa kumshukuru mwenyezi Mungu wa mbinguni na mwingi wa rehema kwa kutuwezesha sisi watanzania kuwa na kiongozi wa aina yake katika nchi yetu. Rais...
43 Reactions
220 Replies
25K Views
Hizi siku chache zilizobaki, unaweza kuzitumia vizuri kwa kuwaongezea mishahara watumishi. Hawa ni watu wasio na kinyongo na huridhika kwa kitu kidogo tu. Ili kupunguza 'technicalities'...
3 Reactions
55 Replies
5K Views
Kama kuna jimbo ambalo CHADEMA wanaliwinda kwa udi na uvumba basi la Meatu lipo juu kwenye list! Ni jimbo ambalo lilikuwa chini ya CCM likiwakilishwa na mfanyabiashra mwenye kiwanda cha vintwaji...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Sio siri kuwa Magufuli na timu yake ya uongozi ndani ya CCM wanaogopa sana chama chao kugeuka cha upinzani kuliko wanavyo muogopa Mungu kwa kushitikiana na shetani. Faulu, figisu na uharamia sasa...
20 Reactions
52 Replies
4K Views
Kuelekea uchaguzi wa tarehe 28 naomba Chadema na ACT Wazalendo mchukue tahadhari muhimu 1) Kuhusu mawakala wenu, wajiamini, wawe makini na matukio yote, wawe wenye uzalendo maana pesa nyingi...
26 Reactions
48 Replies
5K Views
Sheria za Tanzania zinasemaje kuhusu kufanya shughuli za serikali wakati wa kampeni? Je, sheria inakubali au hakuna mwenye uthubutu kukemea? Sheria inasemaje kuhusu ahadi ya ajira? Hii siyo...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna sababu ipi ya msingi ambayo itakuvutia kwa uongozi huu mpaka unatamani kwamba upange mstari kupiga tena kura mwaka 2020? Au ni nini hasa kifakufanya usipige kura Kwa upande wangu kabla ya...
11 Reactions
59 Replies
5K Views
WATU WA MUNGU TUTAMCHAGUA TUNDU LISU. Na, Robert Heriel Sisi watu wa Mungu, wapenda haki, wakataaji wa dhuluma, wakataaji wa utesaji, wapinga umungu mtu, wapenda uhuru, sisi tunaopenda umoja...
37 Reactions
96 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…