Askofu Bagonza: Nalazimika kuwapongeza Polisi kwa kutozuia maandamano ya "Wakatoliki", basi wafute kesi ya Mwandambo

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,177
Reaction score
11,350
Anaandika Askofu Bagonza mtandaoni...........

POLISI NA “WAKATOLIKI"​

1. Nalazimika kuwapongeza Polisi wetu kwa ukomavu wao na ustaarabu wa kutozuia maandamano ya “Wakatoliki” walioenda kueleza hisia zao kwa Balozi wa Papa hapa nchini.

2. Nachukulia uvumilivu wao kama ishara ya kuacha kupambana na maoni ya watu na hisia zao. Basi wafute hata kesi za Mzee Mwandambo aliyekamatwa kwa kueleza hisia zake za kidini.

3. Kumbe, msimamo huu wa Polisi ulianza mapema pale walipomvumilia kiongozi aliyesema atakata vichwa vya watakaoandamana. Shikilia hapo hapo Polisi, jizuie kuingilia uhuru wa watu na maoni yao.

4. “Wakatoliki” hawa wasiojua kusoma vizuri walichokiandaa; walioamua kumwimba “Mwamba ni Yesu” badala ya Bikira Maria Mlinzi wa Taifa letu, na waliosahau kuwa Baba Mtakatifu wa sasa anaitwa Papa Leo wa 14; wametimiza haki yao ya kikatiba.

5. Watakapokuja Wakatoliki halisi wanaojua kusoma na kuvaa kwa heshima mbele ya Balozi wa Papa, wakasoma tamko lao kuwataka Polisi wamkamate aliyempiga Fr. Kitima, na wamlete aliyeteka mapadre na kuwadhalilisha, akawavisha wake za watu mavazi ya kitawa ili waonekane ni watawa walioshika bendera za vyama nk - hawa Wakatoliki wakiandamana, polisi kuweni wavumilivu kama mlivyokuwa wavumilivu kwa “Wakatoliki” hawa.

Sisi Wajaluo tunaamini kuwa chuki dhidi ya Ukatoliki inayoendeshwa kwa mikakati mibovu, ina nia mbaya dhidi ya serikali kuliko ilivyo na nia mbaya dhidi ya Ukatoliki.

Kupigana na Ukatoliki ni lazima uwe na dini nyingine ndani yako inayokusukuma kupigana vita hiyo. Wajaluo “tusiotahiriwa” tunajiuliza hiyo dini ni ipi?"

20260106_031300.jpg
​

NB:
1. Huwa napenda sana style ya uandishi na ufikashaji ujumbe wa Askofu Benson Bagonza kwa watawala wa serikali...

2. Huyu Mzee hutumia "provocative style of writing" lakini ikiwa imebeba ukweli unaouma kwelikweli..
 
Nchi ina maigizo ya kijinga sana hii!, hao kima ilitakiwa wanikabidhi mm niwatembezee kipigo heavy mixer kumwagia maji machafu yenye tope ili wakitoka hapo wakasimulie vizuri huko walikowatuma!, kama nchi tuna mambo mengi ya msingi ya kufanya sio huo upuuzi.
 
View attachment 3525893
"POLISI NA “WAKATOLIKI" FEKI WANAOSHINDWA KUSOMA HATA WALICHOANDIKA WENYEWE​

1. Nalazimika kuwapongeza Polisi wetu kwa ukomavu wao na ustaarabu wa kutozuia maandamano ya “Wakatoliki” walioenda kueleza hisia zao kwa Balozi wa Papa hapa nchini.

2. Nachukulia uvumilivu wao kama ishara ya kuacha kupambana na maoni ya watu na hisia zao. Basi wafute hata kesi za Mzee Mwandambo aliyekamatwa kwa kueleza hisia zake za kidini.

3. Kumbe, msimamo huu wa Polisi ulianza mapema pale walipomvumilia kiongozi aliyesema atakata vichwa vya watakaoandamana. Shikilia hapo hapo Polisi, jizuie kuingilia uhuru wa watu na maoni yao.

4. “Wakatoliki” hawa wasiojua kusoma vizuri walichokiandaa; walioamua kumwimba “Mwamba ni Yesu” badala ya Bikira Maria Mlinzi wa Taifa letu, na waliosahau kuwa Baba Mtakatifu wa sasa anaitwa Papa Leo wa 14; wametimiza haki yao ya kikatiba.

5. Watakapokuja Wakatoliki halisi wanaojua kusoma na kuvaa kwa heshima mbele ya Balozi wa Papa, wakasoma tamko lao kuwataka Polisi wamkamate aliyempiga Fr. Kitima, na wamlete aliyeteka mapadre na kuwadhalilisha, akawavisha wake za watu mavazi ya kitawa ili waonekane ni watawa walioshika bendera za vyama nk - hawa Wakatoliki wakiandamana, polisi kuweni wavumilivu kama mlivyokuwa wavumilivu kwa “Wakatoliki” hawa.

Sisi Wajaluo tunaamini kuwa chuki dhidi ya Ukatoliki inayoendeshwa kwa mikakati mibovu, ina nia mbaya dhidi ya serikali kuliko ilivyo na nia mbaya dhidi ya Ukatoliki.

Kupigana na Ukatoliki ni lazima uwe na dini nyingine ndani yako inayokusukuma kupigana vita hiyo. Wajaluo “tusiotahiriwa” tunajiuliza hiyo dini ni ipi"?

NB:

1. Huwa napenda sana style ya uandishi na ufikashaji ujumbe wa Askofu Benson Bagonza kwa watawala wa serikali...

2. Huyu Mzee hutumia "provocative style of writing" lakini ikiwa imebeba ukweli unaouma kwelikweli..
Namba 5 tunaisubiri kwa hamu
 
WAKATOLIKI WALIJISAHAU SANA NA KUDHANI KUWA WAO NDIYO DINI PEKEE AMBAYO HAIWEZI KUPINGWA HAPA NCHINI NA WAUMINI WAO...PAMBANENI NA HALI YENU...SASS KAMA HAO SIO WAUMINI WENU MNATAKA KUSEMAJE?NI WAISLAM HAO??
 
Hatujali sisi, endeleeni na siasa taka.Wakatoliki halisi tutakutana kanisani jumapili...na huo muda wanaandamana, wakatoliki halisi walikua busy kujenga taifa kupitia taasisi zao na sehemu mbalimbali.Hawanunuliki au kutumika kama toilet paper
 
Nchi ina maigizo ya kijinga sana hii!, hao kima ilitakiwa wanikabidhi mm niwatembezee kipigo heavy mixer kumwagia maji machafu yenye tope ili wakitoka hapo wakasimulie vizuri huko walikowatuma!, kama nchi tuna mambo mengi ya msingi ya kufanya sio huo upuuzi.
Wasiomfahamu Mwigulu anzeni kusoma perteins, hi ndo style yake ya kufanya siasa. Akiona ameshindwa ktk jambo lake, kuua si shida kwake.
 
Mixx by Yas

1. Pente Station Nzito
2. Baba Mtakatifu wa 16
3. Kanisa Katoliki ni Taasisi ya Mtu Mmoja
4. Wakorontio 12 hadi 12
5. Wakorintio 13 mpaka wa 10
6. Papa Mtakatifu Benedicto wa 16
7. Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania TIC
8. Matamko yake kuharibu chama cha CHADEMA

20260106_070959.jpg
 
View attachment 3525907
Aisee huyu waliemchagua asome sidhani kama hata biblia akiiona kama anaijua 😂😂.
 
WAKATOLIKI WALIJISAHAU SANA NA KUDHANI KUWA WAO NDIYO DINI PEKEE AMBAYO HAIWEZI KUPINGWA HAPA NCHINI NA WAUMINI WAO...PAMBANENI NA HALI YENU...SASS KAMA HAO SIO WAUMINI WENU MNATAKA KUSEMAJE?NI WAISLAM HAO??
Mbona kama umejishtukia! Umeshawahi wapi kumuona Mkatoliki amevaa dera? Tena akiandamana kwenda ubalozi wa Papa eti kutoa malalamiko kuhusu Maaskofu wao kuhubiri haki na kukemea mauaji na utekaji wa raia wasio na hatia!!

Nyinyi vilaza mnaidhalilisha sana nchi yetu.
 
WAKATOLIKI WALIJISAHAU SANA NA KUDHANI KUWA WAO NDIYO DINI PEKEE AMBAYO HAIWEZI KUPINGWA HAPA NCHINI NA WAUMINI WAO...PAMBANENI NA HALI YENU...SASS KAMA HAO SIO WAUMINI WENU MNATAKA KUSEMAJE?NI WAISLAM HAO??
Nina uhakika huo utoto ww umeshiriki kuuandaa. Huwezi kupambana na wakatiliki kwa utoto wa aina hiyo. Hiki mlichofanya na kufahamika kuwa sio wakatoliki kumewaaibisha mno, japo kwa ujinga wenu hamuwezi uona aibu.
 
WAKATOLIKI WALIJISAHAU SANA NA KUDHANI KUWA WAO NDIYO DINI PEKEE AMBAYO HAIWEZI KUPINGWA HAPA NCHINI NA WAUMINI WAO...PAMBANENI NA HALI YENU...SASS KAMA HAO SIO WAUMINI WENU MNATAKA KUSEMAJE?NI WAISLAM HAO??
Another empty crippled brain beyond any level, proved to be creature of satan.

Hili linajiita BIG SHOW halijawahi kuwa na akili hata siku moja, halijawahi kuandika chochote cha maana, ni dhahiri litakuwa linaabudu shetani, likiamini linaweza kupambana na wanaomwabudu Mungu wa kweli. Muda si mrefu, hili linaweza kuanza kutembea chini wazi, kichwani ndiko limeweka chupi lake, speed ya hili BIG SHOW, ya kuelekea kwenye uwendawazimu, ni kubwa sana!!

Heshima kubwa ya Kanisa Katoliki haitokani na nguvu ya mwanadamu bali ahadi yake YEYE aliye njia na uzima wa kweli ambaye bila YEYE hakuna amfikiaye BABA wa mbinguni.

Bwana wa mbinguni tunashukuru unavyowaabisha maadui wa Kanisa lako, maana kila walitendalo linazidi kuwaanika ushetani na upofu wao wa akili na roho.
 
Hatujali sisi, endeleeni na siasa taka.Wakatoliki halisi tutakutana kanisani jumapili...na huo muda wanaandamana, wakatoliki halisi walikua busy kujenga taifa kupitia taasisi zao na sehemu mbalimbali.Hawanunuliki au kutumika kama toilet paper
Wakatoliki Jumapili ya juzi tulikuwa kwenye sikukuu ya Epifania! Paroko ametusomea mapato yaliyotokana na zaka, ni zaidi ya mamilioni! Na yanatumika kujengea Kanisa letu kubwa na la kisasa kabisa!!

Wakati sisi tunafanya hayo, wao wako busy kufanya maigizo ya kitoto, kujipendekeza serikalini, kusubiri misaada ya tende na nyama ya ngamia, nk. Halafu mwisho wa siku chuki zinawajaa mioyoni mwao!!
 
Msomaji mwenyewe hata ile akili ya kawaida kabisa, ya kuweza kusoma tu na kuandika hana! Shetani na majini anayoyaabudu yameshindwa hata kumsaidia kuwa na akili ya kuweza kufundishika.

Ina maana Mwigulu na hao mashekhe ubwabwa walioandaa huu usanii, hata huko BAKWATA, wenye akili za kawaida wote walikataa kushiriki?

Hii inathibitisha uwezo mdogo wa akili ta Mwigulu na huyo msaidizi wake, mouuzi Ludovick, wa kuandaa huu ujinga!!
 
Back
Top Bottom