Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amefika kila kona ya Nchi hii, kampeni zimefanikiwa

Kajeba

JF-Expert Member
Oct 15, 2020
803
1,940
Habari wakuu,

Awali ya yote nawahimiza watanzania kesho tujitokeze kwa wingi tukapige kura za kimbunga ata mwizi wa kura ashindwe namna ya kuiba.

Tangu kampeni za urais zilipozinduliwa mpaka leo hii siku ya mwisho wa kampeni za uchaguzi.

Ni muheshimiwa Tundu Lissu wa CHADEMA pekee aliyezunguka nchi nzima kupiga kampeni za kistaarabu, za kisasa ma kisayansi pia zilizojaa neema, ahadi, baraka na matumaini tele kwa Watanzania.

Hakika kampeni za Tundu Lissu zimefanikiwa, kila Mtanzania amefikiwa na Lissu kata kwa kata mkoa kwa mkoa.

Haitakuwa ajabu Tundu Lissu kuzoa kura zote za wananchi wa kusini, kanda ya ziwa na kwingineko nchi nzima.

Hakika kampeni za awamu hii zimefanikiwa na kesho Tundu Lissu anaenda kuibuka kidedea kwani washwahili walishasema utavuna ulichopanda!
 
nenda kapige kura

na umuombee mwenyekiti wa tume awe kweli mzalendo...atangaze matokeo halali
 
Msaliti wa Nchi amefika maeneo ya stend na sokon tu

Ukizingatia hajaweka mabango watu hata hawamjui
Wanamjua wanaotumia Twitter tu
 
Serikali ya CCM imeshashindwa kuwatumikia wananchi, miaka mitano ya uvunjifu na ubakwaji wa katiba sasa umefikia tamati.

Mahakama Ya Makosa Ya Jinai (ICC, The Hague) tayari inajiandaa kutoa "ARREST WARRANT/HATI YA KUKAMATWA" kwa viongozi wa nchi hii pamoja na viongozi wa CCM. Kwasababu wameshaanza kuua na kupiga raia.

Machafuko yanayoendelea Zanzibar na kuzimwa kwa Internet nchini ili videos/images/audio zisisambae ni tosha CCM kutolewa madarakani kwa amani au nguvu ya umma au kwa mataifa yenye nguvu. Hili tayari limeshaamua uchaguzi mkuu.

Lissu na Maalim Seif wamefanya kazi nzuri sana sio kufanya Campaign ili wachaguliwe, bali kuwaelimisha wananchi kujitambua na kuondokana na ujinga/uoga waliokua nao tokea uhuru. Hili wamefanikiwa kwa 100%.

Ni wazi CCM wameshafeli kutumia nguvu na figisu kwenye kujiandaa na kupiga kura kesho 28/10. Wamefeli kwasababu walikua "WANAJUA" kwa miaka 5 wamepata maadui wengi nchini na mataifa yenye nguvu (ambayo hawana uwezo hata nukta kutunishiana nao misuli). Walikua "WANAJUA" mahakama ya kimataifa ilishatoa "TAMKO" wanafatili kwa ukaribu yanayoendelea nchini. Na walikua "WANAJUA" hata wakishinda kwa "KUTUMIA NGUVU" watatolewa kwa "NGUVU". Ila walidharau.

Kilichobakia ni kesho wananchi baada ya kumaliza kupiga kura, walazimishe "KULINDA KURA ZAO". Lazima serikali itumie nguvu kubwa sana kuwafukuza. Jambo ambalo litsababisha machafuko zaidi na dunia kulaani kitendo hicho.

Kesho hata wapinzani wakisema wasiende kupiga kura, na Magufuli akishinda kwa kura, atatolewa tu na mabeberu.

Its too late to clean this mess for CCM. Time will tell soon.
 
Amedhihirisha wazi kazi anaiweza sana, kesho tukampe kura za kishindo kama zote! Watanzania wapenda mabadiliko kura zenu kwa Lissu ndio tiket ya maendeleo!
 
..Msikilize Salum Mwalimu hapa.

..Kampeni za Lissu na Mwalimu zimefika mikoa yote.

..Pia ukumbuke kwamba Lissu alifungiwa wiki moja.

..vilevile Lissu alizuiliwa kufanya kampeni maeneo kadhaa mikoa ya kusini.

Huyu Lissu anayefanya mikutano ya kisiasa stend na sokoni ?

Hajulikani Sehemu nyingi zaidi ya Twitter
 
Ha ha haaaaa..
Hongera kwa kumsifia kufanya utalii mlosema amefanikiwa.. kwa kweli katalii.. uzuri alitaka asimamishwe kwa kudanganywa na mabeberu.. ila ikala kwake.. mkumbusheni awagaie vya bahasha anazopokea..

Kesho ni aliyefanya kampeni kwa kiwango cha juu.. na mikutano kuhudhuriwa na wazalendo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Naye ni

Magufuli TANO TENA
💚💛💚💛💚💛💚
 
Kuiba kura kuko pale pale, CCM!!!!

Acha kujaza lawama..huku ni wazi Chama Tawala kitashinda.. ila munajua Lissu mtalii na kibaraka aliyetumwa.. na amechezwa vizuri sana.. 😅😅😅😅.. wapp dkd 5 mbele yake..
Upinzani bado sanaaaaa..
Kesho naona 💛💚💛💚💛
 
Msaliti wa Nchi amefika maeneo ya stend na sokon tu

Ukizingatia hajaweka mabango watu hata hawamjui
Wanamjua wanaotumia Twitter tu
Na huyo kichaa wenu wa chato kafika wapi na wapi..?!
Kampeni siku moja..siku tano anapumzika kumeza dawa.
 
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Na huyo kichaa wenu wa chato kafika wapi na wapi..?!
Kampeni siku moja..siku tano anapumzika kumeza dawa.
 
Habari wakuu,

Awali ya yote nawahimiza watanzania kesho tujitokeze kwa wingi tukapige kura za kimbunga ata mwizi wa kura ashindwe namna ya kuiba.

Tangu kampeni za urais zilipozinduliwa mpaka leo hii siku ya mwisho wa kampeni za uchaguzi.

Ni muheshimiwa Tundu Lissu wa CHADEMA pekee aliyezunguka nchi nzima kupiga kampeni za kistaarabu, za kisasa ma kisayansi pia zilizojaa neema, ahadi, baraka na matumaini tele kwa Watanzania.

Hakika kampeni za Tundu Lissu zimefanikiwa, kila Mtanzania amefikiwa na Lissu kata kwa kata mkoa kwa mkoa.

Haitakuwa ajabu Tundu Lissu kuzoa kura zote za wananchi wa kusini, kanda ya ziwa na kwingineko nchi nzima.

Hakika kampeni za awamu hii zimefanikiwa na kesho Tundu Lissu anaenda kuibuka kidedea kwani washwahili walishasema utavuna ulichopanda!
Lissu amefanya kampeni nzuri na ushindi ni kwa CDM.
 
Msaliti wa Nchi amefika maeneo ya stend na sokon tu

Ukizingatia hajaweka mabango watu hata hawamjui
Wanamjua wanaotumia Twitter tu
Kujaza mabango kila kona ni dalili ya kutokujiamini. Kumbuka wahenga walisha sema kizuri kinajiuza chenyewe bali kibaya kinajtangaza
 
Back
Top Bottom