Baadhi ya wananchi mkoani Arusha wameieleza Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 changamoto mbalimbali walizokumbana nazo wakati na baada ya vurugu na maandamano yaliyotokea siku hiyo...
Wakristo na Waislamu wema wanaojitambua, Haya so called maandano ya jana, ni ushenzi mkubwa. Ni udini wa kiliangamiza taifa!
Hawa ni wa dini ileeeee! Ni wachache wao na si wote.
Tuwe na umoja...
Friends and Our Enemies,
Kanisa Katoliki kupitia kiongozi wao Ruwaichi limeingia kwenye vita kali ya maneno na majibizano na waumini wake mara baada ya waumini hao kuandaa maandiko na kuyapeleka...
Wanabodi,
Katika zoezi la kusaka vyeti bandia linaloendelea sasa, kuna watu wanashindwa kutofautisha kati ya vyeti bandia na vyeti halisi, halali na vya kweli, na pia kushindwa kutofautisha...
๐ช๐๐ญ๐๐ฅ๐ ๐๐ข๐ ๐๐ข ๐๐ง๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐ข๐ก๐๐ฆ๐๐ข ๐ฌ๐ ๐ญ๐ฎ ๐ฌ๐ ๐๐๐ ๐๐ง๐๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐๐ฆ๐๐๐ฅ๐ ๐ญ๐๐ก๐ญ๐๐๐๐ฅ (๐ญ๐๐ง๐ ๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ฒ)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ametembelea...
Baadhi ya wananchi mkoani Arusha wameieleza Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 changamoto mbalimbali walizokumbana nazo wakati na baada ya vurugu na maandamano yaliyotokea siku hiyo...
Tumsifu Yesu Kristu viongozi wangu,
Naandika makala hii nikiwa nawakilisha kundi kubwa la waumini wa kanisa katoliki ambao tumechoka kuona kanisa letu linadhalilishwa na kufanywa kama eneo la...
Nilikuwa napitapita kwenye Youtube nikakutana na video ya ndugu huyu ambaye ni nabii na mchungaji wa huduma iitwayo "Huduma ya Kristo (Christ's Ministry) iliyoko huko Arusha, Tanzania...
Anaandika Askofu Bagonza (PhD)
"POLISI NA โWAKATOLIKIโ
1. Nalazimika kuwapongeza Polisi wetu kwa ukomavu wao na ustaarabu wa kutozuia maandamano ya โWakatolikiโ walioenda kueleza hisia zao kwa...
Alipoapishwa kuwa Rais baada ya mtangulizi wake kufariki, Samia alikuwa anakuja sana Marekani.
Alijipendekeza kwa Kamala Harris, mpaka wakafanya ka press conference, na baadaye Kamala...
Wanaodai kuwa Waumini wa Kanisa Katoliki, leo Januari 5, 2026 wamefika katika Ubalozi wa Vatican kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam, Jude...
Hili suala lililotokea leo linaliabisha taifa unafikiri mabalozi na nchi duniani zinatuona tuna akili timamu kweli ?
Hawa wapumbavu walioandamana leo niwaambie kile mtu anajua kuwa ni maigizo...
Wakati Wa Mkutano Na Waandishi Wa Habari Wa Wanaharakati Huru Joseph Yona,pamoja Na Ahmed Kombo ,Joseph Yona Ametumia Nafasi Hiyo Kuipongeza Timu Ya Taifa Ya Tanzania Taifa Stars Kwa Kufuzu Hatua...
Watakapokuja Wakatoliki halisi wanaojua kusoma na kuvaa kwa heshima mbele ya Balozi wa Papa, wakasoma tamko lao kuwataka Polisi wamkamate aliyempiga Fr. Kitima, na wamlete aliyeteka mapadre na...
Niseme machache tu wakuu,
1. Kwanza picha linaanza wakatoliki wamevaa vijora. Yaani mnaenda kwenye sehemu ya heshima, kwenye Ubalozi wa Vatican mmevaa vijora kweli? Kuna watu kwenye ile video...
Viongozi wa CCM wanajipanga kusherehekea kwa nguvu maadhimisho ya Mapinduzi Zanzibar. Hili ni tukio muhimu lenye kukumbusha na kuimarisha utambulisho wa Zanzibar na watu wake.
Kwa miaka minane...
Tunataka Jeshi la Polisi liheshimu (with consistency) haki ya raia ya kujieleza (freedom of expression). Leo polisi wamefanya kazi yao kwa kuzingatia sheria. Kama sote tulivyoona, hawakuvuruga...
Wasanii shilole na wema wanajijengea picha mbaya kwa watanzania hii ni baada ya mivutano ya wasanii hao na watanzania mtandaoni itawagharimu.
Bora kugombana na mtu mmoja au wawili sio na...