Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Unastahili heshima; Wewe ni kiongozi imara; Utashi wako wa kisiasa na uthubutu utaiweka Tanzania kwenye ramani ya nchi zenye uchumi imara Una maono na malengo chanya ya maendeleo Wewe ni...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari wajumbe, Hivi karibuni Marekani kupitia kikao cha 116 cha Bunge la Congress ilipitisha Azimio la kuitaka Tanzania kufanya uchaguzi huru na haki. Azimio hili lilibeba kichwa cha habari...
28 Reactions
75 Replies
7K Views
Kolabo la wasanii wa bongo fleva kumpongeza Mh Rais, limetiwa doa na maneno ya Masanja Mkandamizaji. 1.Eti JPM ndiye Rais pekee duniani anayemuamini Mungu 100%. Hivi ana takwimu gani na Imani za...
79 Reactions
146 Replies
13K Views
Neno "Mwelekeo" ndio sababu kuu ya Vyama vya upinzani kutokubalika na kuaminiwa kupatiwa Nchi na watanzania. Uchaguzi wa mwaka 1995 upinzani chini ya NCCR Mageuzi ilibaki kidogo kuchukua nchi...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Kazi anazozifanya Rais Dr Magufuli kwa sasa ipo siku tutakuja kumkumbuka kwenye maisha yetu pamoja na dhihaka za kila siku ambazo inaandikwa katika mitandao ya kijamii. Rais Dr John Magufuli...
37 Reactions
275 Replies
21K Views
The way things are going on in this part of the world, the horror of the dictatorial regime, we the people of Tanzania have no choice except to vote out president Magufuli in the forthcoming...
14 Reactions
176 Replies
15K Views
"Nasema kuanzia leo nilipo apishwa UCHAGUZI UMEISHA") (" NASEMA UCHAGUZI UMEISHA") (" NASEMA UCHAGUZI UMEISHA" ). Sasa tuendelee kujenga nchi na mimi nawahakikishia kiapo nilicho apa hapa na...
18 Reactions
111 Replies
12K Views
Esteemed Great Thinkers, As the subject matter seek to be professionally clarified by the seasoned constitution experts I appeal interpretation offered to our understanding as the normal synonym...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Kamati Kuu ya CCM imempendekeza Job Ndugai kuwa mgombea wa nafasi ya Spika wa Bunge lijalo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Dk Tulia Ackson akipendekezwa kwa nafasi ya Naibu Spika
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Kwa udhibiti huu wa Internet, mapato kwa makampuni ya simu yatashuka sana, hivyo kiasi cha kodi kushuka pia. Kwa sasa mobile companies wanauza sana data kuliko voice. So kwa kuwa siku hizi huwezi...
5 Reactions
69 Replies
5K Views
Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, Ndugu Zitto Zubeir Kabwe kesho Novemba 7, 2020 anatarajia kuzungumza na vyombo vya habari kuhusiana na masuala mbalimbali yaliyojili kwenye Uchaguzi Mkuu...
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Jana tarehe 05/11/2020 kwenye hutoba yake fupi sana Mheshimiwa Rais John Magufuli, alisema jambo moja tu, tunaenda kukabiliana na ufisadi. Ndugu wananchi ni lini Rais atatoa hutuba ya Taifa ya...
2 Reactions
59 Replies
4K Views
Walifikiri hataenda kwenye sherehe za kumuapisha JPM. Sasa nashauri waanze kujipanga kwa 2025 === "Bado nasumbuka sana na mwenendo wa uchaguzi uliofanyika Octoba 28 na ukiukaji wa haki za...
10 Reactions
88 Replies
9K Views
Je, Kassim Majaliwa ni Waziri Mkuu? Jibu ni HAPANA Waziri Mkuu, mawaziri na naibu mawaziri leo wamefikia kikomo cha uwaziri wao. Asubuhi ya leo waliamka wakiwa mawaziri, lakini kabla ya mchana...
4 Reactions
8 Replies
5K Views
"Ninawashukuru watumishi wa sekta ya Afya na Maendeleo ya jamii wa ngazi zote kwa ushirikiano mzuri walionipatia katika kutekeleza majukumu Nawashukuru kwa imani na upendo wao mkubwa kwangu.Siku...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Tokea nizaliwe, sijawahi kupiga kura wala kua upande wowote wa chama cha siasa, lakini kwa sasa kutokana na uchaguzi huu uliopita wa 2020 nimevutiwa sana na mimi niwe mwanachama kindakindaki wa...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Yaani alizoea hata asipokwenda kituo cha kazi ruzuku inaingia chamani a/c ya ofisi yake inatuna ni yeye na kwenda Asia na Dubai,S.A kula bata lakini kwa hili lililotokea naona kila kitu kimefutika...
5 Reactions
38 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA mh.Mbowe jana aliripoti kituo cha polisi cha Oysterbay pamoja na watuhumiwa wenzake akiwemo Godbless Lema na Boniface Jacob. Mbowe aliwaambia waandishi wa habari kuwa wao...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Matokeo yameonyesha kuwa ACT Wazalendo imepata wabunge 3, CUF imepata wabunge 3 na CHADEMA imepata mbunge 1. Hata hivyo kuna uwezekano wabunge wa CHADEMA kuongezeka baada ya uteuzi wa wabunge wa...
3 Reactions
88 Replies
8K Views
The United States commends the Tanzanian people for attempting to exercise their right to vote in the October 28 general elections. However, we remain deeply concerned by credible reports of...
41 Reactions
280 Replies
26K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…