Uchaguzi 2020 Ushauri wa dharura kwa CHADEMA juu ya Wapiga kura hewa na vituo hewa vya kupigia kura

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,697
9,048
Kufuatia kubandikwa kwa majina ya Wapiga kura kwenye Vituo vya kupigia kura, imebainika kuna Wapiga kura hewa(Ghost voters) na Vituo hewa vya kupigia Kura(Ghost Voters stations). Hii ni katika mbinu za kufanikisha Ushindi wa Chama TAWALA CCM.

CHADEMA hima waanze kukusanya orodha ya majina ya Wapiga kura hewa na Vituo hewa vya kupigia kura with vivid evidences.

Wakti huohuo wamtake Mkurugenzi na Mwenyekiti wa NEC wajitokeze na kukanusha habari hizi with vivid evidences.

Lakini pia CHADEMA wakishirikiana na vyama vingine pinzani waitake Tume iweke hadharani mfumo itakao utumia kujumulisha matokeo ya kura nchi nzima. Mara nyingi hii mifumo Kuna ujanja wa kuweka formula/KANUNI inayokuwa na multiplier or devider effect.

Kwamba kila kura 1 inayoingia kwa Mgombea A inakuwa X4(Kuongeza Kura)na kila kura inayoingia kwa Mgombea B inagawanywa kwa 2 au 4 n.k. (Kupunguza idadi ya Kura)!

Shime CHADEMA WAKATI NI HUU!
 
CCM bado wanatumia mbinu za kizamanii... hawabadiliki.

Kinachoonekana NEC na ZEC wanakwenda kuaibika mno mbele ya macho ya watanzania... ndiyo maana hata kutoa daftari la kudumu kwa vyama vya siasa ambao ndiyo wadau wakuu wa uchaguzi ilikuwa kwa mbinde.
 
Watu waanza Kumkana Lissu😂🤣😂🤣🤣 Ukiona Watu waliokuwa wanakimbia kwenye msafara Wa Lissu wanaanza kumkana kwamba hafai kuwa Rais jiulizeni sana Kwanini.

Niko Mwanza huku Lissu alipokuja Kuna mshikaji wangu niliwahi kufanya nae kazi, Nilimwona akiwa kavua shati akiwa kwenye msafara Wa Lissu kabeba ba Bendela. Leo nimweoma hapa Rock city more namwambia Nilikuona Kwenye Msafara Wa Rais ,jamaa akasema Rais Gani hajielewi Anasema uwongo, anapinga kila kitu😂🤣😂🤣 nikasema safi watu wameenza kuelewaaaa KUWA LISSU NI MUHUNI
 
Mlisema uchaguzi huu unafuatilia kwa karibu sana na jumuiya za kimataifa, sasa kelele za nini tena dada zangu tulieni tumalize tuwaachie muende wala hatuwaumizi sana
 
Watu waanza Kumkana Lissu😂🤣😂🤣🤣 Ukiona Watu waliokuwa wanakimbia kwenye msafara Wa Lissu wanaanza kumkana kwamba hafai kuwa Rais jiulizeni sana Kwanini.

Niko Mwanza huku Lissu alipokuja Kuna mshikaji wangu niliwahi kufanya nae kazi, Nilimwona akiwa kavua shati akiwa kwenye msafara Wa Lissu kabeba ba Bendela. Leo nimweoma hapa Rock city more namwambia Nilikuona Kwenye Msafara Wa Rais ,jamaa akasema Rais Gani hajielewi Anasema uwongo,anapinga kila kitu😂🤣😂🤣 nikasema safi watu wameenza kuelewaaaa KUWA LISSU NI MUHUNI
Mtakoma mwaka huu. Kila mbinu tunaziba.
 
Poleni wapinzani
Hivi kweli mlitegemea uchaguzi huru kutoka tume hii...
Mbona mmepoteza muda na pesa nyingi kwa kampeni mkijua kesi ya nyani haihukumiwi na ngedere!!!!
Inamaana tangu 1995 yanayojiri kule Zanzibar bado hamjajifunza kitu...
Nashauri kila mtu arudi kwenye maisha yake
This new visions of JPM TUTEGEMEE
Wasiojulikana kuua hadharani
Risasi sio Ishu sasa ni sindano za sumu!!
Wakulima mtalimia meno
Wafanyakazi mishahara itapunguzwa
Wavuvi watauwawa kwa halaiki.....
Mashekh wote jela kasoro Bakwata

New vision of JPM coming soon....
 
Kufuatia kubandikwa kwa majina ya Wapiga kura kwenye Vituo vya kupigia kura, imebainika kuna Wapiga kura hewa(Ghost voters) na Vituo hewa vya kupigia Kura(Ghost Voters stations).Hii ni katika mbinu za kufanikisha Ushindi wa Chama TAWALA CCM...
Unadhani mwenye chama anaweza kusikiliza utopolo huu?.Mbowe hana huu muda kamanda, aache kutwanga faru John zake afuatilie takataka ulizoandika never.
 
Heri kuwa kipofu wa macho mwili kuliko kipofu wa fikra. Uwe hivyo hivyo kama fikra zako zinavyojieleza. Watanzania tunasonga mbele na JPM kujiletea maendeleo.
Safi Sana ila wapinzani wa Tanzania ni wapuuzi Sana
Hata mimi ni Mtanzania japokua naishi abroad
Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kwenda kushindana masumbwi na mtu huyo huyo Ndio ref?
Sasa wapinzani wanalia nini
Waambie wapeleke ujinga mbali wamepotezea Watanzania muda kwenye kampeni Bure bure!!!
I hate oppositions leaders in the country I call home 😭😭😠😠😠😠
 
Kufuatia kubandikwa kwa majina ya Wapiga kura kwenye Vituo vya kupigia kura, imebainika kuna Wapiga kura hewa(Ghost voters) na Vituo hewa vya kupigia Kura(Ghost Voters stations).Hii ni katika mbinu za kufanikisha Ushindi wa Chama TAWALA CCM...
TUME IVUNJWE IUNDWE TUME INAYO JUMUISHA VYAMA VYOTE VILIVYOSAJILIWA TANZANIA
 
Back
Top Bottom