Mawakala wa CHAUMA bado wanasota ofisi ya DED ARUMERU. Siku ya kwanza waliambiwa fomu zimepotea. Baada ya muda kuongezwa sasa DED anadai mawakala wametoka wapi wakati chama hakina mgombea ubunge...
Mgombea urais kupitia Chadema, Tundu Lissu amewataka Watanzania kuchagua viongozi ambao hawatakwenda kwenye mabaraza ya madiwani na bungeni kusaka fedha.
Lissu ambaye ni makamu mwenyekiti wa...
Kwa vyovyote vile Wazanzibari ni dhahiri wameshaamua lolote na liwe, ukisikia kauli za watu wa Zanzibar, vijana hata wazee wanaonyesha hawajali tena na roho zao zimeshakinai na wako tayari kwa...
Kama kuna jambo ambalo limekuwa naliona lina mapungufu mengi kisheria ni hili la kutaka watu siyo tu wajiandikishe TCRA wanapofungia 'channels' za YouTube lakini pia kutakiwa kulipa zaidi ya...
Awali ya yote naomba kuweka interest zangu mbele, Mimi ni muumini wa mambo ya Kiroho. Ninaamini juu ya uwepo wa ulimwengu wa Kiroho. Nina amini kuwa, kabla ya mambo kuwa vile yanavyoonekana kuwa...
Kuna baadhi ya watu humu JF wamekuwa wakihoji idadi ya wapiga kura kuwa milioni 29 mwaka huu na kueneza dhana potofu ya kuwepo kwa wapiga kura hewa. Si kweli hata kidogo.
Idadi ya wapiga kura...
Napenda niwataarifu Watanzania kama bado unajiuliza kura yako ya Rais umpe nani basi Magufuli ni chaguo sahihi kabisa kwa kweli miaka hii mitano ametuongoza vzuri kimaendeleo zaid naamini hii...
Wakuu kwa sasa ni suala la muda tu kwa Nchi yetu kupata Rais Mpya kutoka kwenye chama kipya , naandika haya kwa kujiamini kabisa baada ya Tathmini ya uhakika , njia pekee ya kumshinda Lissu kwenye...
Habari wakuu,
Awali ya yote nawahimiza watanzania kesho tujitokeze kwa wingi tukapige kura za kimbunga ata mwizi wa kura ashindwe namna ya kuiba.
Tangu kampeni za urais zilipozinduliwa mpaka leo...
Mpanga mikakati ya ushindi wa chama cha ACT-Wazalendo, Hamad Masoud Hamad, anayedaiwa kutekwa leo asubuhi Visiwani Wete, Pemba, amefikishwa kituo cha Polisi cha mji huo.
Inaelezwa kuwa Hamad...
Kadri tunavyokaribia uchaguzi idadi ya wapiga debe wa CHADEMA mitandaoni inazidi kupungua siyo tu hapa JF bali hata huko facebook, twitter na sehemu zinginezo. Inaonekana wamepima upepo na kuona...
Nipo naangalia kipindi cha Mtazamo Extra kupitia Clouds TV Plus, ni wazi kuwa kwa mahojiano haya wanayofanya muda si mrefu Mamlaka zinaweza kuwatia kwenye matata.
Mmefanya kipindi kizuri ila...
Wazanzibari leo wanapiga kura ya mapema ambapo makundi maalum wakiwemo Watumishi wa Tume ya Uchaguzi (ZEC) na Wasimamizi wa Uchaguzi watashiriki katika zoezi hilo.
Mwenyekiti wa ZEC, Jaji Hamid...
Ikiwa leo ni siku ya Maombi, Sala na Shukrani nchi nzima, Mgombea Urais anayesubiriwa kwa hamu kupigiwa kura na wananchi walio wengi ambapo anatarajiwa kushinda kwa zaidi ya 75%, anaendelea na...
Kufuatia kubandikwa kwa majina ya Wapiga kura kwenye Vituo vya kupigia kura, imebainika kuna Wapiga kura hewa(Ghost voters) na Vituo hewa vya kupigia Kura(Ghost Voters stations). Hii ni katika...
Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa ya yanayoendelea Pemba, taarifa hiyo imeandaliwa na Maalim Seif na kutolewa kwa Umma
=======
Taarifa zilizothibitishwa kutoka Pemba zinasema wananchi...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akiwa Nachingwea Mkoani Lindi amesema watakaoleta maendeleo ni Viongozi wa CCM.
Amesema, "Tumeanza kuona watu wanakuja...